×

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatatu, Decemba 11, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 11, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

CRDB leo Yakabidhiwa Cheti cha Viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA

Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika...

READ MORE

Wafanyakazi Wa Benki Ya Azania Walivyofika Kwenye Kilele Cha Mlima Kilimanjaro

Wafanyakazi wa Benki ya Azania wakiwa kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro. Kundi la Wafanyakazi 22 wa Benki ya Azania lilianza...

READ MORE

Magifti Dabodabo Ilivyotua Simiyu

Kampuni ya huduma za mawasiliano ya Tigo imekabidhi kiasi cha Shilingi Milioni Tano kwa Robin Brasio ambaye ni mkazi wa...

READ MORE

Mbunge Eric Shigongo Aewataka vijana kupambana kufa na kupona kuhakikisha wanatimiza ndoto zao

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewataka vijana kupambana kufa na kupona kuhakikisha wanatimiza ndoto zao na kufanikiwa maishani kwani ukiwa...

READ MORE

TATO Yatoa Shilingi Milioni 128 Kusaidia Waathirika Wa Janga La Hanang

CHAMA cha Mawakala wa Utalii nchini (TATO) kupitia wanachama wake kimetoa misaada yenye thamani ya dola za Marekani 51,200 (...

READ MORE

Rais Samia Ateta jambo na Makamu wa Rais Dkt. Phillip Isdor Mpango Ikulu Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteta jambo na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor...

READ MORE

Waziri Mkuu kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 10, 2023, amewasili katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. Ambapo atakuwa mgeni rasmi...

READ MORE

Beti na Meridianbet Mechi za Jumapili Hii

Jumapili ndio hii ya leo na ligi mbalimbali zinaendelea Duniani kote kuanzia pale Uingereza, Ujerumai, Hispania, Ufaransa, Italia na kwingine...

READ MORE

Washindi Wa Magifti Dabodabo Ya Tigo Walivyoenda Zanzibar Kuinjoi Siku 4 Na Wapendwa Wao

Dar es Salaam, 10 Desemba 2023: Washindi wa Kampeni ya Magifti Dabodabo inayoendeshwa na Kampuni ya Mtandao wa simu za...

READ MORE

Jembe la Gamondi laonywa Daktari Mkuu wa timu Yanga

AKIWA nje akiendelea kuuguza majeraha yake ya kifundo cha mguu ‘enka’, beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa amepewa onyo ...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Sierra Leone ahojiwa kuhusiana madai ya jaribio la mapinduzi

Rais wa zamani wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma ameripoti katika kituo cha polisi katika mji mkuu wa nchi hiyo...

READ MORE

DAS Mvomero Katika Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Akumbusha Kuienzi Misingi ya Umoja

Watanzania wamekumbushwa kuienzi misingi ya umoja wetu, mshikamano na udugu wetu kama Taifa Moja, kwani fahari hii tulioikuta sasa kuna...

READ MORE

Kesi ya Shambulio la Mwili Kusikilizwa Jumatatu 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam inatarajia kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma za shambulio la mwili jumatatu inayomkabili...

READ MORE

Bajaji za Bei Chee Zamwagwa Dar, Wahi Uchukue Ya Kwako Kabla Hazijaisha – Video

Kampuni ya SEPCO Debt Collection and Auctioneering inakutangazia mnada mnada wa hadhara kwa idhini waliyopewa na Kampuni ya Wakazi Holding...

READ MORE

Rais Samia: Taifa Lazima Lijipangie Mpango Wa Maendeleo, Ukishindwa Kujipanga, Utapangiwa (Picha +Video)

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema ni lazima Taifa lijipangie mpango maalum wa maendeleo kwa sababu ukishindwa kujipanga, utapangiwa kwa masharti...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada Mwenge ya Miamvuli kwa wajasiriamali

  Zamu ya Mwenge jijini Dar-es-salaam sasa ambapo mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamewafikia wakazi wa eneo...

READ MORE

Johnnie Walker Yasimika Sanamu Kusherehekea Miaka 62 ya Uhuru wa Iliyokuwa Tanganyika

Johnnie Walker yaadhimisha miaka 62 ya umoja wa Tanzania kupitia kampeni ya kusisimua, “Keep Walking Tanzania” kwa kusimika sanamu ya...

READ MORE

Walioathirika Na Mafuriko Hanang Wapewa Mitungi Ya Gesi Ya Kupikia Bure Na Oryx

Wakati nchi ikiendelea na maombolezo ya vifo, majeruhi, uharibifu wa mali kufuatia janga la maporomoko ya tope na mafuriko yaliyotokea...

READ MORE