×Mama Diamond amkaribisha Wema

Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa na mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’. Brighton Masalu NA IMELDA MTEMA MAMBO yamekuwa mambo! Siku chache baada ya mzazi mwenza…

SOMA ZAIDI
Magufuli aitikisa Mwaza, haijawahi tokea!

Njemba mmoja akipiga push up wakati msafara wa Dk Magufuli ukipita.Dada akimfagilia njia MagufuliAfande akimtoa barabarani mdada aliyekuwa akifagia barabara ili Magufuli apite pakiwa safi.Mgombea…

SOMA ZAIDI
Mpalestina aliyewashambulia polisi auawa

Mwanaume Mpalestina (mwenye jaketi la njano) mjini Jerusalem akimshambulia polisi wa Israel kwa kisu. …Akiendelea kumchoma kwa kisu polisi. Polisi wakimuokoa mwenzao katikati baada ya…

SOMA ZAIDIBoban aswekwa lupango

MARIO Balotelli ana vituko sana Ulaya, lakini Haruna Moshi ‘Boban’, haishi vituko Tanzania. Boban sasa ni mshambuliaji mpya wa Mbeya City, timu aliyojiunga nayo siku…

SOMA ZAIDI

Niyonzima afunga ndoa, kuikosa Azam

Martha Mboma, Dar es Salaam KIUNGO wa Yanga, Haruna Niyonzima, amefunga ndoa ya serikali na mzazi mwenzake Uwineza Nailah juzi Alhamisi mjini Kigali, Rwanda, hivyo hatacheza…

SOMA ZAIDI

Busungu ana kadi nyekundu ya Azam

Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam STRAIKA wa Yanga, Donald Ngoma, amedai anamkubali sana Malimi Busungu, lakini mwenzake ameweka wazi kuwa ana uhakika wa kusababisha kadi nyekundu…

SOMA ZAIDI

Mgosi: Nyie chongeni tu, tunawafunga

Aplina Philipo,  Mbeya NAHODHA wa Simba, Mussa  Hassan Mgosi, amesema kelele za mashabiki wa Mbeya City zimekuwa nyingi mitaani kila wanapopita, lakini ametamba kuwanyamazisha katika mchezo…

SOMA ZAIDI


Kiiza kimya kimya Mbeya City

STRAIKA wa Simba, Hamis Kiiza bado hajapona majeraha ya nyama za paja, lakini timu yake imepambana na leo anaweza akacheza dhidi ya Mbeya City kwenye…

SOMA ZAIDI


Merciless Billionaires – 59

INSPEKTA Masala amefanikiwa kuwaokoa wapelelezi waliokuja kutoka Marekani kwa lengo la kumsaidia kuwakamata Dk Viola na nduguye Vanessa, wauaji hatari ambao kwa muda mrefu wametafutwa…

SOMA ZAIDIFilikunjombe awaliza wabunge

KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ludewa mkoani Njombe, Deo Filikunjombe, simanzi, vilio na huzuni vimetanda miongoni mwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano…

SOMA ZAIDI


Afumaniwa, ajitosa baharini

Chande abdallah na issa mnally AIBU! Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Zuhura maarufu kama Lolo Princessa ambaye ni mpenzi wa kijana anayejulikana kama Koko…

SOMA ZAIDI

Shilole kumchora Nuh kalioni

STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema ana mpango wa kuchora tena jina la mpenzi wake, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwenye moja ya kalio…

SOMA ZAIDI


Mapokezi ya Diamond Dar…mafuriko!

Musa Mateja USIPIME! Mapokezi ya ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alipotua jijini Dar, juzi na tuzo tano alizojitwalia nchini Marekani yamesababisha mafuriko…

SOMA ZAIDI

Waoo…! Kama Jana Vile!-17

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Ni sawa ndiyo, wala hakuna shida. Mi nisichotaka ni kuongozana tu,” alisema Magembe. “Basi anza kutoka wewe,” Magembe alimtaka mama Monica atangulie…

SOMA ZAIDI

Joto la Mapenzi – 44

ILIPOISHIA… “Mama unasema kweli?” “Nimemsikia kwa masikio yangu akiwaeleza waje, kumbe aliwaeleza watakuwa wapo wawili na wakimshika mpenzi wako watamtesa ili amtaje mwenzake.” “Mama sikubali,…

SOMA ZAIDITatizo la kuharibika kwa ujauzito

NATUMAINI msomaji wangu utakuwa mzima wa afya, nikukaribishe katika mada ya leo. Leo tunaanza kuangalia tatizo linaloisumbua jamii yetu na dunia kwa jumla. Kuna tatizo…

SOMA ZAIDI

Ruby akerwa na wakatisha tamaa

Msanii mwenye sauti ya kuvutia aliyeliteka soko la muziki wa Bongo Fleva kwa sasa, Hellen George ‘Ruby’ ametoa dukuduku lake moyoni juu ya watu wanaopenda…

SOMA ZAIDI


No Picture

Penzi lisiloisha     047

Mapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kufanya chochote kumsaidia msichana huyo. Licha ya tofauti kubwa ya hali zao kiuchumi, Anna akitokea…

SOMA ZAIDI

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa

Baada ya historia ndefu ya msichana aliyezaliwa na ulemavu wa ngozi Abikanile na kupitia mateso mengi hatimaye anapoteza maisha wakati akijifungua na kuzikwa katika makaburi …

SOMA ZAIDI

Kadinda aanza mikakati ya ndoa

Imelda Mtema MWANAMITINDO maarufu wa Bongo, Martin Kadinda amefunguka kuwa amechoka na maisha ya ubachela ameanza mikakati ya maandalizi ya ndoa yake. Akizungumza na gazeti…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online