×

OSHA Yaagizwa Kusajili Maeneo Yote ya Kazi nchini Ifikapo Juni 2024

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeagizwa kusajili maeneo yote ya kazi nchini pamoja na kuhakikisha kwamba...

READ MORE

Wafanyakazi Benki ya NBC, Wadau Waanza Safari Kuitambulisha POS ya NBC Mlima Kilimanjaro

Wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na wadau mbalimbali wa utalii mkoani Kilimanjaro wameanza safari ya kihistoria ya...

READ MORE

Ni Zamu Ya Madereva Bajaji Kupokea Msaada Kutoka Meridianbet

Meridianbet inaendelea kufanya ambayo imekua ikiyafanya kwa muda mrefu nayo sio kitu kingine ni kurudisha katika jamii yake ambayo imekua...

READ MORE

Wadau Wa Filamu Wafundishwa Jinsi Ya Kuonesha Filamu Za Hadharani Na Faida Zake

Dar es Salaam 14 Desemba 2023: Kampuni Ya Ajabuajabu ya hapa nchini na A wall Is A Screen ya nchini...

READ MORE

Viongozi wa Sun Broadcasting ya Zambia Watinga Ofisi za Global TV Dar es Salaam

Viongozi wa Sun Broadcasting Holding Limited yenye makao yake makuu Ndola, Zambia, leo Desemba 16, 2023 wametembelea ofisi za Global...

READ MORE

Jumamosi Hii Ni Kupiga Mkwanja Tu Na MeridianBet

Jumamosi hii Meridianbet inataka kuhakikisha unapiga mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali ambayo itakwenda kuchezwa leo katika ligi tofauti tofauti...

READ MORE

Mbunge Mahawanga Awataka Mabinti Na Vijana Kutumia Vipaji Vyao Kama Fursa Ya Kujikwamua Kiuchumi

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Tisha Mama Foundation Mhe....

READ MORE

Naibu Waziri wa Uchukuzi Kihenzile Akabidhi Kontena Lenye Vifaa vya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi

Mbunge wa Mufindi Kusini ambeye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amekabidhi kontena lenye shehene yenye vifaa mbalimbali...

READ MORE

Yanga Yaifanyia Umafia Simba Yamsajili wa kiungo Mkabaji wa JKU

UMAFIA! Ndiyo utakavyoweza kusema ni baada ya mabosi wa Yanga kuwazidi ujanja Simba, baada ya kufanikisha usajili wa kiungo mkabaji...

READ MORE

Serikali yaijibu EU sakata la Ngorongoro kuilinda hifadhi

SERIKALI ya Tanzania, imesema haitumii nguvu katika kuwaondoa wananchi jamii ya kimasai wanaoishi Hifadhi ya Ngorongoro, bali inawaondoa kwa hiari...

READ MORE

Simba Yapewa Kiungo Wa Yanga Yupo Huru Kwa Sasa

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Farid Mussa yupo huru kusajiliwa na timu yoyote itakayohitaji saini yake ikiwemo Simba ambayo imepanga kukifanyia...

READ MORE

Exclusive Video: Amina Vikoba Amchana Manara – “Zaylissa Ni Wetu Kwa Njia Yoyote Ile Hata Iweje”

Dada wa msanii wa muziki wa Singeli, Dulla Makabila, Amina Vikoba, jana alifunguka kuwa katika mahusiano ambayo anayachukia sana ni...

READ MORE

Mwandishi Wa Al Jazeera, Samer Abu Daqqa, Afariki Gaza

Mwandishi wa habari na Mpiga picha wa Shirika la habari la Al Jazeera, Samer Abu Daqqa aliyejeruhiwa katika shambulio la...

READ MORE

Benchikha Aanza Mashine Nne Simba Dirisha Dogo la Usajili msimu huu

RASMI Kocha Mkuu wa Simba raia wa Algeria, Abdelhak Benchikha ameikabidhi Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo, majina ya wachezaji...

READ MORE

Serikali: Hakuna Mtumishi Wa Taasisi Zilizounganishwa Au Kufutwa Atakayepoteza Ajira

Taarifa ya Ofisi ya Mipango na Uwekezaji imefafanua kuwa hakuna Mtumishi atakayepoteza ajira katika hatua za kuunganisha na kufuta baadhi...

READ MORE

Video: Kijana Aliyemuua Mama Yake Na Kumtupa Kwenye Shimo La Choo Arusha Akutwa Na Hatia Ahukumiwa

Kijana Patrick Mmasi(19) Mkazi wa Njiro, anayetuhumiwa kumuua mama yake na kumtupa kwenye shimo la choo amekutwa na hatia.

READ MORE

Wabunge wa Marekani wanaweka wazi uwezekano kufikia msaada kwa Ukraine

Wabunge wa Marekani wanaweka wazi uwezekano wa kufikia makubaliano ya msaada kwa Ukraine, kabla ya kuondoka mjini Washington kwa likizo...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Decemba 16, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 16, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Big Bad Wolf Sloti ya Kasino Mtandaoni Yenye Hadithi Nzuri

Meridianbet Kasino ya Mtandaoni hatimaye tena tumekusogezea Sloti yenye hadithi ya nguruwe watatu na mbwa mwitu wanaotema Mamilioni kibao kwa...

READ MORE

Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao Yawatembelea Waathirika wa Maporomoko Hanang

Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao ikiongozwa na mwenyekiti wake, Steve Mengele @stevenyerere2 leo Desemba 15, 2023 imeanza rasmi ziara yake mkoani...

READ MORE