×

Mtoto Mwingine Atupwa Chooni Kagera

MTOTO mwingine wa kike mwenye umri wa siku tatu, ameopolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwenye choo cha Zahanati...

READ MORE

Mugalu, Bwalya Wawapagawisha Mashabiki Simba

MASTAA wapya waliosajiliwa na Simba juzi waliteka mazoezi ya timu hiyo walipoanza kufanya kwenye Uwanja wa Simba Mo Arena, Bunju...

READ MORE

Rais Magufuli Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu Dodoma Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo...

READ MORE

Wasiojulikana Wachoma Nyaraka Ofisi ya Chadema Mbeya

MNAMO tarehe 19.08.2020 majira ya saa 03:00 usiku huko Mtaa wa Kagwina, Kata ya Sinde, Tarafa ya Sisimba Jijini Mbeya....

READ MORE

Baada ya Kumpindua Rais, Jeshi la Mali Latangaza Serikali ya Mpito

VIKOSI nchini Mali vimemuondoa madarakani rais Ibrahim Boubacar Keïta na kutangaza azma yao ya kuunda serikali ya mpito kabla ya...

READ MORE

Video: Man Fongo, Msaga Sumu, Mzee wa Bwax Uso kwa Uso Dar Live

WANAMUZIKI wa singeli, Man Fongo, Mzee wa Bwax, Msaga Sumu na Malkia Mimah wanatarajiwa kufanya bonge la shoo katika tamasha...

READ MORE

Watatu Wafikishwa Kisutu Wakikabiliwa na Mashtaka Saba

Washtakiwa watatu wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka saba, yakiwemo ya kushiriki...

READ MORE

Taarifa ya CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu

Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha...

READ MORE

Sirro: Wanasiasa Fanyeni Siasa za Amani, Utulivu – Video

  ZIKIWA zimebaki siku chache ili kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Mkuu wa Jeshi la Polisi...

READ MORE

Chama: Kwa Huyo Bwalya Subirini Tu

KIUNGO mshambuliaji wa Simba raia wa Zambia, Clatous Chama, amefunguka kuwa kiungo mpya wa timu hiyo, Larry Bwalya atawabeba katika...

READ MORE

Morrison Apanda Mpira Mazoezi Simba Mo Simba Arena -Video

TIMU ya Simba Agosti 17, 2020 wameanza rasmi mazoezi yanayofanyika kwenye Uwanja wao wa Mo Simba Arena uliopo Bunju nje...

READ MORE

Haji Manara Agoma Kustaafu Simba, Bado Yupo Fiti

Msemaji wa Simba Haji Manara leo Agosti 19, 2020 amefuta kauli yake ya kustaafu akisema kuwa jana Agosti 18, 2020...

READ MORE

Waliofariki kwa Covid-19 Kenya Wafikia 487

KENYA imetangaza watu wanne zaidi kufariki kutokana na CoronaVirus na kufanya idadi ya vifo kufikia 487. Aidha, watu 271 wamethibitishwa...

READ MORE

Viingilio Simba Day Vyatajwa, Diamond Kuburudisha! -Video

AFISA Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara,  leo Agosti 19, 2020,  amesema Simba itacheza na timu kutoka Burundi ya...

READ MORE

Biden Ateuliwa Rasmi Democratic Kugombea Urais

WAJUMBE wa mkutano mkuu wa kitaifa wa Chama cha Democratic nchini Marekani wamemteua rasmi Joe Biden kuwa mgombea urais kwa...

READ MORE

Kenya: Mama Amzika Mtoto wa Siku 1, Kisa Kuchepuka

MWANAMKE mmoja nchini Kenya anatuhumiwa kumuua na kumzika mtoto wa siku moja baada kulaumiana na mume wake juu ya kupata...

READ MORE

Zahera: Tuisila ni Zaidi ya Morrison

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Ufundi ndani ya Gwambina FC, amefunguka...

READ MORE

Wanahabari Washiriki Maandamano Kumpinga Rais

WAFANYAKAZI wa Shirika la Habari la Belarus wameacha majukumu yao na kujiunga na maelfu wa waandamanaji kutaka Rais wa nchi...

READ MORE