×

Nicole Apandishwa Kizimbani, Akosa Dhamana, Apelekwa Segerea

Joyce Mbaga (32) maarufu kwa jina la (Nicole Berry) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Amekutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa India

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India hapa nchini...

READ MORE

Safari 1,054 Za Futwa Kisa Mgomo Ujerumani

Mgomo mkubwa wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini Ujerumani umeendelea, ukisababisha kufutwa kwa maelfu ya safari za ndege za...

READ MORE

Israel Yasitisha Usambazaji Wa Umeme Ukanda Wa Gaza

Israel imesitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza katika juhudi za kushinikiza Hamas kukubali kuongezwa muda wa awamu ya...

READ MORE

Imagine Mnyama Paka Anakupa Ushindi Mkubwa Kasino, Je Anatoaje Ushindi?

Huenda umewahi kuona au kusikia stori nyingi kuhusu paka, Meridianbet kasino yamtandaoni inakuletea mkutano na paka wa kuvutia wanaowapa wachezaji...

READ MORE

Polisi Waimarisha Ulinzi Hukumu Ya Yoon Ikitarajiwa Kusomwa

Polisi wamemwagwa kwa wingi mitaani ambapo vituo vya treni za chini ya ardhi pamoja na angalau shule moja vitafungwa kutokana...

READ MORE

TFF Yavifungia Viwanja Vitatu Vya Ligi Kuu Kwa Kutokidhi Vigezo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevifungia viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza), na Liti (Singida) kutumika kwa...

READ MORE

NMB Yabuni mfumo wa Kidijitali wa Kusimamia Matumizi ya Fedha za Umma

Picha: Mpigapicha Wetu Mfumo wa kidijitali wa kusimamia matumizi ya fedha za umma waja. Benki ya NMB, kwa kushirikiana na...

READ MORE

Yanga Na TANESCO Waligharamia Mazishi Ya Shabiki Aliyefariki Kwa Shoti Ya Umeme Uwanjani Mkapa

Shabiki wa Yanga kutoka jijini Mbeya, Herman Sungura, aliyefariki dunia Machi 8, 2025, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar...

READ MORE

Kwaya ya Gethsemane Ilivyoomboleza Kwenye Kumuaga Hayati Prof. Philemon Sarungi

Waimbaji wa Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni GGK – SDA ya Jijini Dar es Salaam wakiimba nyimbo za faraja wakati...

READ MORE

Aliyetaka Kujitoa Mhanga Ikulu Apigwa Risasi

Mtu mwenye silaha amejeruhiwa kwa kupigwa risasi na maafisa wa Secret Service nje ya Ikulu ya White House, Marekani, tukio...

READ MORE

Kiongozi Mpya Wa Canada, Amkosoa Trump Kuhusu Ushuru

Mark Carney amechaguliwa kuwa kiongozi mpya wa chama tawala nchini Canada, Liberal Party, baada ya kuwashinda wapinzani wake watatu. Ushindi...

READ MORE

Benki ya Stanbic Yatoa Elimu ya Fedha Kwa Watoto wa Wateja

Benki Binafsi ya Stanbic imefanikiwa kuendesha kwa mafanikio Akademi yake maarufu ya Ustawi wa Fedha, mpango unaolenga kukuza uelewa wa...

READ MORE

Ufafanuzi Kuhusu Ununuzi Wa Umeme kwa Kanda ya Kaskazini

Serikali imesema kuwa inaendelea na mpango wa kununua umeme kutoka nje ya nchi kwa ajili ya Kanda ya Kaskazini ili...

READ MORE

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Ibada Ya Kumweka Wakfu Rev. Canon Mlula

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Machi 09, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ibada ya kumweka wakfu na kumweka...

READ MORE

Yanga Yatoa Msimamo Kuahirishwa Kariakoo Derby, Yataka Vigogo Watimuliwe Bodi Ya Ligi Kuu

Sakata la kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo limeingia sura mpya baada ya Kamati ya Utendaji wa Yanga katika...

READ MORE

Je, Hujui Fedha Zako Zinakwenda Wapi? Mbinu Hii Nyepesi Itakusaidia

Jina langu Paulo kutoka Mbeya, katika maisha yangu hadi sasa nimefikisha umri wa miaka 41, nimefanya kazi sana katika kampuni...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 10, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Serikali Ya DRC Yatangaza Zawadi Ya Shilingi Bilioni 13 Kwa Kukamatwa Kwa Viongozi Wa M23

Hali ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inaendelea kuwa mbaya, huku serikali ikitangaza zawadi ya dola milioni...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mradi Wa Maji Same, Mwanga, Korongwe -(Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Amezindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe, leo tarehe 09 Machi,...

READ MORE