×

Aliyekatwa CCM Atoa Matairi Kusaka Kura za JPM

Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Momba Mkoani Songwe, Ombeni Nanyaro (CCM) ameupatia uongozi wa chama hicho mkoa wa Songwe...

READ MORE

Ni Kweli Roho Ina Uzani wa Gramu 21?

WATU wa kale nchini Misri walikuwa wakisema kwamba  baada ya kifo binadamu huingia katika safari ndefu yenye matatizo hadi pale...

READ MORE

🔴#LIVE: G Nako Afunguka Ujio wa Aalbamu ya Weusi

MSANII G Nako pamoja na msanii kutoka Marekani Reime Schemes wametambulisha wimbo wao mpya ‘DEBE’ ndani ya +255GlobalRadio na kuahidi...

READ MORE

Makonda Apata Watoto Mapacha, Asema Aliitwa Tasa

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  na mkewe, Maria,  wamepata watoto wengine wawili ambao ni mapacha...

READ MORE

Samia Azungumza na Wajumbe Tume ya Haki za Binadamu

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Tume ya Haki za Binadamu na...

READ MORE

Wanandoa Waliodumu Zaidi Waingia Rekodi za Guinness

JULIO MORA (110) na Waldramina Quinteros (104)  wenza walioana mwaka 1941, kwa ndoa ya siri baada ya familia zao kutoidhinisha...

READ MORE

Japan Yajaribia Gari Linalopaa Kama Ndege

KAMPUNI la Sky Drive Inc. lilifanya onyesho Agosti 25, 2020, eneo la  Toyota Test Field, ambalo ni moja ya makampuni...

READ MORE

Jimama (42) Mbaroni kwa ‘Kubemenda’ Katoto (14)

MWANAMKE mmoja mwenye umri wa miaka 42 nchini Kenya anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo kwa tuhuma za kwa...

READ MORE

Shule ya Mivumoni Islamic Yaungua kwa Mara ya 3 Ndani ya Miezi 2

Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic, iliyopo katika eneo la Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam, imeteketea kwa moto...

READ MORE

Kigoma: Mtoto Darasa la Pili Alipukiwa na Bomu, Afariki!

MTOTO mwenye mwenye umri wa miaka 9 katika kijiji cha Kasumo Kata ya Kajana wilayani Buhigwe mkoani Kigoma amepoteza maisha...

READ MORE

Waziri Kanyasu: Kuleni Nyama ya Mamba ni Tamu

NAIBU Waziri wa  Maliasili na Utalii, Constantine John Kanyasu,  amesema kuwa mamba ana nyama tamu na ngozi yake ni biashara...

READ MORE

Carlinhos! Alikataa Ofa ya Ulaya Akatua Yanga

IMEELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga na raia wa Angola, Carlos St’enio Fernandez ‘Carlinhos’,  amekataa ofa ya kwenda kucheza...

READ MORE

Kikwete: Kuibiana Kawaida, Yanga Achaneni na Morrison

  RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye pia ni shabiki kindakindaki wa Klabu ya...

READ MORE

Maharusi 6 Wafunga Ndoa Pamoja Kupunguza Gharama

JANGA la virusi vya corona si tu limeathiri watu kiuchumi, lakini pia kijamii hasa namna watu wanavyoshiriki katika shughuli zinazohusisha...

READ MORE

Yanga Yawasha Mitambo kwa Mkapa

SAFARI ya kuuanza msimu mpya wa ligi kuu Tanzania Bara imeanza jana Agosti 30, 2020 katika dimba la Benjamin Mkapa...

READ MORE

Tanzania Yatajwa Nchi ya Kwanza kwa Amani Afrika Mashariki

JAMHURI ya Muungano wa Tanzania imetajwa kuwa ndiyo nchi ya kwanza (inayoongoza) kwa kuwa na amani katika Ukanda wa Afrika...

READ MORE

Mgombea Urais: Kuondoka kwa Messi Sio Mwisho wa Dunia

MGOMBEA urais katika Klabu ya Barcelona, Toni Freixa amemjia juu staa wa timu yake, Lionel Messi kwa kusema amekosa heshima...

READ MORE

Mbelgiji Ashindwa Kuamua Vita ya Bwalya, Chama

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa kutokana na ubora wa viungo wake, hivi sasa ana uhakika wa...

READ MORE

Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania lafunguliwa rasmi kwa Ngao ya Jamii

Mwakilishi wa Vodacom Tanzania PLC, Rehema Kipanga (katikati) akimkabidhi medali ya ushindi wa pili mchezaji wa Namungo, Jamali Issa Dullazi...

READ MORE

🔴#LIVE: Chadema Yaanika Vipaumbele , Maalim Ahoji Kura ya Mapema

Karibu utazame kipindi cha ‘FRONT PAGE’ kutoka +255 Global Radio ambapo wachambuzi wanachambua habari mbalimbali zilizojiri katika magazeti ya kiswahili...

READ MORE