×

Dkt. Mpango Azindua Shule ya Sekondari ya Mfano ya CRDB, Benki Hiyo Ikitimiza Miaka 30

Arusha 16 Mei 2025 – Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, amezindua rasmi...

READ MORE

SBL na Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) Waadhimisha Mahafali ya Kwanza ya Mafunzo ya Ukarimu kwa Vijana

Dar es Salaam, Mei 16, 2025 –   SBL na Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) Waadhimisha Mahafali ya Kwanza ya...

READ MORE

Siku ya Miliki Bunifu 2025, Miliki na Bunifu na Muziki: Sikiliza Mdundo wa Ubunifu

Kila mwaka ifikapo tarehe 26 ya mwezi Aprili, dunia huadhimisha siku ya miliki ubunifu. Siku hii ilianza kuadhimishwa rasmi mwaka...

READ MORE

Rais Samia Ampokea Rais wa Finland, Alexander Stubb, Ikulu Dar

Rais wa Finland, Alerander Stubb amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia leo Jumatano, Mei 14,...

READ MORE

Rais wa Finland, Alexander Stubb, Aanza Ziara Rasmi ya Siku Tatu Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, amewasili jijini Dar es Salaam, Tanzania kwa ziara rasmi ya siku tatu kuanzia...

READ MORE

Majaliwa na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire Wajadili Ushirikiano wa Kiuchumi na Kilimo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia,...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Mchezo Mpya wa Kipekee – “Gates of Olympia” Kutoka Expanse Studios

Kwa mashabiki wa michezo ya kasino mtandaoni, Meridianbet ina habari njema: sasa unaweza kucheza Gates of Olympia, mchezo mpya wa...

READ MORE

Cassie Ventura Atoa Ushahidi wa Kushtusha Kesi ya Diddy, New York

Mwanamuziki maarufu na mfanyabiashara Sean “Diddy” Combs, mwenye umri wa miaka 55, ambaye anakabiliwa na mashtaka mazito mahakamani ya unyanyasaji...

READ MORE

Rais Maskini Zaidi Duniani Afariki Akiwa na Umri wa Miaka 89

Rais wa zamani wa Uruguay aliyeiongoza nchi hiyo kati ya mwaka 2010-2015 akijulikana kama ‘Rais maskini zaidi duniani’ kutokana na...

READ MORE

Vyama vya siasa vyapigwa marufuku kufanya siasa Mali

Serikali ya kijeshi nchini Mali imetangaza kusitisha shughuli za vyama vyote vya kisiasa na mashirika ya kiraia katika taifa hilo...

READ MORE

Simba Watua Morocco Kibabe kwa Ajili ya Mchezo wa Fainali

Kikosi cha Simba chawasili salama nchini Morocco kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la...

READ MORE

Ali Choki Afichua Siri Ya Urafiki Wake Na Omari Seseme – Video

Kiwanda cha muziki wa Dansi Tanzania kimepata pigo la kuondokewa na miongoni mwa magwiji wa muziki huo Omary Seseme. Seseme...

READ MORE

Yanga: Tumebakiwa na Mechi Mbili tu za Ligi

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa umebakiwa na mechi mbili za Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 mara baada ya...

READ MORE

Mwili wa Charles Hilary Ulivyowasili Zanzibar Kwa Mazishi

Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasilino Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Charles Hilary umewasili...

READ MORE

Maajabu ya Mgonjwa Aliyeondoka Mwenyewe Chumba cha Wagonjwa Mahututi Kimiujiza

Katika hali ya kushangaza, Kenny Mwaniki ambaye alikuwa amelazwa kitanda cha hospitali ya Thika Level 5 ICU aligonga vichwa vya...

READ MORE

Bunge Lapitisha Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ya Trilioni 2.4

Kwa kauli moja Mei 13, 2025 Bunge la Tanzania limepitisha kwa kishindo bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...

READ MORE

Rais Samia Alivyoongoza maziko ya Hayati Cleopa David Msuya Usangi Wilayani Mwanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Mei 13,  2025 ameongoza Watanzania kwenye maziko ya Makamu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 14, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

CRDB Yawakaribisha Wanahisa Kwenye Mkutano Mkuu wa 30

Benki ya CRDB imewataka wanahisa wake kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Mkutano Mkuu wa 30 wa Wanahisa, unaotarajiwa kufanyika Jumamosi,...

READ MORE

Mechi Kali Duniani Leo, Meridianbet Yawapa Odds Za Kibabe!

Kama kawaida unaenda kutimiza ndoto zako leo na wakali wa ubashiri kwa kubashiri mitanange ya leo kule Misri na kwingineko....

READ MORE