×

Airtel Tanzania Yathibitisha Dhamira ya Kuendeleza Mapinduzi ya Kidijitali

Dodoma. Kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imetangaza kuendelea kuwekeza katika miundombinu ya mawasiliano na huduma za kifedha kidijitali, ikiunga...

READ MORE

Trump Avunja Rekodi ya Hotuba Bungeni, Aahidi Kuzuia Silaha za Nyuklia za Iran – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump, amevunja rekodi ya muda katika hotuba yake ya kila mwaka Bungeni, akisisitiza waziwazi kwamba hatairuhusu...

READ MORE

Waziri wa Fedha Azikabidhi Tuzo za Ubunifu za TRA

  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa Tuzo za ubunifu kwa washindi 9 waliotoa mawazo bora zaidi yatakayosaidia kuendelea kuboresha...

READ MORE

Hamza Johari: Mageuzi ya Tekonolojia na AI Yanahitaji Maboresho ya Sheria za Anga

Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Hamza Johari amesisitiza juu ya umuhimu wa kutambua mabadiliko na mageuzi makubwa ya kiteknolojia kunakopelekea ongezeko la...

READ MORE

Simulizi ya Kusikitisha ya Punch the Monkey, Akataliwa na Mama Yake, Ateka Mitandao – Video

Punch the Monkey amekuwa gumzo mtandaoni baada ya video zake kuenea kwa kasi, zikimuonesha akiwa ameshikilia mdoli wake wa kitambaa...

READ MORE

Ligi ya Mabingwa: Odds Kubwa na Machaguo Mazuri – Jisajili Meridianbet Leo!

Je unajua kuwa Meridianbet ndio wakali wa Odds Tanzania?. Yaani namaanisha kuwa ukitaka Odds kubwa na za kibabe wewe njoo...

READ MORE

Kamanda Mkuu wa Waasi wa M23 Auwawa Katika Shambulio la Drones Mashariki mwa DRC

Kamanda wa juu wa kundi la waasi la M23, Lieutenant-Colonel Willy Ngoma, ameuawa mapema Jumanne katika shambulio la drones karibu...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Afanya Ukaguzi wa Mradi wa Stendi Kuu ya Mabasi Arusha

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo...

READ MORE

Timu Sita Uingereza Zatinga Hatua ya 16 Bora Ulaya – Historia Yaandikwa!

TIMU sita kutoka Ligi Kuu ya Uingereza vimetinga hatua ya 16 bora msimu huu kitu ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Hii si...

READ MORE

Ushindi Kila Wiki Ukiwa Mchezaji wa Super Heli na Meridianbet

Meridianbet inazidi kuleta msisimko kwa wapenzi wa kasino mtandaoni Tanzania. Sasa, ukiwa mchezaji wa Super Heli, unaweza kushinda simu mpya...

READ MORE

Stone Mosabu feat G Nako – Kuku (Official Music Video)

Stone Mosabu ameshirikiana na G Nako kuleta wimbo mpya wa muziki wa Kiswahili unaoitwa “Kuku”, na tayari umekuwa gumzo kwa...

READ MORE

Mwenzi Wako Akikuonyesha Haya, Jua Hakutaki!

KWA kawaida mtu anapompenda mtu huwa ni vigumu sana kumuacha aende. Hatamani hata siku moja kumpoteza mtu ampendaye. Atafanya kila...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 25, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Upungufu wa Nguvu za Kiume na Magonjwa ya Ndani ya Mwili

Upungufu wa nguvu za kiume ni changamoto inayowakumba wanaume wengi duniani, hasa kadri umri unavyoongezeka. Hata hivyo, jambo ambalo wengi...

READ MORE

Fahamu Makundi Matatu ya Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo

KUNA makundi matatu makuu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo na leo tutajadili kwa kina aina hizo za magonjwa haya...

READ MORE

Serikali Yatangaza Nafasi za Kazi 1086 – Afya, Uuguzi na Ufundi, Maombi Mwisho Februari 27

Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma imetangaza nafasi 1086 za kazi kwa Watanzania wenye sifa zinazohitajika, zikiwa ni nafasi...

READ MORE

Mwigulu Aonya Watumishi Kumiliki Vizimba Kwenye Masoko Ya Halmashauri

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewaonya watumishi wa Halmashauri mbalimbali ambao wamekuwa wakichukua...

READ MORE

Kamanda Muliro Atoa Onyo Kali Dhidi ya Uhalifu Dar, Ajibu Kuhusu Alipo Mafwele – Video

Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema Jeshi la Polisi halitavumilia vitendo vya kihalifu ndani ya...

READ MORE

Kula Sahihi Wakati wa Ramadhani, Linda Afya Yako kwa Lishe Bora

  Katika kipindi hichi cha Ramadhani na Kwaresima nataka kuwapa tips za vyakula ambavyo mnatakiwa kupika kipindi hiki. Kama tunavyojua...

READ MORE

Prestianni Asimamishwa na UEFA Tuhuma za Ubaguzi dhidi ya Vinícius Júnior

Kiungo mshambuliaji wa Benfica, Gianluca Prestianni (20), amepewa adhabu ya kusimamishwa kwa muda mechi moja na UEFA kufuatia tuhuma za...

READ MORE