×

Rais Samia Aongoza Watanzania Kuadhimisha Siku Ya Sheria

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 1 Februari, 2023 amewaongoza Watanzania...

READ MORE

Chongolo Awaagiza Tanroads Kukamilisha Haraka Barabara ya Malinyi- Namtumbo

  KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameuagiza wakala wa barabara Tanzania TANROADS kuhakikisha ndani ya mwaka...

READ MORE

Morrison Apewa Masharti Mapya Yanga Atakiwa Kutofanya kosa Lolote

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga raia wa Ghana, Bernard Morrison, amerejea kikosini baada ya kutatua matatizo yake na uongozi pamoja na...

READ MORE

Kumbe Scorpion Aliyemtoboa Macho Said Siye Aliyefungwa? Samjet Atoka Gerezani, Afunguka -Video

Salum Njwete ambaye mitaa imembatiza jina la Scorpion, ametoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miaka saba, akidaiwa kumtoboa macho...

READ MORE

Rushaynah Afunguka Mahusiano Yake Na Manara – “Hana Pesa, Sihitaji Ndoa” -Video

Aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah ameweka wazi kuwa mambo yote yanayoendelea katika mitandao ya kijamii ni uongo kwani suala...

READ MORE

Waziri Nape na Mafanikio Aliyoyapata Kwenye Mwaka Mmoja wa Kuaminiwa

Mwaka Mmoja umepita tangu Rais Samia Suluhu Hassan, alipomteua Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari....

READ MORE

Mbrazil Atua na Mikwara Mizito Simba Awapa Makavu Wachezaji Wake

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira  ‘Robertinho’  amefunguka kuwa anataka kuona wachezaji wa timu hiyo  wanacheza kwa kujituma na...

READ MORE

SportPesa Yatoa Taarifa ya Kusikitishwa na Yanga Waitaja “Visit Tanzania”

Kampuni ya kubashiri ya SportPesa imetoa taarifa ya kusikitishwa sana na uamuzi uliochukuliwa na uongozi wa Young Africans SC wa...

READ MORE

Boomplay Kusherehekea Wasanii wa Afrika Waliochaguliwa Kwenye Tuzo Za Grammy

Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa...

READ MORE

Wanandoa Wahukumiwa Kifungo Cha Miaka 10 Jela Kwa Kusakata Densi Hadharani – Video

Wanandoa wa Iran walio na umri wa miaka 20 wamehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kuchapisha video yao...

READ MORE

Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki ya Sheria Dodoma

  Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma ambapo katika kilele hicho kimehitimishwa...

READ MORE

DCB Yaingia Kwenye Mizania ya Kati, Yajiimarisha Kuendelea Kupata Faida Zaidi 2022

Benki ya Biashara ya DCB imepata faida kwa kiwango kikubwa kwa mwaka wa fedha wa 2022 ukilinganisha na faida iliyopatikana...

READ MORE

GGML Kuwapatia Mafunzo Kazi Wahitimu 50 wa Vyuo Vikuu

  JUMLA ya wahitimu 50 wa vyuo vikuu nchini wamepata fursa ya kupata mafunzo yanayotolewa na Kampuni ya Geita Gold...

READ MORE

Kampuni Kutoka China, HAIER Yaidhamini Yanga Mashindano ya CAF, Yatoa Bil 1.5

  Kampuni mpya Tanzania ya bidhaa za umeme itokeayo China iitwayo HAIER imesaini mkataba na KLABU ya Yanga kuwa mdhamini...

READ MORE

Mo Dewji Atangazwa Kuwa Bilionea wa 13 Afrika, Apanda kwa Nafasi Mbili

  Bilionea na mfanyabiashara maarufu Tanzania na Afrika kwa ujumla, Mohammed Dewji, anazidi kupaa kwa utajiri duniani baada ya hivi...

READ MORE

Moses Kaluwa Agomea Matokeo Uchaguzi Simba Afunguka Mazito, Agomea Kusaini

ADVOCATE Moses Kaluwa, aliyekuwa anawania nafasi ya Mwenyekiti wa Simba kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi Jumapili, ameweka wazi kuwa, hajaridhishwa...

READ MORE

Chongolo Ataka Kiwanda cha Kilombero Kitoe Elimu kwa Wakulima wa Miwa

  KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Fatuma Mwassa kukutana na...

READ MORE

Matokeo ya Kidato cha Nne 2022 Yatazame Hapa

  Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 29, 2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022...

READ MORE

Papa Francis Aelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ziara ya Kihistoria

Papa Francis leo anatarajiwa kutua katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, nyumbani kwa jumuiya kubwa zaidi ya wakatoliki wa Roma...

READ MORE

Xabi Alonso Atajwa Kumrithi Jurgen Klopp ndani ya Liverpool, Kikosi Kubadilika

INAELEZWA kuwa, licha ya kuzungumzia mafanikio ya Jurgen Klopp ndani ya Liverpool, lakini mambo yanaweza kubadilika wakati wowote kikosini hapo...

READ MORE