×

Dkt. Yahaya Nawanda Ashinda Kesi dhidi ya Mwanafunzi wa Chuo

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi...

READ MORE

CMSA Yampongeza Rais Samia Kwa Kuweka Mazingira Mazuri Kwenye Masoko ya Mitaji

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita,...

READ MORE

Meridianbet Inakupa Nafasi ya Kushinda Mamilioni Sasa

Ijumaa ya leo ipo kwaajili ya kukupa mkwanja mrefu unasubiri nini sasa kuingia kwenye akaunti yako na kubashiri mechi zote...

READ MORE

Mtoto Wa Ndugulile – “Wiki 2 Zilizopita Tuliamka Vizuri – Ungemuangalia Huwezi Kujua Anaumwa”- Video

Mtoto wa marehemu Dk. Faustine Ndugulile, ameeleza kuanzia jinsi baba yake alivyofunga safari kuelekea nchini India mpaka walipoletewa taarifa kwamba...

READ MORE

Waziri Mchengerwa atangaza matokeo ya jumla Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 – Video

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametangaza matokeo ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 29, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

CCM Yashinda 90.01% Ya Wenyeviti Wa Vijiji

Katika maeneo yaliyofanya uchaguzi terehe 27 Novemba, 2024 kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji ni 12,271 kati ya nafasi 12,280...

READ MORE

Wananchi 26,963,182 Wapiga Kura Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa, 2024

Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura lilifanyika kuanzia tarehe 11 mpaka 20 Oktoba, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura 31,282,331...

READ MORE

Wafanyabiashara, Wajasiriamali Watakiwa Kupenda Wanachokifanya Kutafuta Fursa Katika Mitandao ya Kijamii

WAFANYABIASHARA na wajasiriamali nchini wametakiwa kupenda kile wanachokifanya ili kuhakikisha wanazalisha bidhaa zenye ubora, wanakuza mitaji pamoja na kupambana na...

READ MORE

Europa League Kukupatia Mkwanja leo

Ligi ya EUROPA imerejea leo ambapo timu kibao kushuka dimbani kusaka pointi 3. Na wewe leo hii una nafasi ya...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Sherehe Za Kamisheni Na Mahafali Kwa Maafisa Wanafunzi Monduli, Arusha (Picha + Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Sherehe za Kamisheni na Mahafali kwa Maafisa...

READ MORE

SBL Yapaisha Viwango vya Sekta ya Ukarimu Tanzania Kufikia Viwango vya Kimataifa

Wanafunzi wanaosomea fani ya ukarimu katika Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) sasa watapata mafunzo ya ziada ya miezi mitatu...

READ MORE

Polisi Watoa Taarifa Mgombea Wa Chadema Aliyefariki Baada Ya Kupiga Kura – Video

Jeshi la Polisi Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kifo cha Ndg Modestus G Timbisimilwa...

READ MORE

Trump Amteua Keith Kellog kuwa mjumbe maalum kwa ajili ya Russia na Ukraine

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema Jumatano kwamba atamteua Luteni Jenerali mstaafu wa jeshi Keith Kellog kuwa msaidizi wake...

READ MORE

Rais Samia Aanza Ziara Mkoani Arusha, Apokelewa Na Magari Ya Utalii Zaidi Ya 500 (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza wakazi wa Mkoa wa Arusha wakiwemo Viongozi wa...

READ MORE

Liverpool Yaibuka na Ushindi wa 2-0 Dhidi ya Real Madrid

Liverpool imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabingwa watetezi, Real Madrid kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Novemba 28, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Mwachuo wa Ardhi Dar, Aibuka Kidedea na Mil 5 ya Magift ya Kugift, Wengine 6 Nao Waula

Dar es Salaam 29 Novemba 2024: Kampuni ya mtandao wa Mawasiliano ya YAS, ikishirikiana  na kitengo cha Mixx by Yas,...

READ MORE

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Apiga Kura Huko Korogwe

Shekh na Mufti Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber  ametekeleza haki yake ya msingi  kupiga kura katika Mtaa wa Mndolwa...

READ MORE

DC Bulembo Ashiriki Kwenye Zoezi la Elimu ya Kuhifadhi Mazingira Kigamboni

Dar es Salaam, 20 Novemba 2024: Benki ya Stanbic Tanzania,  imedhihirisha dhamira yake ya kuongeza maendeleo ya jamii kwa kutoa...

READ MORE