×

Magomeni Yamshukuru Awesu Baada ya Kufanya Jambo Hili

Aliyesema mpira wa Bongo kwa sasa unalipa ni kweli hakukosea, kwa kuwa wachezaji wengi wanapata madili na makampuni kama Meridianbet...

READ MORE

Sakata la Tanga Cement Kuuzwa, Chama Cha Walaji Chadai Hakikushirikishwa

  MKURUGENZI wa Chama cha Walaji Tanzania,Bernad Kihiyo, amesema kauli iliyotolewa bungeni kuwa wadau wote walishirikishwa na kuridhia suala la...

READ MORE

NMB Yakarabati Wodi ya Uzazi Muhimbili

Benki ya NMB imekarabati na kukabidhi wodi ya uzazi pamoja na vifaa tiba kwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ukarabati...

READ MORE

Kampeni ya Upandaji Miti Yapamba Moto Kijiji cha Green Village Estate Bunju Mabwepande

  Naibu Kamishna na Mkurugenzi wa Uzalishaji Mbegu Bora za Miti na Vipando wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS),...

READ MORE

Benki ya Absa Kuendelea Kudhamini Absa Dar City Marathon

BENKI ya Absa Tanzania imesema itaendelea kudhamini mbio za Absa Dar City Marathon ikiwa kama mdhanini mkuu kutokana na faida...

READ MORE

Kocha Msauzi Aipa Yanga Siri Kuwamaliza Marumo Keshokutwa Uwanja wa Mkapa

ALIYEWAHI kuwa Kocha Msaidizi wa Yanga na kocha wa viungo wa Mamelod Sundowns, raia wa Afrika Kusini, Riedoh Berdien amewatazama...

READ MORE

Mapigano ya Sudan: Mwanafunzi Afariki Akirekebisha Umeme Katika Zahanati ya Darfur

MWANAFUNZI mhandisi wa umeme mwenye umri wa miaka 27 amefariki akijaribu kurekebisha umeme katika hospitali iliyoathiriwa na mapigano katika jimbo...

READ MORE

Clatous Chama Kagawanyika Vipandevipande Simba

MWAMBA wa Lusaka, Clatous Chama ndani ya Simba akiwa ni kinara wa kutengeneza pasi za mwisho kagawanyika vipandevipande kutokana na...

READ MORE

Naibu Waziri wa Maliasili Masanja Atoa Maagizo kwa Wananchi Tarime

Serikali imewataka wananchi wilayani Tarime mkoani Mara kuheshimu maeneo ya hifadhi kwa kuacha kufanya shughuli za kibinadamu katika maeneo hayo....

READ MORE

Mbunge Shigongo Awapa Ujumbe Wanachuo ‘MUHAS’ ‘Usipuuze Kipaji Mungu Alichokupa”

Mbunge wa Jimbo la Buchosa Wilayani Sengerema, Mhe. Eric Shigongoo  na Mhamasishaji Maarufu Afrika Mashariki na Kati, ambaye pia ni...

READ MORE

Katiba Mpya Hiyoo! Rais Samia Aagiza Msajili Kuitisha Kikao Maalumu

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kuitisha kikao maalum cha...

READ MORE

Watu Tisa Wauwawa Kwa risasi Texas, Marekani Wengine Kadhaa Walijeruhiwa

Watu tisa wameuliwa baada ya kupigwa risasi na mtu aliyekuwa na bunduki katika mji wa Allen kwenye jimbo la Texas...

READ MORE

Mzungu Singida Aipa Ubingwa Yanga Ligi Kuu Bara Msimu Huu

KASI ya kikosi cha Yanga katika vita ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu imemshtua Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Simba Yaishushia Azam Mziki Kamili Leo Jumapili Kwenye Mchezo wa Nusu Fainali ya Azam Sports Federation

BENCHI la Ufundi la Simba, chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ limebainisha kuwa, mchezo wao wa nusu fainali dhidi...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa Ufafanuzi Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Aliyefariki Dunia

Jeshi la Polisi Nchini Tanzania limesema kuwa limeona mjadala katika mitandao ya kijamii ikuhusiana na kifo cha Mwanafunzi wa Chuo...

READ MORE

Serikali Ya Tanzania Yaingia Makubaliano Na Klabu Ya Seattle Sounders Ya Marekani

SERIKALI ya Tanzania imeingia makubaliano  klabu ya  Seattle Sounders inayocheza Ligi  Kuu ya mpira wa miguu ya Major (MLS) Seattle...

READ MORE

Lionel Messi Aandaliwa Ofa Ya Kufuru Na Serikali Ya Saudia

SERIKALI ya Saudi Arabia imeandaa ofa kubwa zaidi katika historia ya soka lao ili kumnasa Lionel Messi. Matajiri hao wanataka...

READ MORE

Tajiri Huyu Akitua Tu United, Usajili Wa Kwanza Ni Mbappe

SHEIKH Jassim anataka kumsajili Kylian Mbappe iwapo atainunua Manchester United kwa kitita cha pauni bilioni 5, huku nyota wa Bayern...

READ MORE

Idadi ya Vifo Kutokana na Mafuriko DRC Yafikia Watu 176

Zaidi ya watu 176 wamefariki kutokana na mafuriko katika eneo la Kalehe, Kivu Kusini, Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Katika...

READ MORE

Kesi Kupinga Ushindi wa Tinubu Kama rais Mteule wa Nigeria Kuanza Kusikilizwa Jumatatu

Jopo maalum la kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Nigeria litaanza kusikiliza kesi hiyo Jumatatu wiki...

READ MORE