×

Kiongozi wa ACT Wazalendo Atangaza Mabadiliko katika Baraza Kivuli la Mawaziri

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Manka Semu, ametangaza mabadiliko katika Baraza Kivuli la Mawaziri la chama hicho baada...

READ MORE

Rais Dkt. Samia ni Shupavu na Mwenye Maono

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Christina Mndeme amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi shupavu na...

READ MORE

Mkurugenzi Mkuu NSSF Akutana Na Waziri Mkuu Wa Uganda

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba, tarehe 27 Januari 2025 amekutana na Waziri...

READ MORE

Rais Ruto Alivyowasili Dar kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Dkt. William Ruto leo Januari 28, 2025 ameongeza idadi ya Marais wa Afrika waliowasili jijini...

READ MORE

Rais Samia Alivyopiga Picha na Wakuu wa Nchi mbalimbali na Viongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakuu wa Nchi mbalimbali na Viongozi wengine wakishiriki Mkutano...

READ MORE

Matukio Mbalimbali ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 2025 Mission 300

Kutoka Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC) ambako Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 2025...

READ MORE

Ruto: Afrika Inapoteza Dola Bilioni 18 Kisa Mizozo

Rais William Ruto wa Kenya ambaye yuko mstari wa mbele katika kupigania mageuzi ya kitaasisi ndani ya Umoja wa Afrika...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Mkutano Wa Kumi Na Nane Wa Bunge – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki Mkutano wa kumi na nane wa bunge ulioanza leo Januari 28, 2025, bungeni jijini Dodoma....

READ MORE

AFCON 2025: Taifa Stars Yapangwa Kundi C na Nigeria, Tunisia na Uganda

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepangwa kwenye Kundi C kwenye droo ya makundi ya kombe la Mataifa Afrika...

READ MORE

Selena Gomez Amwaga Machozi Kisa Sera za Trump Kufukuza Wahamiaji Haramu

Mwanamuziki na muigizaji maarufu duniani, Selena Gomez amejirekodi akiwa anamwaga machozi kwenye Instastori yake alipokuwa akizungumzia sera ya Rais Donald...

READ MORE

Tuwakatae Wanasiasa Wachonganishi na Wafitinishi-CPA Makalla

Watanzania wametakiwa kuachana na viongozi fitna na wachonganishi kwani wanaleta chuki na uhasama hata pale mazuri yanapofanyika Maneno hayo yametolewa...

READ MORE

Waasi Wa M23 Waeleza Kwamba Nia Yao ni Kuukamata Mji Mkuu wa Kinshasa

Kiongozi wa Muungano wa Waasi wa Congo River Alliance unaolijumuisha kundi la wapiganaji wa M23 waliofanikiwa kuuteka Mji wa Goma,...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Apokea Risala ya Wajumbe wa NEC, Waunga Maazimio ya Mkutano Mkuu CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi jana tarehe 27 Januari 2025, amepokea risala ya...

READ MORE

Amfumania Mkewe na Mtoto wa Kambo Chumbani

Jina langu ni Sele Mutiso, mkazi wa Mwingi Town nchini Kenya, leo nitasimulia hadithi ambayo imetikisa familia yangu kwa kiasi...

READ MORE

Marekani Kupeleka Mabomu 1,800 Ya MK-84 Kwenda Israel

Marekani imetangaza kusafirisha mabomu 1,800 ya aina ya MK-84 kwenda Israel katika siku chache zijazo, mabomu hayo yenye uzito wa...

READ MORE

Trump Kusitisha Misaada,Tacaids Yawatoa Hofu Watumiaji Wa ARVs

Kaimu mkurugenzi mtendaji wa tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt.Catheren Joachim amesema serikali ya Tanzania itaendelea kulinda usalama wa...

READ MORE

Waasi wa M23 Waingia katikati ya mji mkubwa mashariki wa Congo

Waasi wa M23 wanaelezwa kuungwa mkono na Rwanda wametangaza kuwa wameukamata mji mkubwa wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia...

READ MORE

Rais Wa Malawi Yuko Tanzania Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Nishati Wa Afrika

Rais wa Jamhuri ya Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Viongozi Mbalimbali Ikulu – Picha

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini...

READ MORE

Tanzania Yampokea Rais wa Burundi kushiriki Mkutano wa Nishati

Rais wa Jamhuri ya Burundi, Évariste Ndayishimiye, amewasili jijini Dar es Salaam kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...

READ MORE