×

Waandishi wa Habari Waaswa Kutumia Kalamu Zao Kutangaza Mazuri ya Nchi

  Dar es Salaam, 6 Disemba 2022: Wanahabari nchini wameaswa kutumia kalamu zao kutangaza mema ya nchini na kuachana na...

READ MORE

Kampuni ya T-PESA Yazindua Huduma za Bima

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima nchini Tanzania (TIRA), imeipongeza Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) T-Pesa kwa...

READ MORE

Anayevuruga Mitihani Ashitakiwe Mahakamani, Aende Jela-Waziri Mkenda

  Serikali imeweka bayana dhaira yake ya kuchukua hatua kali za uwajibikaji kwa Maafisa Elimu wa Mikoa, Wilaya, Walimu na...

READ MORE

Wilaya ya Tanganyika Kuadhimisha Miaka 61 ya Uhuru kwa Kupanda Miti

  Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi,katika kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9 mwaka huu, jana...

READ MORE

Breaking News: Kocha Mkwasa wa Ruvu Shooting Ajiuzulu, Atoa Fursa kwa Viongozi Kutafuta Mbadala Wake

KOCHA MKUU wa Klabu ya Ruvu Shooting, Charles Boniface Mkwasa amejiuzulu kuifundisha timu hiyo kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya...

READ MORE

Fedha za Maadhimisho ya Uhuru Kujenga Mabweni ya Shule Nane

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema fedha zilizokuwa zimetengwa na...

READ MORE

Kampuni ya Kilombero Yaibuka Kidedea Tuzo za ATE 2022

DAR ES SALAAM, Kampuni ya Sukari ya Kilombero imefanikiwa kunyakua tuzo katika kipengele cha Uanagenzi na Mafunzo (Apprenticeship and Internship)...

READ MORE

Kanisa la Mlima wa Moto Kumuenzi Hayati Dkt. Getrude Rwakatare

  KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi...

READ MORE

UNCDF na Infinix Tanzania Zahamasisha Ukuaji wa Fintech ili Kukuza Ukuaji wa Mfumo wa Ikolojia wa Uanzishaji wa Fintech Tanzania

DESEMBA 5, 2022 Infinix chapa bora ya Smart phone iliyoanzishwa mwaka wa 2013 kwa kujitolea kujenga teknolojia ya kisasa iliyosanifiwa...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Akabidhi Tuzo Kwa NMB ya Mwajiri bora wa mwaka 2022   

Benki ya NMB imetangazwa kuwa Mwajiri bora wa mwaka 2022 katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Chama cha...

READ MORE

Mambo ni Moto Kombe la Dunia Brazil vs Korea Kusini, Morocco vs Hispania Pata ODDS kubwa za Meridianbet

Wiki hii ule ukurasa raundi ya mtoano wa 16 bora utafungwa rasmi kwa michezo minne iliyosalia, ni Japan vs Croatia,...

READ MORE

TEN MET Yataka Ubora wa Elimu Ukidhi Mahitaji ya Wenye Ulemavu

  MTANDAO wa Elimu Tanzania (TEN/MET), umetoa changamoto kwa wadau wa elimu nchini kwa kushirikiana na Serikali kuhakikisha mabadiliko ya...

READ MORE

Waziri Aitembelea TPDC na Kupewa Maelezo Kuhusu Matumizi ya Gesi Asilia Majumbani

  Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Omary Said Shaaban ametembelea jengo la Shirika la Maendeleo ya Petroli...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

ata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra leo Dec-05, Kwa nusu bei tu Gazeti la Spoti Xtra👉www.globalapp.co.tz AU SpotiXtra👉https://bit.ly/3O0o5UU

READ MORE

Serikali ya Iran Yawanyonga Majasusi Wanne Wanaodaiwa Kutumwa na Israel

Serikali ya Iran imewanyonga majasusi wa nne wa Israel waliohukumiwa kifo baada ya kukamatwa, wakituhumiwa kutumwa na Israel kuipeleleza nchi...

READ MORE

Bandari Kavu ya Kwala Mkoani Pwani Kuanza Kutumika Januari, 2023

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anayesimaia Sekta ya Uchukuzi Bw. Gabriel Migire amesema  Kufikia Januari, 2023...

READ MORE

Mayele Aiweka Yanga Pabaya leo Jumapili dhidi ya Tanzania Prisons kwa Mkapa

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze, ameweka wazi kuwa, kuna hatihati ya kuwakosa wachezaji wake muhimu katika mchezo wa leo...

READ MORE

Mshtuko Msanii Diamond Platnumz Kuacha Muziki, Mashabiki Wafunguka Mazito!

UAMKIE muziki, uheshimu muziki siyo mwepesi kama unavyofikiria unaweza kuishi nao milele, Ijumaa linakupa kiyo ichukue ikusaidie. Msanii Diamond Platnumz...

READ MORE