×

Mastaa Hawa Wamefunikana Kwelikweli Kwenye Ligi

TAYARI kivumbi cha Ligi Kuu Tanzania Bara kimeanza ambapo timu nyingi kwa sasa zimeanza kusaka pointi tatu ndani ya uwanja...

READ MORE

Askofu Kilaini Amsamehe Padri Aliyegombea Ubunge

ASKOFU Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini amesema kuwa, milango iko wazi ya kurudi kundini kwa Padri...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 10, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 10, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Rais: Sikuwa Tayari Kumuachia Lionel Messi Aondoke La Liga

RAIS wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga, Javier Tebas, amesema kuwa kwao ilikuwa ni ngumu ku-muachia mchezaji staa wa...

READ MORE

Pesa Zaminya Demokrasia Uchaguzi 2020

KAMPENI za Uchaguzi Mkuu mwaka huu, zimeendelea kushika kasi, huku vyama vya siasa hususani vya upinzani, vikikabiliwa na ukata unaozuia...

READ MORE

Rodriguez Asaini Miaka Miwili Everton

TIMU ya Everton imemtangaza mshambuliaji mpya James Rodriguez ambaye imemsajili kwa kitita cha pauni milioni 20.   Staa huyo ambaye...

READ MORE

Kikwete: Sijamwacha Mke Wangu – Video

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hajamuacha mkewe,...

READ MORE

CEO Mpya Simba Ataja Mikakati Yake

MTENDAJI mpya wa Simba, Barbara Gonzalez, ametaja vipaumbele vyake mara baada ya kukabidhiwa majukumu ya kuwa mtendaji wa klabu hiyo...

READ MORE

Wagombea 13 Washinda Rufaa za Ubunge, 21 Watoswa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imechambua rufaa zingine 34 za ubunge kati ya hizo, 13 imewarejesha kugombea...

READ MORE

Semenya Apoteza Rufaa Kizuizi Viwango vya Homoni

MWANARIADHA wa Afrika Kusini, Caster Semenya, amepoteza rufaa dhidi ya kizuizi cha viwango vya homoni ya kiume kwa wanariadha wa...

READ MORE

NEC: Majina ya Wagombea Waliorejeshwa, Waliokatwa!

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imeweka wazi rufaa 55 zilizowasilishwa na wagombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika ...

READ MORE

Maalim Seif Arejesha Fomu za Urais ZEC

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amefika katika ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC)...

READ MORE

Shuhudia JPM Alivyotandika Pushapu Jukwaani – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John  Magufuli,  amewaacha hoi wananchi wa...

READ MORE

ATCL Yarudisha Safari za Dar na Hahaya (Comoro)

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imerudisha safari za kawaida kati ya Dar es salaam (Tanzania) na Hahaya (Comoro) kuanzia 8/9/2020....

READ MORE

Mwanamke Mwafrika wa Kwanza Kuajiriwa Shirika la Anga za Juu (NASA)

  FADJI MAINA amekuwa mwanasayansi wa kwanza kutoka nchini Niger kufanya kazi na Shirika la Anga za Juu la Marekani...

READ MORE

Baba Atibua Ndoa ya Wanae (Kaka na Dada) Kanisani

KATIKA hali isiyotarajiwa, Ann Magwi na Jonathan Munini,  kutoka Tana River Kenya, wamelazimika kukatisha zoezi la kufunga ndoa, baada ya...

READ MORE

Afrika Kusini Yamkemea Trump ‘Kumdharau’ Mandela

CHAMA tawala cha Afrika Kusini, African National Congress (ANC),  kimemuita Rais wa Marekani, Donald Trump kuwa mtu “anayesababisha uhasama, mwenye...

READ MORE

Magufuli Alivyokomesha Fukuza-Fukuza ya Wachimbaji

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt John  Magufuli, amesema kuwa katika kipindi...

READ MORE