×

CCM Itaweza Kuruka Moto wa Vihunzi Hivi Kusini?

WAKATI moshi wa Uchaguzi Mkuu mwaka huu, ukizidi kufuka, yamkini mikoa ya Lindi na Mtwara sasa itakoleza moto wa uchaguzi...

READ MORE

Watia Nia 55 CCM Chato Kumvaa Kalemani

KATIKA hali iliyowashangaza wengi, watia nia wapatao 55 wamejitokeza kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili wapitishwe kugombea ubunge...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi; Resonance Global Tanzania – Private Sector Network Consultant

Vacancy title: Private Sector Network Consultant (Generalist) Jobs at: Resonance Deadline of this Job: 31st July, 2020 Duty Station: Within...

READ MORE

Breaking: Rais Magufuli Ahirisha Sherehe Za Mashujaa 2020

Rais John Magufuli ameahirisha sherehe za mashujaa zilizokuwa ziganyike Julai 25 mwaka huu jijini Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Ujenzi Bwawa la Nyerere Wakamilika Hatua Zote 8

HATUA zote nane  za utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115)...

READ MORE

HESLB Yafungua Maombi ya Mikopo Elimu ya Juu 2020/2021

TUNAPENDA kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji...

READ MORE

CCM Yampongeza Mobeto!

 Mazito yamemfika msanii wa Bongo Fleva, mwanamitindo Hamisa Mobeto baada ya hivi karibuni kuonesha anauza vitenge vya Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

RC Awacharaza Viboko Wanafunzi Waliochoma Shule

MKUU wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amewachapa viboko wanafunzi watano waliohusika katika tukio la kuchoma moto shule...

READ MORE

Zahera Ambakiza Molinga Yanga

ALIYEWAHI kuwa Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera, ametoa kauli inayomaanisha kuwa anatamani kuona David Molinga akiendelea kubaki kuichezea Yanga msimu...

READ MORE

Kyela Express Lapinduka, Laua Mtu Mmoja

POLISI Mkoa wa Mbeya wanamshikilia dereva wa basi la Kampuni ya Kyela Express Denis Lameck  (48) aliyekuwa akiendesha basi lenye...

READ MORE

Dante Hajui Kwa Nini Hachezi Yanga

BEKI wa Yanga, Andrew Vincent ‘Dante’, amesema kuwa yupo fiti kwa asilimia zote, lakini anashangaa kwa nini hachezi ndani ya...

READ MORE

Shilole Ageuziwa Kibao Kipigo cha Uchebe!

DAR: Sakata la staa wa filamu na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kuchezea kipigo kutoka kwa mumewe, Ashraf Uchebe linazidi...

READ MORE

Majina Waliochaguliwa Kujiunga JKT 2020

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza majina ya vijana waliohitimu kidato cha sita kutoka shule zote za Tanzania Bara waliochagulwa...

READ MORE

Simba vs Yanga ‘Zinawatesa’ Mastaa Mitandaoni

SOKA ni moja kati ya michezo inayoongoza kwa kupendwa. Kuwa shabiki wa mpira ni kama vile kile kilevi, huachi kutaka...

READ MORE

Simba Yaingilia Usajili wa Straika Yanga

HAKUNA ubishi tena kuwa, Simba imeamua kuvuruga mipango ya Yanga kwa kuipata saini ya straika wa Namungo FC, Reliants Lusajo...

READ MORE

Ofa Kabambe za Soka Wikiendi Hii

Mbio za Taji la La Liga msimu huu zimekuwa nzuri japo ni ndefu na mzunguko wa pili kutoka mwisho wa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Julai 18, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 18, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE