×

Serikali Yajenga Vituo 8 Vya Ubunifu Kuboresha Tehama

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha serikali na wadau wa...

READ MORE

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kenya (IEBC), Wafula Chebukati Afariki

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC), Wafula Chebukati, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Kaka...

READ MORE

Mama Maria Nyerere: CCM Idumishe Uwezo wa Taifa Kujitegemea

Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere, ameitaka CCM kuendelea kutimiza wajibu wake wa kuzisimamia serikali...

READ MORE

SBL Yazindua Programu Ya Kukabiliana na Unywaji wa Pombe Chini ya Umri

Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni yake ya kukabiliana na unywaji wa pombe kwa vijana chini ya umri inayojulikana kama...

READ MORE

Jimmy Mafufu Ahama Chadema, Amchacha Lissu, Roma Na Nay – Video

Msanii wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Akitangaza...

READ MORE

Historia Fupi Ya Klabu Ya Almasry Inayocheza Na Simba

Al Masry Sporting Club ni klabu ya michezo ya Misri yenye makao yake huko Port Said, inayojulikana zaidi kwa timu...

READ MORE

Jaji Warioba: Napongeza CCM Kwa Hatua Zake Dhidi ya Rushwa

Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba, amepongeza hatua zilizoanza kuchukuliwa na Chama...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 21, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Mtoto ‘Genius’ Darasa La 7 Aliyewakosha Hadi Mawaziri, Atamani Kuwa Waziri Wa Nishati – Video

Sikiliza nondo za mtoto Mirabel Msikari aliyetrend mitandaoni kwa kuonesha uwezo mkubwa wa kuelezea kwa ufasaha hali ya upatikanaji wa...

READ MORE

Mkuu wa Utumishi Jeshini, Meja Jenerali Elisha Gaguti Afanya Mazungumzo na RC Mwasa wa Kagera

Mkuu wa Tawi la Utumishi Jeshini Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Simba Yapangwa Na Al Masry Robo Fainali

Simba SC, wamepangwa kucheza dhidi ya Al Masry SC ya Misri katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho...

READ MORE

Rais Samia Azindua Tume ya Kutathmini mgogoro wa ardhi Hifadhi ya Ngorongoro

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la...

READ MORE

Mashindano Ya Michezo Ya Majeshi Ya Tanzania Kufanyika Arusha Juni, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda Jumatano Februari 19, 2025 Ofisini kwake Jijini Arusha, amekutana na kuzungumza na...

READ MORE

Shinda Mamilioni Kupitia Michuano Ya Uefa Europa League

Leo ni fursa ya kushinda kitita kupitia michuano ya Uefa Europa league ambapo itashuhudia viwanja mbalimbali vikiwaka moto kutokana na...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Italia: Umoja wa Ulaya (EU) Usipingane na Marekani

Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni amesema Umoja wa Ulaya (EU) haupaswi kuchukua msimamo ambao utakinzana na sera ya Marekani...

READ MORE

Majaliwa: Mama Samia Legal Aid Yafikia Wananchi Zaidi Ya Milioni 1

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni ubunifu wa Rais...

READ MORE

Wolper Ajilipua Harusi Ya Hamisa Na Aziz Ki, Msikilize Mwanzo Mwisho – Video

Msanii wa sanaa ya Uigizaji nchini, Jackline Wolper amefunguka na kueleza kuwa, Aziz KI na Mobetto wanapaswa kupendana na kusikilizana...

READ MORE

Maskini Carina! Mshono Wafumuka Tena Ghafla, Alia Maumivu – Video

Mwanadada aliyewahi kujihusisha na sanaa ya Bongo Muvi, Carolinahawa Hussein, kwa mara nyingine tena anakabiliwa na tatizo la utumbo wake...

READ MORE

Mazito! Wema Atupa Bomu Kwa Mobetto “Sina Cha Kumshauri, Akiona Hana Furaha Aondoke” – Video

Mwanamitindo na Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini, Wema Sepetu amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa endapo Mobetto hatopata...

READ MORE

Giggy Money Acharuka, Aanika Penzi La Pacome, Shughuli Ya Hamisa Na Azizi KI – Video

Mwanamitindo Gigy Money, amefunguka na kueleza kuwa, Hamisa Mobetto alikuwa anampenda sana Aziz KI jambo lililopelekea kukubali kufunga naye ndoa.

READ MORE