×

PASS Trust Yaelimisha Wadau Kuhusu Uhamasishaji Wa Ajenda Ya Ukuaji Wa Kijani Shirikishi Nchini

Singida, Machi 29.03.2023: Taasisi ya Kusaidia Sekta Binafsi ya Kilimo (PASS Trust) leo imefanya mkutano wa mashauriano na wadau mbalimbali...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mabadiliko Baraza la Mawaziri, Simbachawene, Mhagama Wabadilishana Wizara

Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu,...

READ MORE

Wahitimu Chuo Cha Kufundisha Misingi ya Biblia ‘FBTC  Tanzania’Kulinda Maadili

Zaidi ya wahitimu 90 Chuo Cha Kufundisha Misingi ya Biblia (FBTC  Tanzania ) wametakiwa kuwa chachu ya maendeleo katika kuhakikisha...

READ MORE

Oscar Pistorius Arudishwa Gerezani Baada ya Kuomba Kuachiliwa

Bingwa wa Olimpiki ya Walemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius hakupewa msahama siku ya Ijumaa baada ya kuomba kuachiliwa mapema...

READ MORE

Georgina: Mimi Na Ronaldo Ni Wanandoa Machoni Pa Mungu… Adokeza Harusi Yao Hivi Karibuni

Georgina Rodriguez ametoa dokezo kubwa la harusi huku akidai yeye na Cristiano Ronaldo wamefunga ndoa mbele ya macho ya Mungu....

READ MORE

Kocha Mkuu wa Simba Awatega Musonda, Mayele Atoa Maagizo

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ametoa angalizo kubwa kwa mabeki wa timu hiyo kwa kuhakikisha wanaongeza umakini mkubwa...

READ MORE

New York: Mashtaka Dhidi ya Donald Trump Bado Hayajabainishwa Wazi kwa Umma

Jopo la Mahakama huko New York limepiga kura kumshtaki rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kwa shutuma za kihalifu...

READ MORE

Elimu ya Kijinsia Katika Jamii Ni Muhimu Katika Kudhibiti Matukio ya Ukatili

Jinsia ni mtazamo ambao umejengeka katika jamii unaotofautisha majukumu, majukumu hayo na mitazamo hiyo hutengenezwa na jamii husika na mitazamo...

READ MORE

Nmb Bonge La Mpango Yazinduliwa Misungwi, Wateja Kuvuna Mil 180/=

Msimu wa Tatu wa Kampeni ya kuhamasisha utamaduni wa kuweka pesa Benki ya NMB ‘NMB Bonge la Mpango – Moto...

READ MORE

TCRA Kuanza Kukagua Vifaa vya Mawasiliano Kabla ya Kuingizwa Nchini

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuanzia Mei 23, mwaka huu vifaa vya mawasiliano ya kielektroniki vinavyoingizwa nchini vitatakiwa kukaguliwa...

READ MORE

Wachimba Madini 10 Wafariki Baada ya Mgodi Kuanguka Sudan

Wachimba dhahabu wapatao 10 wamefariki katika ajali iliyotokea kaskazini mwa Sudan, na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa. Vyombo vya habari...

READ MORE

MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI KAMALA HARRIS AHITIMISHA ZIARA YAKE TANZANIA-(VIDEO+PICHA)

MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris leo Machi 31, 2023 amekamilisha ziara yake ya kikazi nchini Tanzania na kuelekea...

READ MORE

Simba Yawavimbia Raja Casablanca Morocco Ligi ya Mabingwa Afrika

KUTOKANA na hali ya hewa kuwa rafiki nchini Morocco, uongozi wa Simba umeahidi kutoruhusu tena kufungwa na Raja Casablanca katika...

READ MORE

Trump Afunguliwa Mashtaka na Jopo Kuu la Mahakama ya Manhattan New York

Donald Trump amefunguliwa mashtaka na jopo kuu la mahakama ya wilaya ya Manhattan katika jimbo la New York baada ya...

READ MORE

Bilionea GSM Atoa Kauli Ya Kutisha Afrika Akielekea Congo Na Kikosi Cha Yanga

BILIONEA wa Yanga, Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ jana Alhamisi kwa mara ya kwanza alisafiri na kikosi cha timu kwenye safari...

READ MORE

Bunge la Uturuki Laidhinisha Mswaada Unaoiruhusu Finland Kujiunga na NATO

Bunge la Uturuki Alhamisi limeidhinisha mswaada wa sheria ili kuiruhusu Finland kujiunga na NATO, na hivyo kuondoa pingamizi zote kwa...

READ MORE

Mtanzania Aibuka Kinara Tuzo Za Uvumbuzi Kwenye Teknolojia Barani Africa

Mtanzania Deogratius Mosha, ameibuka  mshindi katika kinyang’anyiro cha uvumbuzi kwenye teknalojia kwa wavumbuzi wenye umri chini ya miaka arobaini  kutoka...

READ MORE

Rais Samia Amuandalia Futari Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris Ikulu Dar – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amuandalia Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris...

READ MORE

Meridianbet Yahamia kwa Kina Mama Wanaojishughulisha na Mama Ntilie

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii...

READ MORE

Marekani Kuipatia Tanzania Msaada wa Dola za Kimarekani Milioni 560

Makamu wa Rais wa Marekani Kamla Harris ametangaza ushirikiano na Tanzania katika maeneo mbali mbali ya kiuchumi kisiasa na kijamii....

READ MORE