×

Dkt. Nchimbi Alakiwa Kwa Shangwe na Mkutano Mkuu Mkubwa Ubaruku, Mbarali

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amepokelewa kwa shangwe na nderemo na wananchi wa Mbarali,...

READ MORE

Rais Samia Atunukiwa Udaktari Wa Heshima, kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshiriki hafla ya kutunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu...

READ MORE

Mgao wa Meridianbet Kasino na Expanse Tournament Unakusubiri

Kubwa Zaidi kutoka Meridianbet ni promosheni ya Expanse ambayo inahusu michezo ya Kasino ya Mtandaoni, kupitia shindano hili unaweza kushinda...

READ MORE

Miaka 20 Iliyopita Runinga Ilikuwa Ni Ishara ya Utajiri

Ukiniuliza nikutajie idadi ya vifaa vya umeme mashuhuri vilivyokuwa vinatumiwa na Watanzania wengi nyumbani kwa kipindi cha miongo miwili iliyopita...

READ MORE

Kilombero Sugar Yaguswa Na Athari za Mafuriko Yaliyotokea Kilombero Yatoa Mkono Wa Pole Milion 15

Morogoro-Kilombero, 17 April 2024. Kampuni ya sukari ya kilombero imetangaza ushiriki wake katika kutoa msaada wa kibinadamu kwa jamii inayoishi...

READ MORE

Maelfu Waendelea Kujinyakulia Tiketi Za Tamasha La Hadhi Ambalo Diamond Atapaform

Maelfu waendelea kujinyakulia tiketi za tamasha la vibe bites ambalo msanii mkali wa Bongo Fleva wa hapa nchini Diamoind Platniumz...

READ MORE

Rais Samia alivyowasili uwanja wa Ndege wa Ankara Esenboga Uturuki kwa ajili ya Ziara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Dkt Samia Suluhu Hassan yupo nchini Uturuki kwa ajili ya Ziara...

READ MORE

Video: Nyumba Zabomolewa Kimakosa Arusha, Rais Samia Aitwa, Kaya saba Zakosa Makazi

Mwanamama Frida Nicholaus, mkazi wa Arusha ameangua kilio akimuomba Rais Samia, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry...

READ MORE

Real Madrid, Bayern Munich Watinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa, Man City & Arsenal ‘OUT’

Real Madrid imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Manchester City kwenye...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 18, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lasema Wadudu OG wa Arusha Siyo Wahalifu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linao wajibu wakisheria wa kuwalinda raia na mali zao huku likibainisha kuwa limepokea...

READ MORE

Balozi Dkt. Nchimbi Awatembelea Waathirika wa Mapolomoko Mlima Kawetele, Mbeya

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akimkabidhi mmoja wa waathirika na maporomoko fedha Tsh. Mil 10...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Athari Za Maafa Rufiji mkoani Pwani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi waliokumbwa na adha ya mafuriko nchini waendelee kuwa watulivu wakati Serikali ikiendelea kuratibu utoaji...

READ MORE

Elimu Na Tamisemi Kuja Na Mikakati Wanafunzi Shule Zilizokumbwa Na Mafuriko Kuendelea Na Masomo

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Adolf Mkenda amesema Serikali itahakikisha inaweka mazingira ya wanafunzi wote ambao shule zao zimeathirika...

READ MORE

Waziri Makamba Awasili Uturuki Kuelekea Ziara Ya Kitaifa Ya Rais Samia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amewasili Ankara, Uturuki  Aprili 16, 2024 na kukutana...

READ MORE

Tajiri Aliyevamia Na Kujenga Eneo La Mjane Kukutana Na Waziri Silaa – Video

Mwanamke mjane, Marietha Kalonga mkazi wa jijini Mbeya, amemwaga machozi mbele ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,...

READ MORE

PSG Yatinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Barcelona Yatupwa Nje

Kylian Mbappe alifunga mara mbili wakati Paris St-Germain ilipoizaba Barcelona na kubadilisha matokeo ya awali na kutinga nusu fainali ya...

READ MORE

Mchengerwa: Tumejipanga Vyema kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa (Mb) amesema ofisi yake imejipanga...

READ MORE

Zimamoto Wakumbushwa Kuzingatia Afya na Utimamu

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo (Mb) amewakumbusha Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto...

READ MORE

Baraza La Mawaziri Wa EAC Lapokea Mapendekezo Ya Katibu Mkuu Mteule Wa Jumuiya

Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Aprili 16, 2024 limepokea mapendekezo ya uteuzi wa Katibu Mkuu wa...

READ MORE