×

Rais Samia Na Rais Mstaafu Kikwete Wapongezwa Kwa Kufanikisha Ushindi Wa Profesa Janabi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa maono yake ya mbali na uamuzi wa...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Mji Handeni, Mwisho wa kutuma maombi Mei, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni -Tanga amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...

READ MORE

Shigongo Awachana Vijana Wa Buchosa “Hatuwezi Kuwa Na Taifa Lenye Ulevi Na Kubeti…” – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa vijana kutoendekeza ulevi na kubet na kwamba Tanzania haiwezi kuwa taifa la vijana wanaowaza...

READ MORE

Nusrat Hanje Kutangaza Kuhamia CCM, Aeleza Sababu za Kuachana na Chadema

Mbunge wa Viti Maalum kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, ametangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) muda...

READ MORE

Kesi ya Uhaini ya Lissu Yapigwa Kalenda Kisutu, Afikishwa Mahakamani – Video

Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Mei 19.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Marekani Joe Biden Agundulika na Saratani ya Tezi Dume

Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden, amethibitishwa na ofisi yake kuwa amegundulika kuwa na aina kali ya saratani ya...

READ MORE

Kamenge: Prof. Janabi Awe Chachu ya Kupambana na Magonjwa ya Milipuko Kagera

Kufuatia kuchaguliwa kwa Prof. Mohammed Janabi kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika, watu na...

READ MORE

CCM Yatamba Kuwachukua Wanachama wa ACT Wazalendo

Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar kimeendelea kupoteza wanachama na viongozi wake ambao kati yao wametangaza kuhamia CCM huku ikitajwa kuwa...

READ MORE

Majaliwa Atoa Wito wa Amani na Ushirikiano Kwimba, Aahidi Maendeleo kwa Wote

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali ipo kazini na inaendelea kufanyakazi ya kuwahudumia na kuwatumikia wananchi katika maeneo...

READ MORE

Wasichana Katika Teknolojia: Mpango wa Vodacom Wapunguza Pengo la Kijinsia Katika STEM

  Mmoja wa mwanafunzi wa kike akifanya wasilisho la mradi wa kundi lake kama sehemu ya kilele cha Wiki ya...

READ MORE

Nmb Foundation Yawanoa Wakulima wa Zao la Kakao Kyela, Serikali Yaipongeza

SERIKALI imeipongeza Taasisi za NMB Foundation kwa kuendesha Mafunzo kwa Wakulima wa Zao la Kakao kutoka Vyama vya Msingi vya...

READ MORE

Jamaa Amfumania Mkewe Akiwa Anavunja Amri ya Sita na Mtoto Wa Kambo

Jina langu ni Juma Ally. Leo ninasimulia hadithi ambayo imetikisa familia yangu kwa kiasi kikubwa. Tukio hili limewaacha watu midomo...

READ MORE

Boni Yai: Mbowe Hana Uhusiano na Wanaojiondoa Chadema – Video

Kada maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob almaarufu Boni Yai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kanda...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Mradi wa Maji Hungumalwa Wilayani Kwimba

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na...

READ MORE

CRDB Yaadhimisha Miaka 30 kwa Kutoa Jumla ya Gawio Kubwa Zaidi Kuwahi Kutokea la Bil 170

Arusha 17 Mei 2025 – Katika Mkutano Mkuu wa 30 wa Mwaka wa Wanahisa (AGM) uliofanyika katika kituo cha mikutano...

READ MORE

Yas Yaungana na Redington Kusambaza Iphone 16E

Dar es Salaam, Mei 23, 2025 – Kampuni ya Mawasiliano ya Yas imeungana na Kampuni ya Redington, ambao ni wasambazaji...

READ MORE

Yanga Watinga Fainali ya CRDB Federation Cup Baada ya Kuwachapa JKT Tanzania 2-0

MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekata tiketi ya kutinga hatua ya...

READ MORE

Wastara Adai Kuwekewa Sumu Kwenye Soda, Tumbo Limevimba – Video

Hali ya mwanadada Wastara Juma, ni tete! Anaumwa, tumbo limevimba, ngozi inababuka na pia anaeleza kuwa kuna madhara ameyapata kwenye...

READ MORE

Profesa Janabi Ashinda Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi leo Mei 18, 2025 ameibuka kidedea katika uchaguzi wa...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha Elimu (DUCE) ni Chuo Kikuu kidogo kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Dar...

READ MORE