×

Makonda: Acheni Chokochoko Za Kuwasumbua Wabunge Na Madiwani, Waacheni Wafanye Kazi Zao

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanachama wa chama hicho kuacha kufikiria nafasi za udiwani, ubunge kwa sasa badala yake wawaunge...

READ MORE

Ayoub, Onana Wawajaza Noti Mastaa Simba

MABAO mawili aliyoyafunga mshambuliaj raia wa Cameroon, Willy Osamba Onana na michomo aliyokoa kipa, Ayoub Lackred imetosha kuwapa bonasi ya...

READ MORE

Lake Energies, M-Pesa Waingia Makubaliano ya Kurahisisha Kununua Mafuta Kidijitali

Katika jitihada endelevu za kuchochea malipo kwa kidijitali, wateja wa Lake Energies sasa wanaweza kulipia mafuta kwa kutumia huduma ya...

READ MORE

Washindi 8 wa Maokoto Chini ya Kizibo Waondoka na Sh. 500,000 Kila Mmoja

Droo ya tisa ya Kampeni ya Maokoto Chini ya Kizibo inayoendeshwa na Kampuni ya Serengeti Breweries (SBL) imefanyika ambapo jumla...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt Kikwete Yupo DRC Kushiriki Misheni ya SADC kwenye uchaguzi

Kufuatia maelekezo ya Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Organ of Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)...

READ MORE

Wanafunzi wa Kike Mbeya Wapewa Mafunzo ya Tehama na Coding Kwa Udhamini wa Vodacom

Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom Kupitia programu yake inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ kwa kushirikiana na Tanzania...

READ MORE

Benchikha: Tulieni, Hii Simba Bado Kidogo

LICHA ya ushindi wa mabao 2-0 ambao Simba wameupata dhidi ya Wydad Casablanca lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Abdelak...

READ MORE

Waziri Mchengerwa Akutana Na Viongozi Wa Makatibu Mahutasi (TAPSEA)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amekutana na viongozi wa chama...

READ MORE

Winga Mkongo Akubali Mkataba Yanga, Bosi Wake Afunguka

NEEMA inazidi kuwaangukia yanga kwani taarifa njema kwao ni winga wa Lupopo FC, Manu Labola Bota ameweka wazi kutamani kukipiga...

READ MORE

Shilole Amwaga Machozi Akijizawadia Gari La Mil 70 Kwenye Birthday Yake, Akata Mauno – Video

Msanii wa Bongo Muvi na mjasiriamali anayemiliki mgahawa maarufu wa Shishi Food, Zuwena Mohamed ametimiza umri wa miaka 36 Desemba...

READ MORE

Mtoto Shetta, Qailah Nurdin Bilal Achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa

Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi...

READ MORE

Mfungwa wa Marekani aliyekuwa gerezani kwa miaka 48 aondolewa mashtaka

Jaji wa Oklahoma amemuondolea mashtaka mtu ambaye alikuwa gerezani kwa karibu nusu karne kwa mauaji ya 1974, kifungo kirefu zaidi...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Alhamisi, Decemba 21, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 21, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Ulinzi katika Hosteli za Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha SAUT Waimarishwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limeimarisha ulinzi kwa kuongeza doria na vikundi vya Ulinzi Shirikishi katika Kata ya Luchelele...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara na Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Desemba 20, 2023 amewaapisha Maryam Ahmed Muhaji kuwa Katibu...

READ MORE

Klabu ya JS Kabylie ya Algeria Yavunja mkataba na Simon Msuva

Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imevunja mkataba na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva kwa makubaliano ya pande...

READ MORE

Polisi, Latra Wapiga Faini Mabasi Yaliyo Zidisha Nauli Arusha

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wamefanya...

READ MORE

Video: Hali Ya Baba Wa Joshua Aliyeuawa Na Hamas Ni Mbaya Baada Ya Kuona Video Mwanae Akipigwa Risasi…

Baada ya video ya Mtanzania aliyeuawa Israel kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Global Tv imefanya mahojiano na Ndugu wa Joshua...

READ MORE

Kisa Medeama, Gamondi atoa maagizo mazito Yanga

WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao Medeama FC ya Ghana, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ametoa maagizo...

READ MORE

Mama Aliyenunua Uyoga Ulioua Mtoto Wake Asimulia – ”Sumu Iliingia Kwenye Figo”- Video

Siku chache baada ya kamanda wa jeshi la polisi mkoani Mwanza Wilbroad Mutafungwa kutangaza kutokea kwa vifo vya watu wawili...

READ MORE