×


Waoo..! kama jana vile!-12

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Nitamwambia nini? Nikisema ni vitu vyangu nilihongwa na buzi langu ataniona mimi kumbe mchepukaji. Mbaya zaidi yeye ni mama mtu mzima na…

SOMA ZAIDI

Kwa heri Celina…

Brighton Masalu na Denis Mtima BURIANI! Hatimaye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti na Utumishi wa Umma, Celina Stephano Ompeshi Kombani…

SOMA ZAIDI

Uwazi lachangisha sh. Milioni 14

Na Haruni Sanchawa Gazeti hili la Uwazi limekuwa likiandika habari za  kijamii kwa lengo la kuwasaidia watu wenye shida mbalimbali na kwa kushirikiana na wasomaji…

SOMA ZAIDI

Muhimbili hali tete

Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ MUHIMBILI hali ni tete! Hayo ni maneno ya baadhi ya wagonjwa wanaotibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar baada…

SOMA ZAIDIMagufuli  alama 6, Lowassa alama 9

Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. WAKATI kampeni za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zikizidi kupamba moto, vipimo…

SOMA ZAIDI

Tajiri afa, mali zazua balaa!

Na Waandishi Wetu MALI za aliyekuwa tajiri maarufu Dar, marehemu Charles John Mallya zimezua balaa baada ya mke mkubwa, Philomena Masechu ambaye anadai kuchuma naye…

SOMA ZAIDI


Mwalimu avamiwa, akatwa koromeo

Makongoro Oging’ na Issa Mnally UKATILI! Mwalimu Nelson Andrew (23), amevamiwa na watu wanaodaiwa kuwa ni vibaka na kumkata kwa kisu koromeo katika jaribio la…

SOMA ZAIDI

A-Z Vifo vya mahujaji

Na Waandishi Wetu BONGO ni vilio! Kufuatia Watanzania wanne mahujaji miongoni mwa 717 waliopoteza maisha kwa kukanyagana mjini Mina, Maka, Saudi Arabia, hapa Bongo vilio…

SOMA ZAIDI


Kinywaji hiki huondoa sumu, kitambi!

Uondoaji wa sumu mwilini ni muhimu kwa sababu kitendo hicho huondoa mafuta yanayosababisha unene au vitambi. Pia mwili unapokuwa msafi huwezesha mfumo wa chakula kunyonya…

SOMA ZAIDI


Unamtumiaje rafiki mwenye akili darasani

Kwenye maisha ya kujifunza huwa kuna wanafunzi wa aina mbalimbali ambao wanaweza wakawekwa kwenye makundi mengi iwezekanavyo, lakini kundi muhimu zaidi ni lile linalofuata kigezo…

SOMA ZAIDI

Hausigeli aiba mtoto Dar, akamatwa Mwanza

Na Makongoro Oging’ KAA chonjo! Mfanyakazi wa ndani ‘hausigeli’, Sheila Chacha (pichani) aliyekuwa akifanya kazi kwa Abraham Jullu maeneo ya Tegeta-Wazo, Dar anashikiliwa katika Kituo…

SOMA ZAIDI

Bayo Na Imbori – 19

Bayo anatoroka kwenye maficho ya Kundi la KCK katika mazingira ya kutatanisha, nchini Marekani Imbori aligoma kufanya chochote kile ikiwemo kula, kuoga na hata kubadilisha…

SOMA ZAIDI

Mtemvu alivyotoa siri za Nyerere- 10

Tunaendelea kusimulia yaliyojiri baada ya Zuberi Mtemvu kukosana kisiasa na Mwalimu Julius Nyerere: Baada ya uhuru, Mwalimu Julius Nyerere aliendelea kushikamana na baadhi ya watu…

SOMA ZAIDI

The World You Left Behind-21

Ajali mbaya na ya kutisha inatokea kwenye Makutano ya Barabara za Morogoro na Msimbazi, katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Gari la Mheshimiwa Abbas…

SOMA ZAIDI


Shinikizo la Damu (Hypertension)-3

Leo nitaelezea  mambo yanayosababisha shinikizo la damu ili uyafahamu na kujihadhari nayo. MaMBO hayo ni uvutaji sigara, unene (visceral obesity) yaani unene wa sehemu za…

SOMA ZAIDI

No Picture

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 31

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Nisamehe..nisamehe   sitarudi tena humu.”  Mimi niliyekuwa nikitazama tukio hilo, nguvu zilikuwa zimeniishia na nilikuwa natetemeka.  “Nikusamehe kwa kosa gani?” Kaikush akamuuliza yule…

SOMA ZAIDI


Mapazia Ya Chumbani -7

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Hebu ngoja niende nikajifanye nina shida ya kuazima chochote ili nizione hizo sendozi, kama kweli ni za baba Dick nitazijua tu maana…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online