×

Nafasi za Kazi Job Junction Tanzania – Customer Care Parson

CUSTOMER CARE PARSON Details Business name : JOB JUNCTION TANZANIA Work Type : Full Time Years of Experience 1 year...

READ MORE

Mjue Ibrahim Traoré Mwamba Anayeitingisha Afrika, Rais wa Serikali ya Mpito ya Burkina Faso – Video

Ibrahim Traoré alizaliwa Machi 14, 1988, ni afisa wa kijeshi wa Burkina Faso ambaye amekuwa kiongozi wa mpito wa nchi...

READ MORE

Mkulima wa Simanjiro Ajishindia Gari Jipya na Magift ya Kugift

Kampuni ya mtandao wa mawasiliano ya Yas, leo imemkabidhi mshindi zawadi ya gari la kwanza aina ya Kia Sorento 0...

READ MORE

Mixx by Yas na Soko la hisa DSE Waingia Makubaliano ya Ushirikiano

  Dar es Salaam 29 Januari 2025: Kampuni ya mtandao wa simu ya Yas Tanzania pamoja na soko la hisa...

READ MORE

Watu 17 Wafariki Goma Wakiwemo Walinda Amani Wanne Kutoka Afrika Kusini

Mapigano makali yameendelea kushuhudiwa katika mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ambapo waasi wa M23...

READ MORE

Maafisa Waliomfungulia Kesi Trump, Wafutwa Kazi

Maafisa wa Wizara ya Sheria nchini Marekani wamewafuta kazi waendesha mashtaka kadhaa waliozishughulikia kesi za jinai zilizomkabili Rais Donald Trump....

READ MORE

Rais Samia Anaongoza Marais Wa Afrika Kujadili Nishati – (Picha +Video)

Mkutano wa Nishati wa wakuu wa nchi (Misheni 300) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini...

READ MORE

Lissu, Heche na Naibu Katibu Kuripoti Makao Makuu Mikocheni Kesho

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema) Tundu Lissu anatarajiwa kuripoti makao makuu ya chama hicho Mikocheni...

READ MORE

Kiongozi wa ACT Wazalendo Atangaza Mabadiliko katika Baraza Kivuli la Mawaziri

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Manka Semu, ametangaza mabadiliko katika Baraza Kivuli la Mawaziri la chama hicho baada...

READ MORE

Rais Dkt. Samia ni Shupavu na Mwenye Maono

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Christina Mndeme amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi shupavu na...

READ MORE

Mkurugenzi Mkuu NSSF Akutana Na Waziri Mkuu Wa Uganda

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba, tarehe 27 Januari 2025 amekutana na Waziri...

READ MORE

Rais Ruto Alivyowasili Dar kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Dkt. William Ruto leo Januari 28, 2025 ameongeza idadi ya Marais wa Afrika waliowasili jijini...

READ MORE

Rais Samia Alivyopiga Picha na Wakuu wa Nchi mbalimbali na Viongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakuu wa Nchi mbalimbali na Viongozi wengine wakishiriki Mkutano...

READ MORE

Matukio Mbalimbali ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 2025 Mission 300

Kutoka Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC) ambako Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 2025...

READ MORE

Ruto: Afrika Inapoteza Dola Bilioni 18 Kisa Mizozo

Rais William Ruto wa Kenya ambaye yuko mstari wa mbele katika kupigania mageuzi ya kitaasisi ndani ya Umoja wa Afrika...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Mkutano Wa Kumi Na Nane Wa Bunge – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki Mkutano wa kumi na nane wa bunge ulioanza leo Januari 28, 2025, bungeni jijini Dodoma....

READ MORE

AFCON 2025: Taifa Stars Yapangwa Kundi C na Nigeria, Tunisia na Uganda

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepangwa kwenye Kundi C kwenye droo ya makundi ya kombe la Mataifa Afrika...

READ MORE

Selena Gomez Amwaga Machozi Kisa Sera za Trump Kufukuza Wahamiaji Haramu

Mwanamuziki na muigizaji maarufu duniani, Selena Gomez amejirekodi akiwa anamwaga machozi kwenye Instastori yake alipokuwa akizungumzia sera ya Rais Donald...

READ MORE

Tuwakatae Wanasiasa Wachonganishi na Wafitinishi-CPA Makalla

Watanzania wametakiwa kuachana na viongozi fitna na wachonganishi kwani wanaleta chuki na uhasama hata pale mazuri yanapofanyika Maneno hayo yametolewa...

READ MORE

Waasi Wa M23 Waeleza Kwamba Nia Yao ni Kuukamata Mji Mkuu wa Kinshasa

Kiongozi wa Muungano wa Waasi wa Congo River Alliance unaolijumuisha kundi la wapiganaji wa M23 waliofanikiwa kuuteka Mji wa Goma,...

READ MORE