×

TenMet Kujenga Bweni la Wanafunzi Wilaya ya Chemba

MTANDAO wa Elimu Nchini (TenMet) umeadhimia kutumia maadhimisho ya Juma la Elimu mwaka huu kujenga Bweni la wanafunzi Wilayani Chemba...

READ MORE

Baada ya Morrison…Tshishimbi Naye Simba, Apewa Mkataba Kufuru

BAADA ya kumalizana na winga wa Yanga, Mghana, Benard Morrison uongozi wa Simba umerudi kwa kasi kwa aliyekuwa nahodha na kiungo...

READ MORE

Tigo Yachangia Simu 1,350 Upatikanaji Wa Vyeti Vya Kuzaliwa

Tigo Tanzania inayo furaha kwa mara nyingine tena kuendelea kushirikiana na serikali kupitia taasisi ya RITA na wadau wengine ikiwemo...

READ MORE

Nafasi ya kazi Accountant – Actionaid Tanzania (AATZ)

Accountant  Internal & External Vacancy Advertisement ActionAid Tanzania is an anti-poverty agency working to end poverty and injustice. Qualified women...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Agosti 12, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 12, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

JWTZ Kusaka Wahalifu Misitu Mpakani na Msumbiji

KIKOSI cha Kusini cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimesema kitafanya msako katika misitu ya mikoa inayopakana...

READ MORE

Mo Ashusha Straika Matata Simba SC

WAKATI wadau wa michezo wakiendelea kutega sikio kwenye hukumu ya aliyekuwa nyota wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison, huku...

READ MORE

Mwanamuziki Kunyongwa kwa Kumkufuru Mtume

MWANAMUZIKI anayetambulika kwa jina la Yahaya Sharif-Aminu, mwenye umri wa miaka 22, kutoka  Jimbo la Kaskazini mwa Nigeria la Kano...

READ MORE

Waziri Junior: Nimetimiza Ndoto ya Mama Kucheza Yanga SC

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Wazir Junior, amesema anajisikia faraja kupata nafasi ya kucheza Yanga kwani aliweka ahadi kwa mama yake...

READ MORE

Mwamnyeto: Nitawashangaza Wengi

BAKARI Mwamnyeto, beki mpya ndani ya kikosi cha Yanga, amesema kuwa atawashangaza wengi ndani ya kikosi hicho kwa kuwa wengi...

READ MORE

Seif Sharif Hamad Akiri Kuwa Yeye Ni Babu Kizee!

KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amekiri hadharani kuwa amezeeka na kwamba...

READ MORE

Putin Atangaza Chanjo ya Kwanza ya Corona Duniani

RAIS Vladimir Putin wa Russia ametangaza leo kuwa nchi yake imetengeneza chanjo ya kwanza kabisa dhidi ya virusi vya corona...

READ MORE

Senzo Akabidhi Ofisi, Nyaraka Simba

ALIYEKUWA Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, Jumatatu jioni Agosti 10, 2020 amekabidhi ofisi na nyaraka za klabu hiyo....

READ MORE

Yanga Yamwaga mil 161 Kumng’oa Sure Boy Azam

KIUNGO mchezeshaji fundi wa Azam FC, Salum Abubakary ‘Sure Boy’, anatarajiwa kuigharimu Yanga jumla ya Sh milioni 161 ukiachana na...

READ MORE

Sakata la Morrison TFF Yasema Nyaraka Hazijatimia – Video

MWENYEKITI wa Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji, Elias Mwanjala, amesema leo wameshindwa kufikia maamuzi ya sakata la mkataba...

READ MORE

Mapacha 3 Wafunga Ndoa na Mapacha Wenzao 3

MAPACHA hao waliandaa sherehe ya harusi katika jimbo la Enugu Nigeria. Sherehe hiyo ya faragha ilhudhuriwa na waalikwa pekee. Picha...

READ MORE

Mgombea Urais NCCR Achukua Fomu NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage amekabidhi fomu za kugombea kiti cha...

READ MORE

Cardi B Ammwagia Sifa Nicki Minaj

RAPA machachari wa kike nchini Marekani, Cardi B, amemwagia sifa hasimu wake kwenye rap, Nicki Minaj, kwa kutawala muziki katika...

READ MORE

Dkt. Abbas: Unaweza Kusajili Mchezaji Mwizi wa Magari, Tutadhibiti – Video

SERIKALI imesema inaweka mfumo imara wa kudhibiti wachezaji wa soka wanaosajiliwa nchini wawe na viwango vinavyotakiwa pamoja na vigezo vya...

READ MORE

Marekani: Apigwa Risasi Nje ya Ikulu, Trump Aondolewa

RAIS wa Marekani, Donald Trump, ghafla amelazimika kuondolewa na maofisa wanaolinda usalama wake kutoka kwenye chumba alimokuwa akiwahutubia waandishi wa...

READ MORE