×

Steve Nyerere Atoa Povu, ”Wasanii Wa Bongo Fleva Hawatokei Msibani” – Video

Mchekeshaji maarufu na staa wa filamu, Steve Nyerere amewashukia wasanii wa Bongo Fleva kwa madai kwamba wengi wao hawaendi kwenye...

READ MORE

Chuchu Hansy Afichua Mshtuko Aliopata Tessa Kusikia Chuchu Ana Ujauzito Wa Ray Kigosi – Video

Staa maarufu wa Bongo Muvi, Chuchu Hansy amefunguka kuwa marehemu Grace Mapunda ‘Tesa’ alikuwa msiri wake na hata aliposhika ujauzito...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi Afika nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Musuguri Butiama Mkoani Mara kutoa pole

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda Novemba 3, 2024 aliwasili nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali...

READ MORE

Vodacom Yasherehekea Siku ya VICOBA na Wanavikundi Jijini Dar es Salaam

Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom, imesherehekea Siku ya VICOBA na wanavikundi mbalimbali jijini Dar es Salaam, hafla iliyofanyika...

READ MORE

Vodacom, UDSM Zaungana Kuwezesha Kizazi Kijacho cha Wataalamu wa Usalama wa Mtandao

Vodacom Tanzania Plc, kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wameanzisha Klabu ya Usalama wa Mitandao katika...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Novemba 4, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

RC Chalamila: Nikifa Nizikwe Kama Waislam, Yesu Alipozikwa Sikuona Sanduku, Taomba Maandiko – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa...

READ MORE

NMB yaleta Nondo za Pesa Kwa Watanzania

KATIKA kuongeza uelewa wa masuala ya fedha kwa maendeleo na ukuaji kiuchumi kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla,...

READ MORE

Waziri Mkuu Ahani Msiba Wa Mzee Tutuba

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo November 03, 2024 amehani msiba wa Mzee John Tutuba ambaye ni baba mzazi wa  Gavana...

READ MORE

Stars Chali, Sudan Yasonga Mbele Kufuzu Chan 2024

Timu ya taifa ya Tanzania leo Novemba 3, 2024 imepoteza kwa mkwaju ya penalti 6-5 dhidi ya Sudan kwenye mchezo...

READ MORE

Polisi Watoa Elimu ya Ulinzi Wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limeendelea kutoa elimu ya Ulinzi na namna ya kuimarisha Usalama wakati wa Uchaguzi wa...

READ MORE

Wanawake Wenye Uhitaji Maalum Wapewa Mafunzo ya Kuendesha Bajaj

Dar es Salaam 3 Novemba 2024: Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ilala, Tabu Shaibu amewashauri wanawake wote kuchangamkia fursa zinazojitokeza...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Aongoza Harambee Taasisi ya JKCI

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa taasisi na watu binafsi wenye...

READ MORE

Wagombea urais Marekani wafanya mikutano ya mwisho mwisho kabla ya uchaguzi

Wagombea urais nchini Marekani, Kamala Harris na Donald Trump, wanaendelea na harakati za mwisho mwisho, kuelekea kwa uchaguzi wa Jumanne...

READ MORE

Piga Ushindi na Mechi za Jumapili Leo

Siku ya leo imekuja kivingine sana na wakali wa ODDS KUBWA Tanzania kwani Meridianbet imetoa machaguo zaidi ya 1000 kwenye...

READ MORE

20 Imperial Crown Deluxe Ushindwe wewe tu

Kupitia mchezo wa kasino wa 20 Imperial Crown Deluxe unaweza kuondoka na kitita kizito kwa kucheza mchezo huu, Pitia tovuti...

READ MORE

Mkurugenzi wa Dar24 Media Maclean Mwaijonga Apatikana – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kufuatia taarifa ya kutofahamika alipo mtu mmoja aitwaye Maclean Mwaijonga, mfanyakazi...

READ MORE

Wanafunzi Shule za Msingi Dar Wajishindia Zawadi Kibao Promosheni ya Kusanya na Ushinde

Wanafunzi kutoka shule mbalimbali za msingi za jijini Dar es Salaam pamoja na shule zao wamejishindia zawadi mbalimbali ambazo ni...

READ MORE

Miezi 2 Iliyopita Tessa Alifichua Waliomtabiria Kifo – ”Presha NA Sukari Yamteketeza” – Video

Miongoni mwa mambo ambayo marehemu Grace Mapunda almaarufu Tesa alikuwa akilisema waziwazi, ni kwamba tangu alipoanza kuigiza filamu miaka mingi...

READ MORE

Jb Afichua Alivyoingia ‘ICU’ Kumuona Tessa Wa Huba – Video

Msanii wa Filamu za Bongo Movie, Jacob Steven maarufu kama JB ni miongoni mwa wasanii waliofanya kazi kwa karibu na...

READ MORE