×

Droo ya CAF Yatoka Rasmi, Yanga na Simba Zatambua Wapinzani Wao

  KLABU ya Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Klabu ya Zalan FC ya nchini Sudan Kusini katika hatua ya raundi...

READ MORE

Rayvanny Yamkuta Tena, Tetema Yafutwa Youtube, Prodyuza Ahusika

MAJANGA bado yanamuandama msanii wa Bongo Fleva, Raymond Shaban Mwakyusa ‘Rayvanny’ baada ya video ya wimbo wake wa Tetema aliyomshirikisha...

READ MORE

Serikali Yawataka Wenye Viwanda Kuijali na Kuilinda Nguvukazi

Serikali imewataka wamiliki wa viwanda nchini kuijali na kuilinda nguvukazi inayotumika katika uzalishaji ili kuwa na uzalishaji endelevu na wenye...

READ MORE

Sistinho: Simba Day Iitwe Jina la “Dalali Simba Day” Kumheshimu Muasisi

MCHAMBUZI wa soka kupitia vipindi vya michezo vya Global tv na +255 Global Radio, Sistinho, amesema ni wakati wa Simba...

READ MORE

Maafisa 8 wa Tume Huru ya Uchaguzi Kenya Wakamatwa

MAAFISA nane wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) wamekamatwa na Polisi na kusimamishwa kazi baada ya...

READ MORE

Sera ya Uchumi Yawa Gumzo kinyang’anyiro cha Urais nchini Kenya

WAGOMBEA Urais nchini Kenya, Ruto na Odinga waahidi kuleta mabadiliko nchini Kenya kwenye masaibu yanayowakumba wakenya kwa sasa.   Theluthi...

READ MORE

Afariki Baada ya Kutumbukia Kwenye Sufuria la Uji wa Moto

MWANAUME mmoja nchini India aliyefahamika kwa jina la Muthukumar amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria kubwa lililokuwa limejaa uji...

READ MORE

Idadi ya Vijana Waliojitokeza katika Uchaguzi Nchini Kenya Yawa Ndogo

TUME ya uchaguzi nchini Kenya, yasema idadi ya vijana waliojitokeza kupiga kura katika uchaguzi ni ndogo kulingana na matarajio ya...

READ MORE

Raia wa Nchini Kenya Wanapiga Kura Leo Kumchagua Mrithi wa Uhuru Kenyatta

NCHI ya Kenya leo Agosti 9, 2022 inafanya uchaguzi wake mkuu kutafuta mrithi wa kiti cha Rais atakayechukua nafasi ya...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Land Transport Regulator Authority(LATRA), Personal Secretary

POST PERSONAL SECRETARY II – 1 POST EMPLOYER Land Transport Regulator Authority(LATRA) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-26 2022-08-08 JOB SUMMARY NA DUTIES...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne, Agosti 9, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 9, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra Aug-09, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi shilingi...

READ MORE

Parimatch Waidhamini Tena Mbeya City

KAMPUNI ya Michezo ya Kubashiri Mtandaoni hapa nchi ya PariMatch imeingia makubaliano na Timu ya Mpira wa Miguu inayomilikiwa na...

READ MORE

Exim Kuitanua Biashara ya Tanzania, Kongo, Rwanda na Burundi

BENKI ya Exim Tanzania imejipanga kutumia vema uwepo wake mkoani Kigoma kuchochea ukuaji wa biashara baina ya Tanzania, Jamhuri ya...

READ MORE

NBC Kinara Taasisi za Fedha Maonyesho ya Nanenane

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekamilisha ushiriki wake kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa John...

READ MORE

Paula Awapiga Na Kitu Kizito, Kajala na Harmonize Wamwaga Baraka

PAULA KAJALA; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania ambaye anadaiwa kuwapiga watu na kitu kizito baada...

READ MORE

Mahaba ya Diamond na Zari Usipime, Barnaba Atoa Ombi Zito kwa Mastaa Hao

TIFFAH DANGOTE; ni mmoja wa watoto wawili wa staa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz aliyezaa na mwanamama tajiri, Zari...

READ MORE

Kizz Daniel Akamatwa na Polisi Dar, Ni Baada ya Kukacha Tukio la Kutumbuiza

MSANII maarufu kutoka nchini Nigeria, Kizz Daniel amekatwa na Polisi kutokana na kutotumbuiza katika tamasha la ‘Summer Amplified’ lililofanyika Jumapili...

READ MORE

Familia ya Diamond Yamuumiza Mtoto wa Hamisa, Yamtelekeza Kizembe

DYLAN; ni mtoto mwingine wa kiume wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ambaye amezaa na mwanamitindo Hamisa Mobeto....

READ MORE

Meridianbet Wawatembelea Boda Boda, Wawapa Ujumbe Usalama ni Muhimu

Meridianbet Tanzania wameendelea na utaratibu wao wa kuwa karibu na jamii, kwa kutoa sapoti kwa vijana katika shughuli zao za...

READ MORE