×

Prof. Shemdoe Ateta na Nmb Uboreshaji Mchakato wa Utoaji wa Mikopo ya Asilimia 10

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OWM- TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekutana...

READ MORE

Rais Samia Awasili Dubai, Azungumza na Waziri wa Sheria – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al...

READ MORE

Iran Yakubali Mapigo! Yaomba Mazungumzo na Marekani – Video

Iran imesema iko katika hatua ya kutathmini masharti ya kurejea kwenye mazungumzo ya nyuklia na Marekani, huku pande zote zikionyesha...

READ MORE

Madai Mazito Yafichuliwa Kati ya Familia Ya Trump na Mwanamfalme – Video

Ripoti mpya ya uchunguzi iliyochapishwa na gazeti la The Wall Street Journal imeibua mjadala mkubwa wa kisiasa na kiusalama, baada...

READ MORE

Bima ya Afya Kwa Wote Imelenga Makundi Maalum ya Kimkakati

Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amesema mpango wa Bima ya Afya kwa Wote umejikita kuyafikia makundi maalum ya kimkakati ikiwemo...

READ MORE

Serikali Yaahidi Kuimarisha Uhuru wa Mahakama, Nchimbi Asisitiza Haki na Uwajibikaji

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kwa kutambua umuhimu wa Mahakama katika...

READ MORE

Historia Yajirudia! Tyla Ashinda Grammy Tena 2026

Msanii wa kimataifa kutoka Afrika Kusini, Tyla, ameendelea kuandika historia mpya katika muziki wa Afrika baada ya kushinda tuzo yake...

READ MORE

Nguvu Mpya Stamford Bridge, Meridianbet Yakuletea Odds Kubwa za Mechi za Chelsea

Wakali wa ubashiri wanakuita ubashiri mechi zako zote hapa kwa dau unalolitaka, laini pia wakikuwambia kuwa una nafasi ya kuibuka...

READ MORE

GSM Yashinda Tenda ya Kujenga Uwanja wa Yanga

Klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga) imepiga hatua kubwa katika safari yake ya kuwa na uwanja wa kisasa, baada...

READ MORE

Rais Samia Aondoka Nchini Kuelekea UAE Kushiriki WGS 2026 – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiondoka nchini kuelekea Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)...

READ MORE

Orodha Kamili ya Washindi wa Grammy Awards 2026

LOS ANGELES, Marekani — Usiku wa Februari 1, 2026, ulimalizika kwa mwangaza mkubwa katika Grammy Awards, tukio kuu la muziki...

READ MORE

Mamia Wajitokeza Siku ya Kwanza Uchunguzi wa Bure Hospitali ya Kairuki

ZAIDI ya wananchi 500 wamepatiwa huduma ya uchunguzi wa maradhi mbalimbali na ushauri wa bure katika siku ya kwanza ya...

READ MORE

Fungua Mlango wa Ushindi Na Naga Games Ndani Ya Meridianbet

Unajisikia vipi ukiwa na nafasi ya kushinda kila siku? Meridianbet inachukua hatua nyingine ya kipekee kwa kuleta Naga Games, jukwaa...

READ MORE

Mwanaheri Atoa Ujumbe Mzito Baada ya Kuolewa ‘Bwana nnae na natamba nae’

Msanii wa Bongo Movie, Mwanaheri maarufu kwa jina la Madam Simba, amefunguka kwa furaha baada ya kuolewa rasmi, tukio lililowagusa...

READ MORE

Serikali Yatenga Bilioni 30 Kujenga Vituo Vya Afya Vya Kimkakati Katika Majimbo 120

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), anayeshughulikia afya Dkt. Jafar Seif,...

READ MORE

Dkt. Lazaro Bunungu Achukua Fomu Kuwania Ubunge Peramiho – Video

Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Lazaro Komba Bunungu, amechukua rasmi fomu...

READ MORE

Kimenuka Arusha, Wananchi Wafunga Barabara – Video

Wananchi wa Mtaa wa Migungani Kata ya Sokone One jijini Arusha wamefunga barabara ya kuelekea Mnara wa Voda Sombetini baada...

READ MORE

Shabiki Ampiga Ngumi Mangungu – Video

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu jioni ya leo ameingia kwenye ‘kashkash’ baada ya shabiki wa Simba kutaka kumshushia...

READ MORE

Simba Yachechemea Ligi ya Mabingwa Baada ya Sare ya 2 – 2

Dakika 90 za mchezo mkali wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC na Espérance Sportive de Tunis zimekamilika...

READ MORE

Waziri Mkuu Asisitiza Umuhimu wa Maadili na Mshikamano Katika Jamii

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amehimiza malezi bora ya watoto na vijana kama silaha muhimu ya kudumisha maadili, mshikamano na...

READ MORE