×

Amber Rutty, Mumewe, James Delicious Jela Miaka 5

MSANII Rutyfiya Abubakary maarufu kama ‘Amber Rutty’ na mpenzi wake, Said Bakary, pamoja na mtuhumiwa mwenzao, James Charles ‘James Delicious’,...

READ MORE

Shigongo Azindua Kampeni, Aahidi Buchosa Mpya

MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo leo...

READ MORE

Bongo 255 Yahamia Mtaani, Balaa la Chid Benz Ilala Hatari Tupu – Video

SHOO namba moja ya burudani nchini, Bongo 255 inayoruka kupitia +255 Global Radio, leo Ijumaa, Septemba 25, 2020 imetoka studio...

READ MORE

Shughuli ya H-Baba Uzinduzi Kampeni za Shigongo Buchosa – Video

MSANII wa Bongo Fleva, H Baba, amekiwasha kwenye uwanja wa Nyakaliro wakati wa uzinduzi wa kampeni za ubunge wa Jimbo...

READ MORE

Balaa! Mapokezi ya Shigongo Uzinduzi wa Kampeni Buchosa – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, leo Ijumaa, Septemba 25, 2020, anazindua rasmi...

READ MORE

Iva – Fire (Official Audio)

Muimbaji chipkizi wa Bongo Flavour ambaye ni Mshiriki wa Shindano la Toboa Kimuziki na Global TV, Jackson Yusuph ameachia wimbo...

READ MORE

Yanga Yasifia Mziki Wao, Mtibwa Sugar Wajipange

TIMU ya Yanga imeeleza kuwa kazi sasa imeisha baada ya kikosi chao kuonekana kuwa kimeimarika kila idara muhimu.   Yanga...

READ MORE

Afariki kwa Kula Pipi

MWANAMUME mmoja (54) ambaye ni mfanyakazi wa ujenzi nchini Marekani amefariki dunia baada ya kula pipi zilizotengenezwa kwa pombe maarufu...

READ MORE

Polepole: Wapinzani Waungane Tutawachapa Asubuhi -Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole,  leo Septemba 25, 2020, amesema chama chake kitavishinda...

READ MORE

Wadau wa Korosho Nchini Waazimia Kupandisha Thamani ya Zao Hilo

Bodi ya Korosho nchini kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali ikiwemo TMX, WHI na nyinginezo kutoka ndani na nje ya nchi...

READ MORE

Mwanafunzi Amkata Mapanga Mwalimu Wake

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Kiaga wilayani Butiama, mkoani Mara, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa...

READ MORE

Samatta Aanza Kazi Fenerbahce

Mshambuliaji wa timu ya soka nchini Tanzania Mbwana Samatta amejiunga na klabu ya Uturuki Fenerbahce kwa mkataba wa miaka minne...

READ MORE

CECIL MWAMBE: Safari yangu kisiasa haikuwa rahisi

Mgombea Ubunge jimbo la Ndanda mkoani Mtwara, Cecil Mwambe amesema safari yake kisiasa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita haikuwa...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni Tuhuma Rushwa ya Ngono kwa Denti Wake

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Mbeya, inamshikilia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyeregete...

READ MORE

Boniface, Prof. Kitila Wakutana Global Radio; Watifuana – Video

WAGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ubungo, Boniface Jacob (Chadema) na Prof. Kitila Mkumbo (CCM) ambao wanachuana vikali katika kinyang’anyiro hicho...

READ MORE

Alichofanyiwa Mama Huyu Utamwaga Machozi

CELINE NJOKI (34), ni mama wa watoto watatu nchini Kenya. Ni vigumu sana kwa mtu kuweka akilini mwake mahangaiko na uchungu...

READ MORE

Jacob: Kama Maji ni Kero Ubungo, Wananchi Waninyime Kura – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob, amesema kuwa uongozi wa chama...

READ MORE

Mussa Sima Apania Kuigeuza Singida Kuwa Jiji

Mgombea Ubunge jimbo la Singida mjini kupitia CCM, Mussa Sima amewaahidi wananchi wa jimbo hilo kumalizia kutatua changamoto zilizopo katika...

READ MORE

Samatta Ajiunga Na Fenerbahce Ya Uturuki

MSHAMBULIAJI wa timu ya soka nchini Tanzania Mbwana Samatta leo Septemba 25, 2020 amejiunga na klabu ya Uturuki Fenerbahce kwa...

READ MORE

Boniface Jacob Asimamishwa Kufanya Kampeni kwa Siku 7 – Video

MGOMBEA ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Boniface Jacob, amesimamishwa kuendelea na kampeni, akidaiwa kukiuka...

READ MORE