×

Tuzo za Mo Dewji Simba Zayeyuka

UONGOZI wa Klabu ya Simba umefunguka kuwa safari hii hawatarajii kuwa na Tuzo za Mo kama walivyofanya misimu miwili iliyopita...

READ MORE

Dkt. Shein Aaga Rasmi Zanzibar

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, ametumia Baraza la Eid, lililofanyika Bumbwini,...

READ MORE

Morrison Alia Asema Kukamatwa na Polisi ni Njama

NYOTA raia wa Ghana, Bernard Morrison ameingia katika sekeseke jingine baada ya kukamatwa na kushikiliwa kwa muda na Polisi wa...

READ MORE

Lindi: Kikwete Aongoza Swala ya Eid El-Adha

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne  Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislam katika swala ya Eid...

READ MORE

Denti Kidato Cha Tano Aandaa Maonesho Ya Picha

Rania Nasser ambaye ni Mwanafunzi wa Kidato cha Tano ameandaa maonyesho ya picha yanayojulikana kama ‘Watu wa Tanzania’ ambayo yatafanyika...

READ MORE

Mwanamke Kortini Kunyanyasa Kingono Watoto wa Jirani

MWANAMKE  mmoja anayefahamika kwa jina la Irene James mwenye umri wa miaka 36 amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Tabora akituhumiwa...

READ MORE

ONA MABADILIKO YA SHERIA: Kanuni za Maudhui Mtandaoni 2020

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe amefanya mabadiliko ya sheria ya Kanuni za Maudhui...

READ MORE

Majaliwa: Semeni Mtakayofanya, Si Kubeza ya Wengine – Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu mara kampeni za uchaguzi mkuu zitakapofunguliwa ili kuepuka vurugu zinazoweza...

READ MORE

Askari Walevi Waua Watu 12 Congo

ASKARI waliokuwa wamelewa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamemimina risasi na kuua watu 12 na kuwajeruhi wengine kadhaa.  ...

READ MORE

DC wa Arusha Afunga Ndoa na Miss Dodoma

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Kenani Labani Kihongosi, jana amefunga ndoa mkoani Iringa na mchumba wake  Adilla Chigomelo aliyewahi kuwa...

READ MORE

Marekani: Trump Asema Uchaguzi wa Urais Uahirishwe

DONALD TRUMP  ametoa wito kuwa uchaguzi wa rais utakaofanyika Novemba mwaka huu uahirishwe akidai kuongezeka kwa upigaji kura kwa njia...

READ MORE

Majaliwa Azungumza Katika Swala na Baraza la Eid Dar -Video

Eid Al Adha Jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema kuwa ni muhimu kwa wanasiasa kueleza yale waliyopanga kuwasaidia wananchi kuliko...

READ MORE

Kenya Yaruhusu Ndege Nchi 11, Tanzania Haimo

IKIWA siku kadhaa kabla ya kuanza kwa safari za ndege kimataifa, serikali ya Kenya imetangaza mwongozo mpya kuhusu hatua hiyo....

READ MORE

Esma Afanyiwa Maulid Madale, Dar – Video

DADA wa mwanamuziki Diamond Platnumz, aitwae Esma Platnumz,   usiku wa kuamkia leo Julai 31, 2020 amefanya sherehe ya Maulid huko...

READ MORE

Simbachawene: Polisi Wajipange Vyema Uchaguzi Mkuu

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene,  amelitaka Jeshi la Polisi kudhibiti vurugu zozote au uvunjifu wa sheria...

READ MORE

Video: Vituko Vya Diamond, Zuchu na Mama Dangote Kwenye Harusi Ya Esma

 USIKU wa Julai 30, 2020 Dada wa Diamond Platnumz, Esma Platnumz amefanya sherehe ya harusi yake ikiwa ni wiki...

READ MORE

Bastola, Gobole Vyakamatwa Katika Palanja la Polisi – Video

POLISI  Mkoa wa Mbeya inamshikilia Amani Mpindule (68) Mkazi wa Lualaje kwa tuhuma za kumiliki silaha bunduki aina ya Gobole...

READ MORE

Polisi Dar Yauwa Majambazi Watatu

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewaua majambazi watatu na kukamata silaha mbili aina ya Short Gun Pump...

READ MORE

Magereza: Wananchi Ruksa Kutembelea Wafungwa

KUFUATIA kupungua kwa maambukizi ya virusi vya COVID-19 Jeshi la Magereza nchini limefuta masharti ya katazo la huduma ya kuwatembelea...

READ MORE