×

Azam Yapata Dawa Ya Kuzipiku Simba, Yanga

TIMU ya Azam FC imejinadi kuwa tayari imeshapata dawa ya mechi za mikoani ili kwenda sambamba na Simba na Yanga...

READ MORE

Tanzia: Mtangazaji wa ITV Agnes Almas Afariki Dunia

MWANDISHI wa habari na mtangazaji wa kituo cha televisheni cha ITV, Agnes Almas,  amefariki dunia ghafla mchana wa leo Alhamisi,...

READ MORE

Magufuli Ampigia Chapuo Katambi Ubunge – Video

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  John Magufuli,  leo  Septemba 03, 2020, amewaomba wananchi wa Shinyanga kumpa kura mgombea...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mume wa Shamimu Mwasha Asahau Neno la Siri Aomba Akabidhiwe CCTV Camera

  Washtakiwa wawili ambao ni Mfanyabiashara, Abdul Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha wanaokabiliwa na mashitaka ya kukutwa na dawa za...

READ MORE

Makada Chadema Wadaiwa Kuchoma Ofisi za Chadema

POLISI Mkoa wa Arusha imewakamata watu watatu, wawili wakiwa ni madereva na ofisa uhamasishaji, wote wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Mapigo ya Kike Yamponza Rayvanny

  Staa wa Bongo Fleva anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, anadaiwa kubadilika kidogokidogo kila kukicha...

READ MORE

Rasmi: Manchester United Yamsajili Van De Beek

Klabu ya Manchester United ya England imekamilisha usajili wa Mchezaji Donny van de Beek (23) kwa ada ya Paundi Milioni...

READ MORE

Tobi Peanut Butter; Ukianza Kuitumia, Kamwe Hutaiacha!

SIAGI YA TOBI, ni siagi iliyotengenezwa kwa kutumia mashine na teknolojia ya kisasa, huku malighafi yake ikiwa ni karanga halisi...

READ MORE

Wagombea 1,000 Chadema Waliokatwa Wakusanyika Dodoma

ZAIDI ya wagombea ubunge na udiwani 1,000 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapo jijini hapa wakisubiria hatma yao...

READ MORE

Kagere: Walianza na Hirizi, Sasa Wanasema Nimemdunda Kocha

MSHAMBULIAJI wa klabu bingwa Tanzania Bara (VPL) na Kombe la Shirikisho (ASFC) Simba SC, Meddie Kagere amesema amesikitishwa na taarifa...

READ MORE

TFF Wamtabulisha Rasmi Morrison ni Mali ya Simba

MASHABIKI wa Yanga huenda wasiamini, lakini ukweli ni kwamba winga wao nyota aliyetangazwa kuwa miongoni mwa wachezaji 28 wa kikosi...

READ MORE

Kambi ya Yanga Kigamboni Kiboko; Tazama ‘Mapicha’!

TIMU ya Yanga imehamishia kambi yake eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam kwenye majengo maarufu ya Avic yaliyojitenga na...

READ MORE

Rais wa Mali Aliyepinduliwa Alazwa Hospitali

RAIS wa Mali aliyepinduliwa hivi karibuni, Ibrahim Keïta, amelazwa hospitali katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bamako. Hata hivyo bado...

READ MORE

Sonia ni Staa Tangu Azaliwe!

MWIGIZAJI mkongwe wa Bongo Movies, Yvonne Cherry ‘Monalisa’, amefunguka kuwa, mwanaye Sonia alikuwa staa tangu anazaliwa.   Akipiga stori na...

READ MORE

Mondi, Harmo Waiteka Nigeria!

BURUDANI ya muziki ni sehemu inayofuatiliwa na wengi duniani kwa sababu ni kitu ambacho kinaleta furaha kwa watu hata kwenye...

READ MORE

Wema Agoma Kumtusi Zari!

STAA wa Bongo Movies; Wema Isaac Sepetu, amekanusha taarifa kuwa, ameungana na timu ya wazazi wenza wa aliyekuwa mwandani wake,...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 3, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 3, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nafasi za Kazi TANESCO, Technician II (Survey)

POST: TECHNICIAN II (SURVEY) – 1 POST DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Assist to prepare drawings, plans, and topographic maps; ii.Prepare Survey...

READ MORE

R Kelly Akutana na Kisanga Gerezani!

STAA wa muziki wa kiwango cha Dunia kutoka nchini Marekani, Robert Kelly ‘R Kelly’, amekutana na kisanga cha kushambuliwa na...

READ MORE