×

Gamondi: Kila mchezaji wa Yanga atafunga

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa hawapi majukumu washambuliaji pekee kufunga ndani ya kikosi hicho bali kawapa uhuru...

READ MORE

Ally Kamwe, Ahmed Na Haji Manara Watinga Bungeni – Video

DODOMA, Tanzania: Wasemaji wa vilabu vya Simba na Yanga, Ahmed Ally na Ali Kamwe, pamoja na mdau wa soka, Haji...

READ MORE

TET Yawasilisha Mtaala Mpya Katika Mkutano wa Umoja wa Wakuu wa Shule za Msingi

Mkurugenzi Idara ya Ubunifu na  Ukuzaji Mitaala kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Godson Lema amewasilisha anzia mwaka Januari,...

READ MORE

Mama Aungua Na Maharage Hadi Mfupa Unaonekana, Alia Akiomba Msaada – Video

Hujafa hujaumbika! Mwanamke Farida Ramadhan (44), mkazi wa Kibamba CCM jijini Dar es Salaam anaishi kwa mateso makubwa, kufuatia tukio...

READ MORE

Aliyepandikiza Figo Hospitali ya Taifa Muhimbili Afunguka – Video

Moses Ngowi, mkazi wa Bunju jijini Dar es Salaam ni miongoni mwa wagonjwa waliopandikizwa figo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...

READ MORE

Wapiga Kura wa Liberia Kumchagua rais wake Jumanne

Waliberia watapiga kura siku ya Jumanne katika uchaguzi wa marudio kati ya Rais George Weah na makamu wa rais wa...

READ MORE

CCM Yatoa Miezi Mitatu kwa Waziri Mchengerwa Kufika Kagera kutatua Changamoto – Video

CHAMA cha Mapinduzi ( CCM) kimetoa miezi mitatu kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali...

READ MORE

Wateja wa Y9 Microfinance Waongezewa Dau la Mkopo

 Taasisi ya kifedha ya Y9 Microfinance imeendelea na utaratibu wake wa kukabidhi zawadi kila wiki ambapo wiki  hii wamekabidhi zawadi...

READ MORE

Dar Ceramica Yazindua Tawi La Arusha Upya Kwa Kishindo

Wakazi wa Arusha na miji ya jirani wana sababu za kutabasamu zaidi kufuatia uzinduzi mpya wa Dar Ceramica Centre Tawi...

READ MORE

Kijana Aongea Kwa Uchungu Akiomba Msaada, Yupo Kitandani Miaka 5 – Video

Kijana Ally Hassan, ambaye tulitoa habari yake hivi karibuni hivi halisi anayoishi ya kulala na dumu lililokatwa kitandani, ili haja...

READ MORE

Kwapua Mpunga wa Maana na Mechi za EUROPA Leo

Alhamisi ya maokoto ndio leo hii kwani mechi nyingi za Europa zinatarajiwa kupigwa hii leo na tayari kampuni kubwa ya...

READ MORE

Serikali Yatoa Ufafanuzi Mifugo Iliyokamatwa Serengeti na kupigwa Mnada – Video

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) amesema kuwa suala linalohusisha Ng’ombe 806, Kondoo 420 na Mbuzi 100 waliokamatwa...

READ MORE

Bosi Simba Ashusha Presha Ishu Ya Kocha Mpya

WAKATI Simba ikiwa kwenye mchakato wa kumtangaza kocha wao mpya mara baada ya kuachana na Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, uongozi...

READ MORE

Wheel of Fortunes Gurudumu la Bahati Bonasi Mpaka 50,000/=

Itakuwaje pale ambapo unazungusha gurudumu la bahati la Wheel of Fortunes linaposimama unajikuta ni mshindi wa zawadi kedekede, bonasi ya...

READ MORE

Wabunge Wapitisha Michango Kumpa Profesa Jay, Laki 2 – Video

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma, amewaomba wabunge kumchangia laki mbili kwa aliyekuwa Mbunge wa Mikumi na Msanii wa Hip...

READ MORE

Identy – Kamera Ya Simu Kutumika Kama Kifaa Cha Utambuzi Na Uhakiki Wa Alama Za Kibiometrikia

Kampuni ya identy inayoshiriki maonesho ya Fintech Festival Tanzania 2023 imekuja na teknolojia ya kisasa ambayo inawezesha kamera ya simu...

READ MORE

Uteuzi: Rais Samia Ateua Mabalozi Wa Afrika Kusini Na Kuwait

Balozi James G. Bwana anakwenda Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, akichukua nafasi ya Balozi Meja Jenerali Gaudence S. Milanzi...

READ MORE

Simba hasira zote kwa Namungo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar

KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Daniel Cadena, amefanya kikao na wachezaji wake na kumuahidi kupata matokeo mazuri ya ushindi katika...

READ MORE

Mkurugenzi Wa Shirika La Bima La Taifa (NIC) Aondolewa

Rais Samia amemteua Kaimu A. Mkeyenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo akichukua nafasi ya Dkt. Elirehema Doriye atakayepangiwa kazi...

READ MORE

16 Wakamatwa Kwa Tuhuma Za Kuendesha Kiwanda Cha Biskuti Za Bangi – Video

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imewakamata Watu 16 wanaodaiwa kujihusisha na shughuli za utengenezaji wa...

READ MORE