×

Kiu Yako ya Ushindi Inatimia Leo Hii Italia, Ufaransa na Hata Kule Saudia

Je unajua kuwa kiu yako ya kutaka ushindi inaweza kutimia siku ya leo ukiwa a wakali wa ubashiri Meridianbet?. Pale...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini...

READ MORE

Kipa Wa Zamani Wa Simba, Yanga Auwawa Kwa Kuchomwa Moto

Taarifa za kusikitisha zilizotufikia zinadai kwamba aliyewahi kuwa golikipa wa Klabu ya Simba miaka ya nyuma, raia wa Jamhuri ya...

READ MORE

Asilimia 90 Ya Kipato Cha Mwanamke Hutumika kwa Ajili Ya Familia

Katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na...

READ MORE

Meridianbet Foundation Yaongeza Mchango Wake kwa Elimu

Meridianbet Foundation, sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), imezindua kampeni ya kimataifa ya uchangiaji vitabu, ambayo inalenga kusaidia maktaba...

READ MORE

Waziri Mkuu Aongoza Matembezi Hisani Na Uzinduzi Wa Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya Tet

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza matembelezi ya hisani na uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya Mamlaka ya Elimu Tanzania...

READ MORE

Biteko Akutana na Mtendaji Mkuu wa Rashal Energies, Inayojenga Bomba la Gesi Kisemvule-Mbagala  

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya...

READ MORE

Aliyejifanya Luteni Wa Jeshi Simiyu Apandishwa Kizimbani – Video

Nchambi Nsungwa Mapanda kwa jina maarufu Emanuel Gangala (24) mkazi wa mtaa wa sima katika halimshauri ya mji wa Bariadi...

READ MORE

Mama Wa Watoto Waliopotea Wakakutwa Mochwari Azungumza Ilivyokuwa – Video

Huzuni kubwa imetanda katika familia ya Hassan, mkazi wa Temeke, baada ya watoto wake wawili kupoteza maisha katika ajali mbaya...

READ MORE

Njia Tano Za Kudumisha Uhusiano Kimapenzi

UKWELI ni kwamba mapenzi hayana njia moja ya kufuatwa lakini kuna vitu ambavyo vinajulikana kuchangia katika kuboresha uhusiano baina ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 7, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Rais Samia Kuisuka Upya Muhimbili, Mipango Yaiva Na Huduma Zote Zitatolewa Ndani Ya Jengo Moja

Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa...

READ MORE

Mabadiliko Katika Sheria za Uchaguzi Sasa Kuruhusu Wafungwa Chini ya Miezi 6 Kupiga Kura

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema mabadiliko katika...

READ MORE

Trump kuwatimua chuoni wanaounga mkono Wapalestina

Rais Donald Trump wa Marekani, ametishia kusitisha ufadhili wa serikali ya shirikisho kwa vyuo vikuu au taasisi zozote za elimu...

READ MORE

Ifahamu Simu Mpya ya Infinix Zero Flip Min Tri-Fold Yenye Uwezo wa Kujikunja Mara Tatu

Infinix inakaribia kuzindua toleo jipya la simu itayofahamika kwa jina la Infinix ZERO Flip Min Tri-Fold yenye uwezo wa kujikunja...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama SADC kwa njia ya mtandao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi...

READ MORE

Macron: Nani anaamini Urusi ya leo itaishia tu Ukraine?

Rais Emmanuel Macron amewakumbusha viongozi wenzake kwamba “hatma ya Ulaya haiwezi kuamuliwa na Washington au Moscow” na kuwatanabahisha kuwa enzi...

READ MORE

Serikali Inatambua Umuhimu Wa Kukuza Usawa Wa Kijinsia Na Uwezeshaji Wanawake – Majaliwa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yanayofanyika katika viwanja...

READ MORE

Dereva Wa Teksi Akamatwa Kwa Tuhuma Za Mauaji Morogoro

Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Omary Seleman Mwanamtwa (61), mkazi wa Morogoro ambaye ni dereva wa teksi, anashikiliwa na...

READ MORE

‘Wapambe’ Wa Riek Machar Wakamatwa Sudan Kusini

Vikosi vya Sudan Kusini vimemkamata Waziri wa Mafuta na maafisa kadhaa wakuu wa kijeshi waitifaki wa Makamu wa Kwanza wa...

READ MORE