×

Fomu ya Urais Kuanza Kutolewa Leo NEC Dodoma

WAKATI baadhi ya vyama vya siasa vikiendelea na mchakato wa kusaka mpeperusha bendera wa chama kwenye Uchaguzi Mkuu, ratiba ya...

READ MORE

Mkuranga: Aachiwa Huru Baada ya Kukiri Kumuua Mpenzi Wake

MAMLAKA ya rufaa mjini Dar es Salaam imemuondolea mashitaka mkazi wa kijiji kilichopo wilayani Mkuranga baada kukiri kuwa alimuua mpenzi...

READ MORE

Alikiba: Zamu Yetu Kuwapiga Team Samatta

MFALME wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka kuwa Team Kiba hawatakubali tena kufungwa na Team Samatta katika mtanange wa hisani wa...

READ MORE

Video: Hotuba Ya Waziri Jafo Mbele Ya Waandishi Wa Habari

 WAZIRI wa Tamisemi, Selemani Jafo, leo Agosti 05, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya miundombinu… ⚫️ Kwa UPDATES zote,...

READ MORE

Makamu wa Rais awa Waziri wa Afya

MAKAMU wa Rais wa Zimbabwe, Constantino Chiwenga,  amechaguliwa kuwa Waziri wa Afya, mwezi mmoja baada ya kuibuka kwa kashfa dhidi...

READ MORE

EXCLUSIVE: Millard Afunguka Bifu za Media vs Wasanii…

  MTANGAZAJI wa Clouds FM, Millard Ayo, ameeleza namna anavyoumizwa na bifu zinazotokea kati ya wasanii na baadhi ya vyombo...

READ MORE

Mlipuko Waua 78, Waharibu Majengo Beirut – (Video +Picha)

LEBANON inaomboleza baada ya mlipuko mkubwa katika mji mkuu wa Beirut kuwaua watu 78 na kuwajeruhi wengine 4000 jana  (Jumanne)....

READ MORE

Naibu Waziri Aweso Aipongeza TMA, Ataka Iendelee Kuwasaidia Wakulima

NAIBU Waziri wa Maji, Juma Aweso ameipongeza Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) kwa juhudi wanazozifanya kuwasaidia wakulima kupitia taarifa zao...

READ MORE

Europa League Yafika Patamu! Man United Kucheza Leo

Siku tuliyokuwa tunaingoja hatimaye imewadia sasa Ligi ya Europa imerudi! Mashabiki wa soka ulimwenguni watashuhudia mashindano ya hadhi ya kidunia...

READ MORE

Vodacom yatoa punguzo la bei ya simu za Smart Kitochi zenye 4G kwenye maonesho ya Nanenane mikoa yote nchini

Meneja Biashara na Mkakati wa Mauzo wa Vodacom, kanda ya kati Baraka Siwa (kushoto) akimuonesha mteja, Patrick Sulpice simu aina...

READ MORE

Taarifa za Hali ya Hewa Zimewasaidia Wakulima-TMA

MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imesema wakulima wanaotumia taarifa za hali ya hewa zimekuwa na tija na msaada mkubwa kwenye...

READ MORE

Dah! Stori ya Kanye West Inauma Sana Aisee!

HAINA ubishi, Rapa bilionea, Kanye West ni miongoni mwa marapa bora kuwahi kutokea duniani. Jamaa ni bonge moja la mwimbaji...

READ MORE

Zimbabwe: Rais Mnangagwa Aapa Kupambana na Wapinzani

Rais Emmerson Mnangagwa ameapa kupambana vikali na wapinzani na wanaharakati baada ya kuongezeka kwa maandamano. Pia, amevishutumu vyama na nchi...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Agosti 5, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 5, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Meninah Apewa Makavu Laivu!

MSANII wa muziki, filamu na mshehereshaji maarufu Bongo, Meninah Attick, amepewa makavu laivu baada ya kuposti video kwenye ukurasa wake...

READ MORE

Warembo Waliotikisa Ubunge Viti Maalum

  KINYANG’ANYIRO cha kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Vijana CCM (UV-CCM), kimeendelea kutikisa baada ya...

READ MORE

Jide: Zuchu Atafika Mbali!

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ amesema kuwa msanii na memba mpya wa...

READ MORE

Utata Waibuka Msanii Mpya wa Harmonize!

UTATA umeibuka baada ya bosi wa Lebo ya Konde Gang Music Worldwide, mwanamuziki Rajab Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’ kumtangaza msanii...

READ MORE

Mondi, Zuchu Wana Lao Jambo

NI kizaaza cha aina yake kimeibuka kufuatia matukio mbalimbali waliyoyafanya msanii anayekuja kwa kasi kunako anga la Bongo Fleva, Zuhura...

READ MORE

Mama Ajifungua Mapacha Watano

Mwanamke mmoja jijini Mogadishu, Somalia amejifungua watoto watano kwa mpigo. Mama na watoto wake wote wanaendelea vizuri japo bado wamelazwa...

READ MORE