×

Viashiria vya Kujua Kama Unapendwa!

UPO kwenye uhusiano wa kimapenzi? Unahisi unapendwa na mpenzi wako? Haya ni maswali muhimu ya kujiuliza. Kwenye uhusiano, si wote...

READ MORE

Rais Samia Ateua Makamu NEC, Mkaguzi Mkuu wa Serikali – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Benjamin Magai kuwa Mkaguzi Mkuu...

READ MORE

Dar es Saalaam 30 Juni 2023: Ikiwa ni Takribani wiki sasa tangu kampuni ya Mawasiliano ya Tigo izindue Kampeni yake...

READ MORE

Madonna Ahairisha Ziara Baada ya Kupelekwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi

Mwanamuziki Madonna ameahirisha ziara yake ya kimataifa baada ya kupelekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) akiwa na maambukizi makali...

READ MORE

Bosi Simba Achimba Mkwara Mzito “Jezi Mpya Kuvunja Rekodi ya Mauzo”

MARA baada ya jana Jumatano kutangaza rasmi kuwa tayari mzigo wa jezi zao mpya kwa msimu wa 2023/24 umefika, uongozi...

READ MORE

Waziri Mkuu Amuwakilisha Rais Samia Katika Swala ya Eid El Adh’haa Kitaifa Dar – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Leo 29, June 2023, amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Whozu Akataa Kuoa Mbele Ya Wema Sepetu – ”Sijafikia Stage Ya Kuoa” – Video

KWENYE EXCLUSIVE ya IMELDA MTEMA amepiga stori na wapenzi wawili wanaochangamsha sana mji Wema Sepetu na Whozu ambao wamefunguka mengi…

READ MORE

Kaizer Chiefs Yamtangaza Kocha Molefi Ntseki, Nabi Apigwa Chini

Klabu ya soka ya Kaizer Chiefs ya nchini Afrika Kusini hapo jana imemtangaza rasmi Molefi Ntseki kuwa ndiye kocha wao...

READ MORE

Mbunge Keisha: Msitishwe na Kuogopa Maneno DP World ni Fursa Kwa Wananchi

Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Khadija Shaaban Taya (Keisha) amewaomba watu wenye ulemavu kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo na kutoa...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Tamko Sakata La Bandari Ya Dar, Huu Hapa Msimamo Wa Serikali – “Tutajadiliana”-Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema makubaliano baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya...

READ MORE

Msanii wa Bongo Fleva Anayeishi Nchini Uingereza Aachia Goma la Bad Vibes

Iicons ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania anayeishi nchini Uingereza ambaye anazidi kufanya makubwa katika gemu la...

READ MORE

Swala Ya Eid El Adha Kitaifa Kufanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed wa Sita Dar

Baraza la Kuu la Waislamu Tanzania Bakwata limesema sikukuu ya Eid El Adha Kitaifa itaswaliwa katika Msikiti Mkuu wa Mfalme...

READ MORE

Cleopatra Malkia Anayesadikika Kuwa Mwanamke Mzuri Zaidi Kuwahi Kutokea Duniani

MALKIA Cleopatra ni maarufu zaidi kati ya malkia wote waliowahi kutawala Misri. Cleopatra alizaliwa Alexandria mwaka wa 69 K.K (kabla...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Hotuba Nzito Awapongeza Yanga na Mandonga Akihitimisha Shughuli Za Bunge -Video

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa hii leo amewapongeza wanamichezo mbalimbali ambao wamekuwa wakiiwakilisha nchi...

READ MORE

Wateja wa Airtel Kupata Punguzo la Asilimia 10 Wanunuapo Tiketi za Flydubai kwa Kutumia Airtel Money

Airtel money leo imetangaza ushirika wake na Flydubai, ambapo wateja waliounganishwa na Airtel Money wanaonunua tiketi za Flydubai watapata upendeleo...

READ MORE

Wakala wa Meli Tanzania Waunga Mkono Ujio wa DP World

CHAMA cha Wakala wa Meli Tanzania (TASAA) kimeunga mkono mpango wa Serikali wa kuleta uwekezaji wa kampuni ya DP World...

READ MORE

Mambo Nyeti Usiyoyajua Kuhusu Iddi Amin Dada, Kula Nyama za Watu?

IDDI Amin Dada Oumee, alikua raisi wa tatu wa Uganda, alitawala 1971 mpaka 1979, hakuwahi kuandika kitabu cha historia yake...

READ MORE

Waziri Nape aipongeza Vodacom Kufungua ofisi ya kisasa jijini Dodoma

  Waziri Mkuu wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amepongeza jitihada za Vodacom Tanzania kwa kufungua ofisi...

READ MORE

Nani Zaidi Kwenye Mahaba Wembamba vs Vibonge?

RAFIKI, ngoja tuchangamshe kijiwe kidogo, mambo ya ushauri wa mapenzi nitaendelea nayo wiki ijayo, lakini leo hebu tujikite kwenya mjadala...

READ MORE

Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu, Wakaguzi wa Hesabu Yatangaza Matokeo Ya Mei 2023

Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) imeidhinisha matokeo ya mitihani ya 97...

READ MORE