×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 31, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

A-Z Ndoa Ya Barack Obama Na Michelle Kudaiwa Kuvunjika, Mambo Si Shwari – Video

Ni dhahiri kwamba miongoni mwa ndoa za watu mashuhuri zilizokuwa na mashabiki wengi duniani katika miaka ya hivi karibuni, ni...

READ MORE

TRA Yahamishia huduma zake katika jengo la Diamond Plaza

Kufuatia ajali ya moto iliyotokea leo Januari 30, ambayo imeathiri jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) lililopo Kariakoo, mamlaka...

READ MORE

Dkt. Biteko Aongoza Waombolezaji Kuaga Miili Ya Wanafunzi Waliofariki Kwa Radi Geita

Leo Januari 30, 2025 mkoani Geita, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kuaga miili ya wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Chakula Cha Mchana Na Walioshiriki Uokoaji Jengo Kariakoo (Picha + Video)

Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki chakula cha mchana na watendaji wa vikosi mbalimbali pamoja na watu walioshiriki katika shughuli ya...

READ MORE

Meridianbet Yapeleka Msaada Zahanati ya Alimaua

Katika kuendelea kuisadia jamii kwenye mahitaji mbalimbali, Meridianbet waliamua kufika katika zahanati ya Alimaua na kutoa msaada wa mashuka ambapo...

READ MORE

Jengo La TRA Kariakoo Lateketea Kwa Moto, Jeshi La Zimamoto Watinga Kuuzima – Video

Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo – Dar es salaam....

READ MORE

Mobetto na Aziz Ki Waweka hadharani Uhusiano Wao – Picha

KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Stephanie Aziz Ki, pamoja na mwanamitindo, muigizaji, na msanii wa muziki wa kizazi...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kikao cha Dharura EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa 24 wa Dharura wa Wakuu wa...

READ MORE

Exim Bank Yapanua Wigo Wake kwa Kuipokea Canara Bank Tanzania

Exim Bank Tanzania imekamilisha rasmi ununuzi wa Canara Bank Tanzania! Huu ni ununuzi wa tatu ndani ya miaka sita, ikizidi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 30, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Mahakama Yamhukumu Raia wa Canada Kwa Kuisababishia Hasara Serikali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani Abdi Warsam Raia wa Canada mwenye asili ya Somalia na kuamuliwa kurudisha kiasi...

READ MORE

NMB Yavunja Rekodi ya Ufanisi kwa Matokeo ya Kihistoria ya Mwaka wa Fedha 2024

Matokeo haya mazuri ya kifedha yamechagizwa na utekelezaji makinii wa mkakati wa Benki na uwekezaji endelevu katika kutumia uwezo wa...

READ MORE

Wassira Awasili Geita, Kuzindua Maadhimisho Miaka 48 Ya CCM – Video

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amewasili mkoani Geita kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo...

READ MORE

Lissu Akabidhiwa Ofisi, Afungukia Uchaguzi, Ataka Wanachama Kuungana – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amekabidhiwa leo ofisi yake na Katibu Mkuu wa chama hicho...

READ MORE

Mjue Mwanamke Mrefu na Mfupi Duniani, Washangaza – Video

Wanawake wawili waliovunja rekodi za dunia kwa urefu na ufupi wao hivi karibuni walikutana kwa mara ya kwanza jijini London,...

READ MORE

Selina Gomez Afuta Video Aliyojirekodi Akilia

    Hapo jana, Jumanne ya Januari 28, 2025 staa wa muziki na filamu duniani, Selena Gomez alijirekodi video akiwa...

READ MORE

Trump Apingwa Suala La Kuwahamisha Wapalestina

Taasisi ya Al-Azhar ya Misri, imelaani mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kuwatimua Wapalestina katika eneo la Ukanda...

READ MORE

Sekeseke Laibuka Msibani Baada ya Marehemu Kugoma Kuzikwa

Mji mdogo wa Kisii nchini Kenya ulijikuta katika majonzi na mshangao huku mwili wa Fetty Moraa, anayedaiwa kuuawa na mumewe,...

READ MORE

Tiwa Savage Ajutia Uamuzi Wake wa Kuachana na Mume Wake

  STAA maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage, amekiri kwamba anajutia uamuzi wake wa kuachana na mume wake, Tunji...

READ MORE