×

Taarifa za Hali ya Hewa Zimewasaidia Wakulima-TMA

MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imesema wakulima wanaotumia taarifa za hali ya hewa zimekuwa na tija na msaada mkubwa kwenye...

READ MORE

Dah! Stori ya Kanye West Inauma Sana Aisee!

HAINA ubishi, Rapa bilionea, Kanye West ni miongoni mwa marapa bora kuwahi kutokea duniani. Jamaa ni bonge moja la mwimbaji...

READ MORE

Zimbabwe: Rais Mnangagwa Aapa Kupambana na Wapinzani

Rais Emmerson Mnangagwa ameapa kupambana vikali na wapinzani na wanaharakati baada ya kuongezeka kwa maandamano. Pia, amevishutumu vyama na nchi...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Agosti 5, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 5, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Meninah Apewa Makavu Laivu!

MSANII wa muziki, filamu na mshehereshaji maarufu Bongo, Meninah Attick, amepewa makavu laivu baada ya kuposti video kwenye ukurasa wake...

READ MORE

Warembo Waliotikisa Ubunge Viti Maalum

  KINYANG’ANYIRO cha kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Vijana CCM (UV-CCM), kimeendelea kutikisa baada ya...

READ MORE

Jide: Zuchu Atafika Mbali!

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ amesema kuwa msanii na memba mpya wa...

READ MORE

Utata Waibuka Msanii Mpya wa Harmonize!

UTATA umeibuka baada ya bosi wa Lebo ya Konde Gang Music Worldwide, mwanamuziki Rajab Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’ kumtangaza msanii...

READ MORE

Mondi, Zuchu Wana Lao Jambo

NI kizaaza cha aina yake kimeibuka kufuatia matukio mbalimbali waliyoyafanya msanii anayekuja kwa kasi kunako anga la Bongo Fleva, Zuhura...

READ MORE

Mama Ajifungua Mapacha Watano

Mwanamke mmoja jijini Mogadishu, Somalia amejifungua watoto watano kwa mpigo. Mama na watoto wake wote wanaendelea vizuri japo bado wamelazwa...

READ MORE

Man U Yafunga Kazi kwa Sancho

Jadon Sancho ameripotiwa kuwa tayari ameingia makubaliano na Manchester United na hivyo yupo tayri kudondosha saini kwa kandarasi ya miaka...

READ MORE

Waziri Mwakyembe Azindua Kanuni Mpya Za Bodi Ya Filamu

Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe leo amezindua kanuni mpya za Bodi ya Filamu nchini ambapo zitawapa...

READ MORE

Harmonize Azindua Tamasha Lake ‘Harmo Night Carnival’ – Video

Msanii kutoka Lebo ya Konde Gang wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize  amezindua rasmi Tamasha lake la Harmo Night Carnival....

READ MORE

Jaji Mtungi: Chadema Wameunajisi Wimbo wa Taifa, ni Jinai – Video

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji mstaafu Francis Mutungi amewaonya CHADEMA kutokana na alichokiita Uvunjifu wa Sheria kwa kuongeza...

READ MORE

Bombardier ya ATCL Kuanza Kuruka na Kutua Songea

SERIKALI imesema ndege aina ya Bombardier Q400 itaanza safari zake za kuruka na kutua katika Kiwanja cha ndege cha Songea...

READ MORE

Man United Yamalizana na Sanchez

Manchester United hatimaye imemalizana na Alexis Sanchez baada ya klabu ya Inter Milan kukubali kumsajili nyota huyo raia wa Chilea...

READ MORE

Exclusive: Snura Amwambia Shilole, ‘Acha Utoto’ – Video

MWANAMUZIKI wa singeli nchini, Snura Mushi, amejibu tuhuma zilizotolewa na mwanamuziki mwenzake, Zuwena Mohammed maarufu kwa jina la Shilole au...

READ MORE

NEC Yataka Wasimamizi Uchaguzi 2020 Kutozima Simu

WASIMAMIZI wa uchaguzi wa mikoa na wasimamizi wa uchaguzi mkuu ngazi ya wilaya na majimbo, wameagizwa kuhakikisha simu zao zinakuwa...

READ MORE