×

Exclusive: Tundu Lissu Afunguka – “Usalama Wangu Upo Kwenye Mikono Ya Rais Samia Na Serikali Yake”-Video

KUPITIA VOA Kiongozi nguli wa upinzani na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lisu amezungumza katika mahojiano maalum ambapo ameeleza hali...

READ MORE

Marcus Rashford Awaita Mezani Man United Majadiliano juu ya Mkataba Mpya

MANCHESTER United na Marcus Rashford wanaripotiwa kuendeleza majadiliano juu ya mkataba mpya na klabu hiyo ambayo inaaminika kuwa wanataka kumpa...

READ MORE

Video: Kitanzi Wasiopeleka Watoto Shule, Vigogo Wa Chadema Waanza Kazi, Majanga Mikopo | Front Page

Karibu kutazama na kusikiliza na kutazama Kipindi cha FRONT PAGE kila siku kuanzia JUMATATU hadi IJUMAA kuanzia Saa 2:30 Asubuhi....

READ MORE

Wanajeshi wa UN Wagundua miili 50 ndani ya Makaburi Mawili Mashariki mwa DRC

Wanajeshi wa Umoja wa mataifa wamegundua miili 50 ya raia ndani ya makaburi yaliyozikwa watu wengi kwa pamoja mashariki mwa...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz nchini Uswizi

Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, Davos nchini Uswizi. Rais Samia amekutana na...

READ MORE

Jinsi Nilivyogundua Kwamba Mke Wangu Anaisaliti Ndoa Yetu na Kuchepuka

  JINA langu ni Baba Sele kutokea Madale jijini Dar es Salaam. Baada ya mke wangu kuanza tabia ya kuninyima...

READ MORE

Expanse Studio na Meridianbet Kuzindua Sloti Mpya

Wiki chache tu baada ya kuzindua michezo yao ya hivi karibuni– Wild White Whale na Zombie Apocalypse hatimaye sasa Expanse...

READ MORE

Tigo Yampata Mshindi Wa Ndinga La Kishua, Wengine Waibuka na Mamilioni

Dar es Salaam 19 Januari 2023: Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo hatimaye jana imempata mshindi wa...

READ MORE

Tigo Yazidi Kuhamasisha Usajili Kidijitali Tigo Kili Half Marathon 2023 Kwa Kishindo Mjini Moshi

Mbio maarufu za Tigo Kili Half Marathon zikiwa ni mbio ambazo zipo ndani ya Kilimanjaro Marathon 2023 zimezinduliwa rasmi kimkoa...

READ MORE

Tuzo Ya Kiswahili Ya Safal-Cornell Ya Fasihi Ya Afrika: 2021 Yatoa Orodha Ya Miswada

Januari 10, 2023, Nairobi…… Tuzo ya Kiswahili ya Safal-Cornell ya Fasihi ya Afrika imetangaza orodha fupi ya miswada ya mashindano...

READ MORE

Uzinduzi wa Awali wa Rifaly Badala ya M-Paper

Dar es Salaam, Tanzania 18 Januari 2023: Kampuni ya Smart foundry imezindua bidhaa yake mpya iitwayo ‘Rifaly’ ambayo ni jina...

READ MORE

Kilimanjaro International Marathon 2023 Yazinduliwa

MBIO ndefu za kimataifa za Kilimanjaro International Premium Lager Marathon kwa mwaka wa 2023 zimezinduliwa rasmi Alhamisi, mjini Moshi, mkoani...

READ MORE

Naibu Waziri Kasekenya Aridhishwa Na Maandalizi Ujenzi Wa BRT III

  NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Godfrey Kasekenya ametembelea Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka BRT na kueleza...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Gambia Afariki nchini India Baada ya Kuugua kwa Muda Mfupi

Makamu wa Rais wa Gambia Badara Alieu Joof amefariki dunia nchini India, kwa mujibu wa tangazo la rais. Makamu huyo...

READ MORE

Ajali Ukraine: Mawaziri Wauawa katika Ajali ya Helikopta Kyiv

Watu 18 wameuawa akiwemo waziri wa mambo ya ndani wa Ukraine baada ya helikopta kuanguka kando ya shule ya chekechea...

READ MORE

Diamond Platnumz, Alikiba Bifu Jipyaaa 2023 Kisa Sallam SK Kuweka…

Mwaka huu 2023 kiburudani ulifunguliwa kwa ;’uchokozi’ wa Uongozi wa Wasafi Classic Baby (WCB) kumtibua na kumkasirisha Msanii Alikiba. Msanii...

READ MORE

Musonda Akutana Na Kigingi Cha Kwanza Yanga, Kocha Atoa Onyo kwa Wachezaji

KATIKA kuhakikisha anatengeneza nidhamu ya mastaa wake, Kocha Mkuu Yanga Mtunisia Nasreddine Nabi ametembeza mkwara mzito kwenye kambi ya timu...

READ MORE

Mshahara wa Sawadogo Simba Unaweza Kuwalipa Wachezaji Watatu Aina ya Feisal

UMESIKIA hii, unaambiwa kiungo mpya wa Simba raia wa Burkina Faso, Hamed Ismael Sawadogo, mshahara wake ndani ya kikosi hicho...

READ MORE

Ruto Adai Kulikuwa na Njama ya Kumuua Mkuu wa Uchaguzi katika Uchaguzi Uliopita

Rais wa Kenya William Ruto ametoa shutuma kali kuhusu njama ya kumteka nyara na kumuua mkuu wa tume ya uchaguzi...

READ MORE

Kilio Wafuasi Wa Nabii Nicholaus Seguye Waiomba Serikali Kufungua Kanisa Hilo

Baadhi ya waumini wa Kanisa la Word of Reconsiliation Ministry (WRM), linaloongozwa na Nabii Nicholaus Seguye wamesema wana imani na...

READ MORE