×

Ruto Aahidi TSh 48 Milioni kwa Kila Mchezaji Harambee Stars Wakishinda Zambia

Rais wa Kenya, William Ruto, leo amekutana na kikosi cha Harambee Stars na kutoa ahadi nono kuelekea mechi ya mwisho...

READ MORE

Nmb Yadhamini Kongamano La Ngos, Yabainisha Mchango Wa Sekta Ya Fedha Katika Maendeleo Ya Taifa

Benki ya NMB imedhamini na kushiriki kikamilifu Kongamano la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) 2025, lililofanyika Agosti 13 jijini Dodoma,...

READ MORE

Mkutano Wa Wakandarasi Wanawake wapigwa Jeki na Equity Bank, Yapania Kuinua Uwezeshaji Wa Kiuchumi

Equity Bank Tanzania imeendeleza dhamira yake ya kukuza huduma za kifedha kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati (MSEs na SMEs)...

READ MORE

CRDB Yazindua Hatifungani ya Kwanza Isiyo na Riba kwa Wawekezaji wa Kiislamu

Katika uzinduzi wa kihistoria wa CRDB Al Barakah Sukuk, Mgeni Rasmi ambae ni Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri...

READ MORE

CCM Kuanza Harambee ya Bilioni 100 Kesho, Rais Samia Kuongoza Uzinduzi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kuwa chama chake kimepanga kukusanya Shilingi...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Mazishi Ya Hayati Ndugai

Asema aliimarisha ushirikiano kati ya Bunge na Serikali Atoa rai kwa Watanzania kuenzi mema yote aliyoyafanya enzi za uhai wake...

READ MORE

Hayati Job Ndugai Aagwa kwa Heshima Kongwa, Azikwa Kijiji cha Madumbwa

Leo, Agosti 11, 2025, mamia ya waombolezaji wakiwemo waumini, viongozi wa serikali na vyama vya siasa wameungana katika Kanisa la...

READ MORE

M23 Yapinga Tuhuma za Mauaji ya Raia na Kuajiri Askari Watoto Mashariki mwa DRC

Kundi la waasi wa M23 linalodhibiti maeneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) limepinga tuhuma za kuhusika...

READ MORE

Nani Bingwa wa LALIGA 2025/26?

Wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa leo hii unaweza ukabashiri nani anaweza kuwa bingwa wa Laliga. Kila timu imepewa ODDS...

READ MORE

Mkutano wa Maafisa Wakuu Jeshi la Polisi Moshi Kufunguliwa na Makamu wa Rais Dkt. Mpango

Jeshi la Polisi nchini linatarajia kufanya Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi kuanzia Agosti...

READ MORE

Kidoa: Wasichana Wengi Waliofanikiwa wametokea Uswahilini

MSANII wa fil amu ambaye pia alikuwa muuza sura kwenye video za Kibongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amejisifu kukulia uswahilini na...

READ MORE

Meridianbet Yapanua Wigo wa Michezo, Yaleta Watoa Huduma Wapya

Meridianbet imezidi kupanua upeo wa burudani kwa kuwaletea wateja wake watoa huduma wakubwa wawili wa kimataifa wanaofahamika zaidi kwa ubora...

READ MORE

Elewa Kinachosababisha Kuwa na Kizunguzungu (Dizziness)

Kizunguzungu kisichofahamika chanzo (Benign Paroxysmal Positional Vertigo) – Kizunguzungu hiki hakina athari kubwa kwa maisha ya muhusika. Aina hii ya...

READ MORE

Polisi Wakamata Milioni 82 na Dola 267 Zilizoporwa Nyumba ya Salasala

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata shilingi milioni 82 za wizi na dola za Marekani 267,...

READ MORE

Aspect Gaming & Superspade Games Sasa Ndani ya Meridianbet

Mpaka wakati huu, kwenye ulimwengu wa michezo ya kasino ya mtandaoni, majina makubwa yamekuwa yakitengeneza historia kwa ubora, ubunifu na...

READ MORE

Wakulima Wabenkika Kidijitali Mpaka Shambani na Azania Bank Nanenane 2025

Azania Bank imeshiriki kikamilifu katika maonesho ya Nanenane mwaka huu katika mikoa Saba ya Dodoma, Morogoro, Mbeya, Mwanza, Simiyu, Tabora...

READ MORE

Mtoto wa Ndugai Ampongeza Rais Samia, Atoa Shukrani Kwa Niaba ya Familia – Video

Mtoto wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Ndugai, Yustino Ndugai, ametoa salamu za...

READ MORE

Rais Samia: Hayati Ndugai Alikuwa Mkomavu Kisiasa Na Kiuongozi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Hayati Job Yustino Ndugai alikuwa kiongozi mkomavu...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili Wa Hayati Job Ndugai (Picha +Video)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesaini Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili...

READ MORE

Caf Yapanga Droo Ya Awali Ligi Ya Mabingwa Afrika, Simba, Yanga Na Mlandege Wabaini Wapinzani

Droo ya hatua ya awali (preliminary round) ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa 2025/26 imekamilika ambapo wawakilishi wa...

READ MORE