×

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Septemba 24, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 24 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo Sep-21, Kwa nusu bei tu\   Gazeti la Championihttps://bit.ly/3eQNGCh AU Championihttps://bit.ly/3eQNGCh ....

READ MORE

Hati Fungani ya JASIRI ya NMB Yashinda Nishani Ya Platinum Upande wa Kundi la Dhamana

  Waandaaji wa Tuzo za Kimataifa za Mitaji kwa Wajasirimali wadogo na wa Kati kwa kushirikiana na Nchi za G20,...

READ MORE

Kiduku, Mwarabu Wapima Uzito, Kupasuana Kesho Uwanja wa Nangwanda, Mtwara

MASAA machache yamesalia kutoka hivi sasa kesho Jumamosi Septemba 24, 2022 mabondia Twaha Kiduku na Abdo Khaled raia wa Misri...

READ MORE

Wakazi Anusurika Kifo kwa Ajali, Asimulia Jinsi Wazungu Walivyomuokoa

MWANAMUZIKI wa Hip Hop nchini Webiro Noel Wassira maarufu kama Wakazi amesema amenusurika Kifo baada ya kupata ajali mbaya ya...

READ MORE

Wahamiaji 34 Wafariki Kwenye Maji Baada ya Boti Kuzama

TAKRIBANI watu 34 wamefariki dunia baada ya boti iliyobeba wahamiaji haramu kuzama karibu na Syria huku ikiwa bado haijajulikana siku...

READ MORE

Dkt. Hellen Kijo Bisimba: Asasi za Kiraia Zina Mchango Mkubwa Katika Kuharakisha Maendeleo Kwa Jamii

Jamii imeaswa kulipa umuhimu na kipaumbele suala la elimu kama nyenzo muhimu katika kuleta mabadiliko mbalimbali katika jamii sambamba na...

READ MORE

Ukame Kuikumba China na Kukausha Ziwa Kubwa Zaidi Nchini Humo

MKOA wa kati wa China wa Jiangxi umetangaza ugavi wa maji tahadhari nyekundu kwa mara ya kwanza huku ukame wa...

READ MORE

Usajili Huru wa Lionel Messi Kutoka Barcelona Wazidi Kuwatajirisha PSG

KUWASILI kwa supastaa wa Argentina Lionel Messi katika klabu ya Paris Saint-Germain kumezidi kuwapa neema kubwa matajiri wa klabu hiyo...

READ MORE

Simba wasepa zao Zenji Kucheza Dhidi ya Kipanga FC ya Unguja, Zanzibar

KATIKA kuhakikisha anatengeneza muunganiko wa kikosi imara cha Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda, ameomba michezo...

READ MORE

Takribani Mikoa Minne ya Ukraine Yaanza Kupiga Kura Yakujiunga na Urusi.

MAENEO manne ya Ukraine yanayokaliwa na Urusi yameanza kufanya kura za maoni, ambazo zimeshutumiwa kuwa haramu na Kyiv na zinaonekana...

READ MORE

Spika wa Zamani wa Bunge la Gabon Akamatwa na Takriban Dola Milioni 2 Kwenye Masanduku

GUY NZOUBA NDAMA, kiongozi wa upinzani na Spika wa zamani wa Bunge la Gabon, amekamatwa katika mji mkuu wa Libreville...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi na Ijumaa leo Sep-16   Gazeti la Championihttps://bit.ly/3BJQpqh Gazeti la Ijumaahttps://bit.ly/3S9D8wE . Twende...

READ MORE

Jambazi Awamiminia Risasi Wanandoa Wakibishana Usiku, Aua Mtoto

POLISI jijini Nairobi wanamsaka mtuhumiwa mmoja wa mauaji ya mtoto ambaye anadaiwa kuwamiminia risasi wanandoa usiku wakati wakizozana nje ya...

READ MORE

Urusi Yawaachilia Wageni 10 Waliotekwa Ukraine Baada ya Upatanishi wa Saudia

URUSI siku ya Jumatano iliwaachilia huru wafungwa 10 wa kigeni wa vita waliokamatwa nchini Ukraine kufuatia upatanishi wa Mwanamfalme wa...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Rais wa Bunge la Jamhuri ya Msumbiji Leo – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na Kuzungumza na Rais wa Bunge la Jamhuri ya...

READ MORE

Maiti Yapotea Mochwari Ndugu Wagoma Kuendelea na Mazishi Mpaka Wapate Mwili wa Marehemu

  FAMILIA moja katika kaunti ya Makueni nchini Kenya imelazimika kuahirisha hafla ya mazishi ya ndugu yao baada ya kuwepo...

READ MORE

Ligi Ya Mataifa ya Ulaya Inaendelea na Meriadianbet Wamejipanga Kutoa Pesa kwa Ajili Yako.

Baada ya Ligi nyingi kusimama sasa moto umehamia kwenye michezo ya kimataifa ya kirafiki. Mataifa ya Ulaya yatakuwa uwanjani kuhakikisha...

READ MORE

Mayele: Wananchi Msihofu, Tunatinga Makundi, Aahidi Kuwaua Al Hilal Mapema Tu

MSHAMBULIAJI kiongozi wa timu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele amesema yeye na wachezaji wenzake hawana presha kuhusu mchezo wa raundi...

READ MORE