×

Morrison Apewa Jezi ya Mbrazil Simba

RASMI, kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Mghana, Bernard Morison, amekabidhiwa jezi namba tatu aliyokuwa anaivaa beki wa kati wa timu...

READ MORE

Yanga Yashuha Straika wa Hatari

MEFAHAMIKA kuwa Yanga ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa klabu ya Interclube ya nchini Angola,...

READ MORE

Mo Dewji: Chama na Luis Miquissone Hawauzwi Popote

BAADA ya kuliibuka na tetesi za Yanga kumnyatia kiungo wa Simba, Cletous Chama na Luis Miquissone ambapo leo Agosti 20,...

READ MORE

Eng. Hersi Atamba na Usajili Mpya

MJUMBE wa Kamati ya Usajili ya Yanga na Mkurugenzi Uwekezaji wa Kampuni ya GSM, Injinia Hersi Said, ametamba kuwa kwa...

READ MORE

Watatu Wafikishwa Mahakamani Wakituhumiwa Kupanga Ugaidi

WTU watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yakiwamo mashtaka...

READ MORE

Kauli ya Makonda Baada ya Kukosa Ubunge

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi imetangaza wateule wa nafasi za Ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 huku jina...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni kwa Kumshambulia Mwanafunzi kwa Fimbo

JESHI la polisi mkoani Pwani, linamshikilia mwalimu Evata Mboya, wa shule ya msingi Mwendapole, Kibaha, kwa kosa linalodaiwa ni kumshambulia...

READ MORE

Zimbabwe Yaihoji Vatican Ukosoaji wa Maaskofu

SERIKALI ya Zimbabwe imewasiliana na mwakilishi wa Vatican, Askofu Mkuu Marek Zalewski, kupata maelezo juu ya ukosoaji wa maaskofu wa...

READ MORE

Watanzania Kuendelea Kuwekwa Karantini Kenya

MAMLAKA nchini Kenya zimetoa orodha mpya ya raia wa nchi 130 ambao wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini.  ...

READ MORE

Mapokezi Ya Tuisila, Tonombe Wa Yanga, Airport -Video

 BAADHI ya wachezaji kutoka nje ya Tanzania waliosajiliwa katika klabu ya Yanga, Mukoko Tonombe na Tusila, wamewasili nchini leo...

READ MORE

Rasmi Sasa, Senzo Wa Simba Ni Mali Ya Yanga

UONGOZI wa Yanga, rasmi leo umemtambulisha Senzo Mbatha kuwa mfanyakazi wao ndani ya klabu hiyo akitokea Klabu ya Simba.  ...

READ MORE

Yanga SC Kutambulisha Majembe Yake Agosti 30

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, Agosti 30, mwaka huu, unatarajia kutambulisha majembe yake mapya katika Tamasha la Wiki ya Mwananchi....

READ MORE

Benki Ya Exim Kuhudumia Sekta Kilimo cha Korosho

Benki ya Exim Tanzania mapema wiki hii ilishiriki kikamilifu kwenye mkutano mkuu wa wadau wa Korosho uliofanyika mkoani Lindi.  ...

READ MORE

Video: Majina Walioteuliwa na CCM Kugombea Ubunge

 KATIBU wa itikadi na uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, leo Agosti 20, anatangaza majina ya wagombea ubunge wa CCM...

READ MORE

Neymar Jr Hatihati Kuikosa Fainali UEFA

STAA wa Paris Saint Germain, Neymar Jr huenda akakumbana na adhabu kutoka UEFA baada ya kubadilishana jezi na mchezaji wa...

READ MORE

Kiongozi wa Upinzani Anyweshwa Sumu Kwenye Chai

MSEMAJI  wa chama cha upinzani nchini Urusi kiitwacho Russia of the Future, ameeleza kuwa kiongozi wa chama hicho ambaye pia...

READ MORE

RC Kunenge Ampa Maagizo Mkandarasi Daraja la Kivule

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Aboubakar Kunenge,  amemuelekeza mkandarasi wa kampuni ya Nyanza inayojenga barabara na Daraja la...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Sven Awatimua Aaliovamia Mazoezi Simba

KATIKA hali isiyo ya kawaida, jana watu wanaodaiwa kuwa ni polisi walitinga kwenye mazoezi ya Simba na kuingia moja kwa...

READ MORE