×

Polisi India Yawatupia Lawama Panya kwa Kutafuna Kilo 200 za Bangi

KWA mujibu wa taarifa kutoka nchini India, Polisi wamewalaumu panya kwa kuharibu karibu kilo 200 za bangi iliyokamatwa kutoka kwa...

READ MORE

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Atangaza nafasi za kazi kwa Vijana

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga ametangaza nafasi za kazi kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi...

READ MORE

Ajali Mbaya: Mabasi Yagongana Uso kwa Uso, 37 Wapoteza Maisha

JUMLA ya watu wasiopungua 37 wamefariki Dunia baada ya kutokea kwa ajali ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso katika...

READ MORE

Winga la Kazi Nakuja Yanga… Azungumza na Championi Jumatano Akiwa Uganda

  WINGA wa pembeni wa kimataifa wa Uganda, Allan Okello ameweka wazi kuwa tayari kujiunga na Yanga endapo viongozi wa...

READ MORE

De Bruyne Ashangazwa na Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi Dhidi ya Canada

NYOTA wa Timu ya Taifa ya Ubelgiji na klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza Kevin De Bruyne ameshangaa kukabidhiwa...

READ MORE

Guardiola Kubaki Etihad Hadi 2025, Aongeza Mkataba Mpya wa Miaka Miwili

KOCHA mkuu wa klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza, Mhispania Pep Guardiola ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili utakaomfanya...

READ MORE

Mashabiki wa Japan Wasafisha Uwanja Baada ya Kuishinda Ujerumani Kombe la Dunia

MASHABIKI wa timu ya Japan Novemba 23, 2022 wamewashangaza wengi baada ya kuanza kuokota taka uwanjani mara baada ya mchezo...

READ MORE

Machaguo Spesho Yenye Odds Kubwa Meridianbet Mechi za Kombe la Dunia

Michuano ya Kombe la dunia inaendelea kule Qatar ambapo leo Alhamis kutakuwa na mechi 4 za kumalizia mzunguko wa kwanza...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra leo Nov-24, Kwa nusu bei tu Gazeti la Spoti Xtra👉www.globalapp.co.tz AU SpotiXtra👉https://bit.ly/3O0o5UU

READ MORE

Siri ya Nmb Kunyakua Tuzo 18 Yatajwa, Uongozi Thabiti wa Afisa Mtendaji Watajwa..

  Benki ya NMB imedhibitisha uongozi na sifa yake ya kuwa taasisi kinara wa huduma za kifedha nchini na isiyo...

READ MORE

Harmonize Kama Diamond Tu! Wachambuzi wa muziki Wafunguka Utunzi wa Mashairi

MSANII wa miondoko ya Bongo Fleva Harmonize ‘Harmo’, anabaki kuwa mmoja wa wanamuziki bora kwa utunzi wa mashairi na ni...

READ MORE

Dada Zangu Waliokuwa Wamezamia Mjini Wakifanya Maovu, Wamerejea Nyumbani

JINA langu ni Samson kutokea Mara mkoani Tanzania, katika ukoo wetu kuna kitu ambacho kilikuwa kinamtokea kila mtu. Mwanzo nilikuwa...

READ MORE

Kombe la Dunia 2022: Ufahamu Uwanja Uliojengwa kwa Makontena 974 Qatar, Kutolewa Bure Kwa Nchi Masikini

UWANJA huu umepewa jina la 974 ambayo ni idadi ya makontena ya kusafirishia mizigo yaliyotumika kuujenga na kuufanya kuwa uwanja...

READ MORE

Kuelekea Dirisha Dogo… Nabi Akabidhi Majina Matano Yanga, Injinia Hersi Afunguka

MABOSI wa Yanga wamekabidhiwa majina matano ya wachezaji ambao Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi amependekeza kwa ajili...

READ MORE

Jux Aweka Maneno Sawa Kuhusu Kuhusishwa Kimapenzi na Paula

JUMA Jux; ni staa kabisa wa muziki wa RnB kutoka nchini Tanzania ambaye ameweka maneno sawa kuhusu kile kinachodhaniwa kuwa...

READ MORE

Gonjwa Lamtesa Mbosso, Mwenyewe Aeleza Alivyolipata, Ashauri Watu Kupima Mapema

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Mbwana Yusuf Kilungi maarufu kama Mbosso amefunguka kuhusu tatizo la ugonjwa wa moyo ambalo limemwandama...

READ MORE

Rasmi Klabu ya Manchester United Yawekwa Sokoni, Glazers Wasalimu Amri

HATIMAYE klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza imewekwa sokoni ikiwa ni mara ya kwanza baada ya kipindi cha miaka...

READ MORE

Mahakama ya Juu Marekani yaidhinisha kutolewa kwa hati za kodi za Trump

Mahakama ya Juu ya Marekani Jumanne iliidhinisha kutolewa kwa nyaraka za kodi za rais wa zamani Donald Trump, kwa kamati...

READ MORE

Man United na Ronaldo Wafikia Makubaliano ya Pamoja ya Kuvunja Mkataba

KLABU ya Manchester United pamoja na mshambuliaji Cristiano Ronaldo wamefikia makubaliano ya pamoja ya kuvunja mkataba na kumfanya mchezaji huyo...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo Nov-23, Kwa nusu bei tu Gazeti la Championi👉www.globalapp.co.tz AU Championi👉https://bit.ly/3M4GO0G . 👇...

READ MORE