×

Majaliwa: Uwekezaji Nchini Hautakwama, Serikali Itawaunga Mkono Wawekezaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwaunga mkono...

READ MORE

Kocha wa Cameroon Afafanua Kumtimua Kipa Andre Onana

Kocha wa Timu ya Taifa ya Cameroon Rigobert Song amekanusha taarifa za kumtimua Mlinda Lango Andre Onana, kwa sababu za...

READ MORE

Mzee wa Squid Game Ashtakiwa kwa Tuhuma za Unyanyasaji wa Kingono

Mwigizaji wa tamthilia ya Squid Game, O Yeong-su mwenye umri wa miaka 78, amefunguliwa mashtaka ya unyanyasaji wa kingono, ambapo...

READ MORE

Wananchi Kibiti Wamshukuru Rais Samia Ujenzi Daraja la Mbuchi

WAKAZI wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu...

READ MORE

Nkunku Amalizana na Chelsea, Mkataba Mrefu Kusainiwa Majira ya Kiangazi

NYOTA wa klabu ya RB Leipzig na Timu ya Taifa ya Ufaransa Christopher Nkunku atakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na...

READ MORE

Mayele: Ndiyo Kwanza Kazi Inaanza Baada ya Kufikisha Mabao 10 Ligi Kuu

LICHA ya kufanikiwa kufunga mabao saba katika michezo mitatu iliyopita ya ligi, staa wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa bado...

READ MORE

Mzozo wa DRC: Matumaini Mapya Baada ya Mazungumzo ya Amani ya DR Congo Kuanza Nchini Kenya

Rais wa Rwanda Paul Kagame ameelezea matumaini yake kuwa mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo unaweza kutatuliwa...

READ MORE

Ghana Yajiweka Katika Nafasi Nzuri Baada ya Ushindi Dhidi ya Korea Kusini

Timu ya Ghana imefanikiwa kupata ushindi muhimu katika kombe la dunia baada ya kuifunga Korea Kusini bao 3-2. Wawakilishi hao...

READ MORE

Anne Makinda Kutunuku Wahitimu 291 Chuo Cha HKMU

  SPIKA Mstaafu ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha  Hubert Kairuki (HKMU), Anne Makinda anatarajiwa kuwatunuku wahitimu 291 wa...

READ MORE

Mabosi wa Simba Wafuata Kiungo Angola katika Usajili wa Dirisha Dogo

IMEELEZWA kuwa Simba ipo katika mazungumzo ya mwisho na kiungo Mkongomani, Dago Samu Tshibamba anayekipiga klabu ya De Agosto ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra leo Nov-29, Kwa nusu bei tu Gazeti la Spoti Xtra👉www.globalapp.co.tz AU SpotiXtra👉https://bit.ly/3O0o5UU

READ MORE

Wizara ya Elimu Yasema Mageuzi ya Elimu Yanayokuja Kuhakikisha Elimu Ujuzi Inapatikana

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema mageuzi ya elimu yanayokuja yanakwenda sambamba na kuandaa mazingira ya...

READ MORE

Sitasahau Jinsi Mpenzi Wangu Alivyonisingizia Nimembaka Mdogo Wake!

    Jina langu ni Jamal kutokea Kakamega, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia...

READ MORE

Mashabiki Qatar Watumia Picha za Mesut Ozil Kuwakashifu Wajerumani

  Mashabiki wa soka wa Qatar, wametumia picha za mchezaji mkubwa wa Ujerumani aliyestaafu kuichezea timu ya taifa, Mesut Ozil...

READ MORE

Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), UNDP na Wizara ya Uwekezaji Waandaa Kongamano

  28 Novemba 2022: KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Taifa linaloshughulikia maendeleo la...

READ MORE

Video: Lemutuz Aanika Ukweli Wote Kesi Yake Na Makonda, Ajibu Kauli Ya Dkt Bashiru….

 GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mwanasiasa, mwanaharakati na nguli wa mitandao ya kijamii Lemutuz ambaye ametupisha kwenye mengi...

READ MORE

Kamata Odds Kubwa Kutoka Meridianbet Special kwa Kombe la Dunia, Cameroon vs Serbia

Siku ni Jumatatu na Jumanne wakati ambao wengi wanakuwa kwenye mihangaiko ya kutafuta chochote kitu, ili mkono uende kinywani, sikia...

READ MORE

Mohamed Ali Mohammed Mwenyekiti Mpya UVCCM Taifa Ashinda Kwa Kishindo

Wajumbe wa mkutano mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wamemchagua Mohamed Ali Mohammed (Kawaida) kuwa mwenyekiti...

READ MORE

Mapema tu… Ndoa Ya Wolper Shakani Mashabiki Wafunguka “Historia ni Mwalimu”

MUDA mfupi baada ya nyota wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper kufunga ndoa na Rich Mitindo, mtu mmoja aliandika kwenye mtandao...

READ MORE

Women in Mining: How GGML Elevates Women in the Mining Industry and Continues to Support Them

The struggle for gender equality is ongoing, although in recent years there has been a closer parity in the opportunities...

READ MORE