×

Waziri Mchengerwa Akemea Wanasiasa Wanaokwamisha Miradi Ya Maendeleo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  Mohamed Mchengerwa amekemea tabia ya wanasiasa na...

READ MORE

Maskini Latifa! Ana Miaka 17 Amekakamaa, Wakimkunja Anavunjika, Ndugu Wamwita Msukule – Video

Ukimtazama kwa haraka huwezi kuamini macho yako kama kuna binadamu wanateseka kiasi hiki! Anaitwa Latipha Ibrahim Kadogosa, mwili wake umekakamaa,...

READ MORE

Mkojani Ataja Siri Ya Filamu Zake Kupendwa Kwenye Mabasi Ya Mikoani

Msanii wa filamu za vichekesho, Abdalah Zunda maarufu kwa jina la Mkojani ambaye filamu zake zimejipatia umaarufu mkubwa kwenye mabasi...

READ MORE

Mchengerwa Ataka Mganga Mkuu Kagera Kusimamishwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Serikali za Mitaa Tawala za Mikoa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amemwagiza katibu Mkuu TAMISEMI kutengua...

READ MORE

Israel Yaomboleza vifo vya mateka wa Israel waliouawa kimakosa na jeshi lake

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ameyataja mauaji ya mateka hao kuwa ni “janga lisilovumilika” na kuahidi kuendelea “kwa juhudi...

READ MORE

Mastaa Wa Filamu Bongo Wafurahishwa Na Kuzidi Kunoga Kwa Tuzo Filamu 2023

Dar es Salam 16 Desemba 2023: Msanii mkongwe wa filamu za Kibongo, Hashim Kambi ameelezea kufurahishwa kwake na Bodi ya...

READ MORE

Rais Dk. Samia Atuma Salamu Kwenye Tamasha La Tuzo Za Filamu 2023, Awashushia Neema Bongo Muvi

Dar es Salaam, 16 Desemba 2023: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameipongeza Bodi ya Filamu nchini...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumapili, Decemba 17, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 17, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Tuzo Za Mwaka Huu Si Mchezo, Joti Na Mkojani Walivyotifuana Filamu Za Vichekesho

Wasanii mahiri wa filamu za vikesho hapa nchini, Mkojani na Joti usiku wa kuamkia leo walitifuana vikali kwenye tamasha la...

READ MORE

Usiku wa Tamasha la Tuzo Za Filamu Wafana Dar, Underground Ben Royal Awafunika Mastaa Na Tuzo 6

Tamasha la Usiku wa Tuzo za Filamu lililoandaliwa na Bodi ya Filamu nchini na kufanyika Ukumbi wa The Super Dome...

READ MORE

OSHA Yaagizwa Kusajili Maeneo Yote ya Kazi nchini Ifikapo Juni 2024

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeagizwa kusajili maeneo yote ya kazi nchini pamoja na kuhakikisha kwamba...

READ MORE

Wafanyakazi Benki ya NBC, Wadau Waanza Safari Kuitambulisha POS ya NBC Mlima Kilimanjaro

Wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na wadau mbalimbali wa utalii mkoani Kilimanjaro wameanza safari ya kihistoria ya...

READ MORE

Ni Zamu Ya Madereva Bajaji Kupokea Msaada Kutoka Meridianbet

Meridianbet inaendelea kufanya ambayo imekua ikiyafanya kwa muda mrefu nayo sio kitu kingine ni kurudisha katika jamii yake ambayo imekua...

READ MORE

Wadau Wa Filamu Wafundishwa Jinsi Ya Kuonesha Filamu Za Hadharani Na Faida Zake

Dar es Salaam 14 Desemba 2023: Kampuni Ya Ajabuajabu ya hapa nchini na A wall Is A Screen ya nchini...

READ MORE

Viongozi wa Sun Broadcasting ya Zambia Watinga Ofisi za Global TV Dar es Salaam

Viongozi wa Sun Broadcasting Holding Limited yenye makao yake makuu Ndola, Zambia, leo Desemba 16, 2023 wametembelea ofisi za Global...

READ MORE

Jumamosi Hii Ni Kupiga Mkwanja Tu Na MeridianBet

Jumamosi hii Meridianbet inataka kuhakikisha unapiga mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali ambayo itakwenda kuchezwa leo katika ligi tofauti tofauti...

READ MORE

Mbunge Mahawanga Awataka Mabinti Na Vijana Kutumia Vipaji Vyao Kama Fursa Ya Kujikwamua Kiuchumi

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Tisha Mama Foundation Mhe....

READ MORE

Naibu Waziri wa Uchukuzi Kihenzile Akabidhi Kontena Lenye Vifaa vya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi

Mbunge wa Mufindi Kusini ambeye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amekabidhi kontena lenye shehene yenye vifaa mbalimbali...

READ MORE

Yanga Yaifanyia Umafia Simba Yamsajili wa kiungo Mkabaji wa JKU

UMAFIA! Ndiyo utakavyoweza kusema ni baada ya mabosi wa Yanga kuwazidi ujanja Simba, baada ya kufanikisha usajili wa kiungo mkabaji...

READ MORE

Serikali yaijibu EU sakata la Ngorongoro kuilinda hifadhi

SERIKALI ya Tanzania, imesema haitumii nguvu katika kuwaondoa wananchi jamii ya kimasai wanaoishi Hifadhi ya Ngorongoro, bali inawaondoa kwa hiari...

READ MORE