×

Dawa Iliyonirudishia Heshima kwa Mke Wangu Baada ya Kudharaulika Kwa Muda Mrefu

Ukweli ni kwamba heshima ya kweli anayopewa mwanaume kutoka kwa mke wake ni pale ambapo anatimiza majukumu yake vizuri ya...

READ MORE

Mgomo Mzito Wa Madereva Wa Tanzania Waliopo Congo DRC Wahamasishwa, Anayekaidi Kukiona

Dar es Salaam 4 Novemba 2023: Madereva wa malori wa Tanzania waliopo nchini Congo DRC wako kwenye wakati mgumu baada...

READ MORE

ODDS KUBWA, Machaguo Zaidi ya 1000 Yapo Meridianbet

Ikiwa wikendi ndio kama hivi imewadia, Meridianbet wanakwambia hivi huku kuna kila kitu kama odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000...

READ MORE

Cheza Sloti ya Wild Icy Fruits Ushindi ni Rahisi

Sloti ya Wild Icy Fruits Wild Icy Fruits ni mchezo rahisi unaopatikana kwenye kasino ya mtandaoni, una michoro 5, safu...

READ MORE

Kocha wa Simba Aimaliza Yanga Kikubwa mchezo wa Jumapili

WAKIJIANDAA na mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Robert Olivieira ‘Robertinho’ amechimba mkwara...

READ MORE

Korea Kaskazini yafunga balozi za nchi nne zikiwemo Uganda na Angola

Korea Kaskazini imeamua kufunga ofisiza kibalozi katika angalau mataifa manne duniani kote, mabadiliko makubwa ya kidiplomasia ambayo baadhi ya wachambuzi...

READ MORE

Mbunge akerwa mawaziri ‘kuchati’ bungeni, aomba mwongozo – Video

MBUNGE wa Songwe, Philipo Mulugo, ameomba mwongozo bungeni jijini Dodoma, juu ya tabia ya baadhi ya mawaziri wanaodaiwa kutumia simu...

READ MORE

Nafasi za Kazi Global TV: Cameraman, Youtube Moderator na Social Media Admin

Wanahitajika Cameraman, Youtube Moderator na Social Media Admin. CAMERAMAN – 1 Post – Ajue kutumia camera kubwa na ndogo –...

READ MORE

Ngoma, Kanoute Waimaliza Kariakoo Dabi Uwanja wa Mkapa Jijini Dar

KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazili, Robert Oliviera ‘Robertinho’ amewapa jukumu zito viungo wake wa kati Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute na...

READ MORE

Rwanda kuruhusu wageni kutoka mataifa ya Afrika kuingia bila Visa

Rwanda Alhamisi wiki hii ya Novemba 2023 imetangaza kwamba itawaruhusu waafrika kuingia nchini humo bila ya visa, likiwa taifa la...

READ MORE

Ukiwa na Sifa Hizi Lazima Uolewe!

MOJA kati ya kilio kikubwa cha mabinti ni kupata wanaume sahihi wa kuwaoa. Ishu si tu kuolewa lakini kupata mume...

READ MORE

Mbunge Mpina Anyukana Bungeni na Mwigulu, Makame Mbarawa ataka Washtakiwe – Video

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ametaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Novemba 4, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Nov 4 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Musukuma: Wananunua Suti Za Gharama, Kingereza Kingi Kumbe Wezi -Video

Mbunge wa Geita Vijiji, Joseph Kasheku ‘Musukuma’ akichangia mjadala wa uchambuzi wa Ripoti ya CAG amesema kuna fedha nyingi zinatajwa...

READ MORE

Kongamano la Kimataifa Ubora wa Elimu Kufanyika Dar

  MTANDAO wa Elimu Tanzania (TEN/MET) unaoundwa na Asasi za Kiraia (AZAKI) 219 zinazofanya kazi katika sekta ya elimu Tanzania Bara...

READ MORE

TET na TSLTDOWasaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Kusaidia Wanafunzi Viziwi  Kupata Elimu

Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na  Shirika la  Maendeleo ya Tafsiri ya Lugha ya Alama Tanzania (TSLTDO) wamesaini Hati ya...

READ MORE

Wananchi Wazidi Kuneemeshwa Na Kampeni Ya Serengeti Lite, Maokoto Ndani ya Kizibo Wanywaji Wajizolea Laki Tanotano

Dar es Salaam, 4 Novemba 2023: Kampeni ya Maokoto Ndani ya Kizibo inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia...

READ MORE

Carrier Na Toshiba Watambulisha Bidhaa Mpya Mifumo Ya Viyoyozi (HVAC Solutions) Wenye Tija Nchini

Dar es Salaam, Novemba 3, 2023: Kampuni ya Carrier ambao ni wataalamu wanaoaminika wa masuala ya viyoyozi, majokofu, na mifumo...

READ MORE

Anza Wikendi Yako kwa Ushindi na Meridianbet

Unajiuliza ni vipi utaianza wikendi yako kibabe? Jibu ni moja tuu njoo Meridianbet sasa uanze wikendi kibabe ukibashiri mechi zako...

READ MORE