×

Bet Boost, Odds Kubwa Kuliko Zote Ndani Ya Meridianbet

Katika harakati za kuhakikisha furaha inapatikana kwa kila mbashiri, Meridianbet inaleta ubunifu wa kipekee kwa wateja wake, ni bet boost,...

READ MORE

Mke wa Rais wa Zamani Korea Kusini Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa na Udanganyifu

Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini, Kim Keon-Hee, amekamatwa Jumanne, Agosti 12, 2025, akikabiliwa na tuhuma za rushwa,...

READ MORE

Watu 25 Wafukiwa na Kifusi Shughuli za Ukarabati Mgodi Shinyanga – Video

Watu 25 wamefukiwa na kifusi katika mgodi mdogo wa dhahabu unaomilikiwa na Kikundi cha Wachapakazi, uliopo Kijiji cha Mwongozo, Kata...

READ MORE

Vijana NCCR Mageuzi Watembelea Kituo cha Historia za Viongozi Mashuhuri Afrika

Katika kuadhimisha miaka 26 ya Siku ya Vijana Duniani, Jumuiya ya Vijana NCCR Mageuzi (JUVIMA), wakiongozwa na Mwenyekiti wa JUVIMA...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Mabasi, Miundombinu Ya Mradi Wa BRT Awamu Ya Pili

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 13, 2025 amekagua mabasi mapya kwa ajili ya awamu ya pili mradi wa mabasi...

READ MORE

Rais Mwinyi Ateua Wakurugenzi Wapya Serikalini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Dkt. Halima Jumaane Wagao kuwa...

READ MORE

Hatma ya Matangazo Mubashara Kesi ya Tundu Lissu Kujulikana Agosti 18 – Video

Wakili wa utetezi, Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema bado haijajulikana iwapo kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

DCEA Yakamata Tani 18.5 za Dawa Mpya ya Kulevya Zilizofichwa Kwenye Mifuko ya Mbolea

 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata shehena kubwa ya dawa mpya ya kulevya aina...

READ MORE

Serikali Yaomba Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Isisitishwe Kuonyeshwa Mubashara – Video

Dar es Salaam — Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, leo Jumatano Agosti 13, 2025, ameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

PSG vs Spurs: Frank Anapanga Kuandika Historia Mpya kwa Spurs

Kocha mpya wa Tottenham Hotspur, Thomas Frank, amesisitiza kuwa kikosi chake kiko tayari kwa mtanange wa UEFA Super Cup Jumatano...

READ MORE

Exim Bank Wafanyakazi Loan: Watumishi Wa Umma Wanufaika Kufanya Marejesho Kwa Miaka 11

Mkuu wa Mtandao wa Wateja wa benki ya Exim Tanzania, Agnes Kaganda (kati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya...

READ MORE

Shauri La Jinai Jamhuri Vs Tundu Lissu, Mahakama Ya Hakimu Mkazi Kisutu – Video

  Dar es Salaam – Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inaendelea...

READ MORE

Simba Yaanza Kazi, Yapata Ushindi Mabao 2-0 Kahraba Ismailia

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC wameanza kazi kupima kikosi chao wa...

READ MORE

Oryx Yazidi Kuhimarisha Mkakati wa Rais Dkt. Samia Wananchi Wote Kutumia Nishati Safi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Nishati amesisitiza na kuweka mkakati wa ...

READ MORE

Harambee ya CCM Yafikia Bilioni 86, Malengo Bilioni 100 Kabla ya Uchaguzi – Video

 Dar es Salaam – Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kukusanya zaidi ya Sh86 bilioni kupitia harambee ya kuchangia maandalizi...

READ MORE

Brela Na Tmda Kushirikiana Katika Nyanja Ya Miliki Bunifu

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), wametia saini makubaliano ya...

READ MORE

Azam FC Yamsajili Edward Manyama kwa Mkataba wa Mwaka Mmoja

Dar es Salaam – Klabu ya Azam FC imethibitisha kumsajili beki wa kati Edward Charles Manyama kwa mkataba wa mwaka...

READ MORE

CHADEMA Arusha Yawafukuza Wanachama 12 kwa Ukiukaji wa Katiba na Maadili

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Arusha Mjini kimechukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya jumla ya wanachama...

READ MORE

Wasanii na Wadau wa Urembo Wajitosa Kuchangia Milioni 20 katika CCM Gala Dinner 2025

Katika kuunga mkono hafla ya CCM Gala Dinner 2025 inayoendelea usiku huu katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es...

READ MORE

CHADEMA Kukata Rufaa Dhidi ya Uamuzi wa Mahakama Kuu Kuhusu Mashahidi wa Siri Kesi ya Lissu – Video

Dar es Salaam – Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema chama hicho kimepanga...

READ MORE