×

BREAKING: Wagonjwa wa Corona Tanzania Wafika 254

Wizara Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema licha ya uwepo wa wagonjwa wapya 84 wa corona na...

READ MORE

Harmo Atajwa Kumhujumu Kiba

NYUMA ya pazia la muziki wa Bongo Fleva, kuna vita nyingi na kubwa za kimyakimya! Tukio la wasanii wawili wa...

READ MORE

Kiungo Azuiwa Kusaini Simba, Yanga

UONGOZI wa Namungo FC ya Ruangwa, Lindi imeanza mazungumzo na kiungo wake mshambuliaji Reliants Lusajo kwa ajili ya kumbakisha.  ...

READ MORE

Kapombe Amvuta Mbadala wa Wawa Simba SC

SIMBA ishindwe yenyewe kwa beki wa kati wa timu ya taifa ya Kenya na Klabu ya KCB ya nchini humo,...

READ MORE

Ukweli Mbosso Kupewa Gari la Tanasha

MAMBO ni mengi sana mjini. Unaambiwa wananzengo wamepiga kelele sana huko Instagram kwamba gari analotamba nalo staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Harusi ya Nandy, Billnass Usipime!

MAMBO ni moto! Ndiyo maneno yanayotamkwa mtaani kwa sasa kutokana na habari kueleza kuwa, harusi ya mastaa wa Bongo Fleva;...

READ MORE

Wakenya Waipa Yanga Bonge la Kiungo

NEEMA imewaangukia Yanga baada ya meneja wa kiungo, Yidah Sven anayekipiga katika Klabu ya Kariobang Sharks ya Kenya, kukubali kumuachia...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafikia 181

IDADI ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 281 baada ya visa vingine 11 kuthibitishwa leo Jumatatu,...

READ MORE

Bunge, CCM, ACT Wazalendo Wamlilia Mama Rwakatare

Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai amesema amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mbunge wa...

READ MORE

Mwandishi Afungiwa kwa Kusambaza Taarifa za Mgonjwa wa Corona

Idara ya Habari (MAELEZO) Zanzibar imemsimamisha kufanya kazi za uandishi Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Talib Ussi...

READ MORE

Mbunge Tanzania Aambukizwa Corona – Video

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo,...

READ MORE

Rais JPM Amlilia Mama Rwakatare

Rais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Wanafamilia, Wabunge na Waumini wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni...

READ MORE

Pierre Liquid Aambukizwa Corona, Alazwa Amana

MCHEKESHAJI Peter Mollel maarufu kama Pierre Liquid,  amebainika kuwa na maambukizi ya #COVID19 na sasa yupo Hospitali ya Amana akiendelea...

READ MORE

Corona: Miili ya Waafrika Itatapakaa Mitaani – Melinda Gates

MELINDA GATES, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia haitachukua hatua  za haraka za kukabiliana na...

READ MORE

Wafanyabiashara 200 Watanzania Wawekwa Karantini Kenya

WAKATI maambukizi ya Virusi vya Corona yakizidi kushika kasi nchini, zaidi ya Watanzania 200 wanaofanya biashara nchini Kenya, wamekamatwa na...

READ MORE

Kahama: Wawili Wauawa Wakituhumiwa Kuwa ni Wezi

WANAUME wawili ambao hawajafahamika majina wala Makazi wenye umri kati ya 20 – 25 wanaodhaniwa ni wezi wilayani Kahama mkoani...

READ MORE

Amekutumia Halafu Anakuacha? Usiumie, Fanya Haya!

MUNGU ni mwema sana. Tunakutana alhamisi nyingine katika eneo letu la kuweza kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Tunajifunza, tunatafakari...

READ MORE

Breaking: Kifo cha Mama Rwakatare, Shigongo Aeleza Mazito – Video

MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto, Askofu Gertrude Rwakatare, amefariki dunia alfajiri ya leo ya Aprili 20, 2020, akiwa...

READ MORE

Corona: Kipindi Mjadala Kuhusu Wauguzi na Madaktari – Video

Katika kipindi cha Front Page, leo Aprili 20, 2020, wachambuzi wamechambua Mjadala kuhusu wauguzi na madaktari katika kipindi hiki kigumu...

READ MORE