×

Katibu Mkuu Maganga Aipongeza WCF Kwa Utendaji Unaofuata Viwango Vya Kimataifa

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Mary Maganga ameupongeza Mfuko wa Fidia...

READ MORE

Trilion 1.15 Kujenga Shule Za Msingi Na Madarasa Mapya

Serikali imetenga jumla ya Shilingi Trillion 1.15 kwa ajili ya kujenga shule mpya za msingi na madarasa mapya kwa kipindi...

READ MORE

Profesa Kabudi: Hayati Nyerere Amefariki Ila Amegoma Kufa – Video

Mbunge wa Kilosa, Palamagamba Kabudi, ameshauri kuwa ndege kubwa ya Dreamliner iliyonunuliwa na inatarajiwa kufika nchini hivi karibuni ipewe jina...

READ MORE

Wakurugenzi Watakiwa Kusimamia Makusanyo Ya Halmashauri

Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kusimamia makusanyo kupitia vyanzo mbalimbali vilivyo kwenye maeneo yao ili kuwezesha...

READ MORE

Bodaboda Apata Ajali Ya Kimauzauza, Abiria Aliyembeba Atoweka – Video

Kijana Razack anayeishi kwa kumlea mama na wadogo zake kwa shughuli ya kuendesha bodaboda yupo hoi kitandani baada ya kupata...

READ MORE

Rais Samia Ateua Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro na Mwenyekiti wa Bodi ya Maabara ya Mkemia Mkuu

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro...

READ MORE

Shigongo Awashukuru viongozi wa dini kwa maombi ya Kimbunga Hidaya

Mbunge wa Buchosa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo amewashukuru viongozi wote wa dini nchini, waumini na...

READ MORE

Thea – Sitaki Kupostiwa Nikifa, Nimekaa Miaka 20 Bila Kupata Mtoto

Msanii mkongwe kwenye tasnia ya uigizaji, Salome Ndumbagwe @thea ametoa tahadhari kuwa ikitokea amefariki, hataki kupostiwa na mtu yeyote ambaye...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Mei 7, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Miezi Mitatu Kazini Aongeza Mapato Kutoka Mil 59 Kwa Mwezi Hadi Mil 170

Halmashauri ya wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma imefanikiwa kuongeza kiwango cha ukusanyaji wa mapato kutoka wastani wa shilingi milioni hamsini...

READ MORE

Boniface Jacob, Malisa Wapandishwa Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapandisha kizimbani Boniface Jacob na Godlisten Malisa wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuchapisha na...

READ MORE

Mgao wa Shindano la Expanse Kasino Umeongezwa, Cheza kwa Kuanzia Tsh 400/=

Ukisikia Bosi kacheka ujue Maokoto yanafuatia, Kupitia promosheni pendwa ya Expanse iliyopo Meridianbet Kasino ya Mtandaoni unaweza kujishindia zawadi kibao,...

READ MORE

Idris Sultan Anogesha Msimu wa Tatu Wa Bridgerton

STAA wa burudani kutoka ardhi ya Tanzania, Idris Sultan amenogesha ujio mpya wa tamthiliya ya Bridgerton, katika onesho kabambe lililowakusanya...

READ MORE

Hii Siri Nitakufa Nayo, Kamwe Siwezi Kumwambia Mume Wangu

Naitwa Lulu, mkazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam, kuna kipindi nilikuwa na ugomvi na mume wangu. Nyumbani kulikuwa hakukaliki...

READ MORE

TAMA Kwa Kushirikiana Na UNFPA Katika Kuadhimisha Siku Ya Mkunga Duniani Na Mkutano Mkuu Wa Chama

Dar es Salaam 5 Mei 2024: Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani na Mkutano Mkuu wa Chama yameratibiwa na TAMA...

READ MORE

RE/MAX Coastal, Coral Property Zazindua Mradi Wa Nyumba Za Gharama Nafuu Jijini Dar

Dar es Salaam 6 Mei 2024: Katika mpango unaolenga kuunga mkono juhudi serikali za kuhakikisha kunakuweko na nyumba za makazi ...

READ MORE

DC Mwanziva Abeba Agenda ya Kumtua Mama Ndoo Lidewa, Aweso Apiga Simu Kutoa Kauli ya Wizara ya Maji

Mkuu wa wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amewataka watendaji kata pamoja na madiwani kuungana na ajenda ya Rais Dkt. Samia...

READ MORE

Serikali Kuwakopesha Wajasiriamali 18.5bn/- Kupitia NMB

Serikali imetenga kiasi cha TZS bilioni 18.5 kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia...

READ MORE

Waziri Bashungwa, Mkuu wa Wilaya Wapanda Boti Kuwafikia Wananchi Lindi – Picha

  Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo pamoja na Wataalam wengine Mei...

READ MORE

Stamina Afichua Kilichomuua Dairekta Khalfani – Video

Staa wa Bongo Fleva, Stamina ‘Shorobwenzi’ amesema kifo cha Dairekta Khalfani ni pigo kubwa kwa sanaa ya muziki wa kizazi...

READ MORE