×

Mobeto: Mondi Ni Wangu Milele

VIPI aongeze sauti? Hamisa Mobeto ndiyo ameshasema kwamba, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi, ni wake wa milele.   Akipiga stori...

READ MORE

Young Killer Aanza Kusaka Mke!

MSANII wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ amesema kwa sasa anatamani kuwa na familia. Akizungumza na...

READ MORE

Takukuru Songwe Yaokoa Nyumba ya Mama Mjane

Taasisi ya Kuzuia na Kudhibiti Rushwa mkoani Songwe, (Takukuru) imefanikiwa kumrejesha Mama mjane hati yake ya nyumba iliowekwa rehani kwa...

READ MORE

Wakinukisha Baada ya Kuporwa Fedha na Sungusungu

KAIMU Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Carolius Misungwi,  ameagiza kusimamishwa kwa shughuli za Sungusungu katika kata ya Mfinga iliyopo bonde...

READ MORE

Magufuli Avua Kofia Hadharani, Amvisha Mondi – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John  Magufuli ameshindwa kujizuia...

READ MORE

Mbaroni Akituhumiwa Kuchoma Moto Basi Lake

POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321...

READ MORE

Breaking: Moto Wateketeza Maduka Sinza-Mapambano

MADUKA  matatu yaliyopo maeneo ya Sinza-Mapambano jijini Dar es Salaam karibu na Ofisi za  Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) yameteketea...

READ MORE

Tanzia: Rais wa Ngumi za Kulipwa Tanzania Afariki

RAIS wa Oganaizesheni ya Ngumi za Kulipwa nchini Tanzania (TPBO), Yassin Abdallah ‘Ustadhi’, amefariki dunia asubuhi ya leo, Septemba 7,...

READ MORE

Kubenea Akamatwa kwa Tuhuma za Utakatishaji Fedha

ALIYEKUWA Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea, amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mpaka wa Tanzania na Kenya, Namanga, akidaiwa kuvuka...

READ MORE

Rihanna: Chris Brown ni Mpenzi wa Maisha Yangu

WAKATI watu wengi wakidhani kwamba uhusiano wao ulikufa mwaka 2009  baada ya Chris Brown ‘Breezy’ kumpa kipigo mrembo aliyekuwa mpenzi...

READ MORE

Bashiru Amuonya Kigwangalla Sakata la Simba na Mo Dewji

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Bashiru Ally, amemtaka mgombea ubunge wa Jimbo la Nzega Vijijini, Dkt. Hamis...

READ MORE

Shonza Awataka Tunduma Kumchagua Silinde

Mteuliwa wa Ubunge viti maalumu Mkoa wa Songwe, Juliana Shonza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na...

READ MORE

Shigongo: Kura za Magufuli Zitavunja Rekodi Oktoba 28 – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James,  amewaomba Watanzania wote kujitokeza siku ya...

READ MORE

Dkt. Bashiru Amuonya Nape: Rudi Jimboni Kwako!

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Bashiru Ally, amemtaka mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama (CCM), Nape Nnauye...

READ MORE

Exim Yamteua Balozi Mwapachu Kuwa Mwenyekiti Bodi ya Wakuregenzi

Benki ya Exim Tanzania imemteua Balozi Juma Mwapachu kuwa Mwenyekiti wake mpya wa Bodi ya Wakurugenzi, akichukua nafasi ya aliyekuwa...

READ MORE

Riyama: Kipaji Changu Kilikuwa Kuimba Kuliko Kuigiza

Msanii wa filamu nchini Riyama Ally amesema kuwa ndoto yake kubwa wakati anakuwa alikuwa anapenda kuimba lakini mambo yakaja kubadilika...

READ MORE

Magufuli: Kimbunga cha Leo Mwanza Sitakisahau – Video

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo Jumatatu, Septemba 7, 2020, yupo katika...

READ MORE

Vodacom Tanzania PLC yawajengea uwezo wa masomo ya sayansi wanafunzi wa kike nchini.

Mkurugenzi  wa Rasilmali Watu, Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessis  (Kulia) akiongea na wanafunzi  wa shule mbalimbali za sekondari wakati wa kuhitimu mafunzo ya ...

READ MORE