×

Infinix Yawapa Fursa Wateja wa Note 40 Series Kwenda Dubai, China na Mkwanja wa Hadi Mil. 2

    Kampuni ya simu za mkononi ya Infinix @infinixmobiletz  imewatangaza washindi wa Promosheni ya Paa na Manoti wa wiki...

READ MORE

Waziri Mavunde Afuta Maombi Ya Leseni Za Madini 227

Waziri wa Madini,  Anthony Mavunde amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume ya Madini imefuta jumla ya maombi ya leseni 227 ambayo...

READ MORE

Waziri Jafo: Hoja Ya Kutaka Watu Wa Bara Kuingia Zanzibar Kwa Pasipoti Ni Kuturudisha Nyuma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Saidi Jafo amesema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu...

READ MORE

Ummy Mwalimu: Tupunguze Matumizi Ya Pombe Isiyozimuliwa Ili Kukabiliana Na Magonjwa Yasiyoambukiza

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa iwapo jamii itapunguza matumizi ya pombe isiyo zimuliwa yaliyokithiri itasaidia kukabiliana na kuepukana...

READ MORE

Wakulima Kunufaishwa Na TBL Kupitia Masoko Ya Kikanda

Kampuni ya Tanzania(TBL), imedhamilia kuwasaidia wakulima wa Tanzania kwa kutambua uwezo wao wa kulisha watu, viwanda na biashara katika ukanda...

READ MORE

Waziri Silaa Amtoa Mtu Aliyeshikilia Nyumba Ambayo Siyo Yake Tanga – Video

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amemrejeshea nyumba yake Bi. ambaye ni Askari msataafu baada ya...

READ MORE

Seneti ya Marekani yapitisha mswada unaoweza kupiga marufuku TikTok

BUNGE la Seneti limeidhinisha mswada wa kihistoria wenye utata ambao unaweza kusababisha TikTok kupigwa marufuku nchini Marekani. Mswada huo unampa...

READ MORE

Exim Bank Kupitia Mpango wa WEP Yaendelea Kuwainua Kiuchumi Wanawake Wajasiriamali

  Arusha, 23 Aprili 2024. Exim Bank, kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi Wanawake (WEP), imetoa mafunzo kuhusu masuala ya...

READ MORE

NBC Yasisitiza Dahamira Yake Kuunga Mkono Jitihada za Kuendeleza Serikali za Mitaa

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuunga mkono jitihada mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka za Serikali za...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya Leo Aprili 24, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa...

READ MORE

Benki Ya Azania Bega Kwa Bega Na Mabalozi

Benki ya Azania kwa kushirikiana na Kituo Cha Uwekezaji (TIC) waliandaa hafla ya “Usiku wa Uwekezaji” iliyoambatana na chakula cha...

READ MORE

DERBY DAY EPL LEO HAPA ARSENAL PALE CHELSEA

Kwenye ligi kuu ya Uingereza leo ni usiku wa Derby ambapo watakutana miamba miwili ya soka kutoka katika jiji la...

READ MORE

Polisi DSM Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Kifo Cha ‘Babu G’

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika...

READ MORE

Tumieni Uzoefu Wenu Kuharakisha Mabadiliko, Balozi Kusiluka

Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo...

READ MORE

Cheza Blackjack2 Timiza Ndoto Zako na Meridianbet Kasino

Blackjack 2 ni moja ya mchezo wa kadi rahisi sana kucheza na kuibuka mshindi, wakati huo unafurahia mhcezo kutoka Meridianbet...

READ MORE

Watuhumiwa 12 Waliodakwa na kilo 726.2 za Dawa za Kulevya Wafikishwa Mahakamani.

  Watuhumiwa watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoani Pwani jana tarehe 22 Aprili, 2024 wakikabiliwa na mashtaka ya...

READ MORE

Rais Samia Aagana na Balozi wa Rwanda Nchini Ikulu Chamwino, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Aprili 23, 2024 amezungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania,...

READ MORE

Maziko Ya Gardner G Habash Kijijini Kwao Rombo – Mwanaye Na X-Wife Wake Waishiwa Nguvu – Video

IBADA ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha redio cha...

READ MORE

VunaDeile Yashirikiana na Mradi wa BBT Kutoa Hamasa kwa Vijana Kujiajiri Kwenye Kilimo

KAMPUNI ya Three Oceans Ltd inayojishughulisha na uendeshaji wa mchezo wa kubashiri wa VUNADEILE imesema itaendelea kushirikiana na serikali katika...

READ MORE

Vodacom Watoa Msaada kwa Waathirika wa Mafuriko ya Rufiji na Kibiti

  Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kupitia Taasisi ya Vodacom Foundation, imetoa msaada wa kibinadamu wenye thamani ya...

READ MORE