×

Yanga Wanasaini Mkataba wa Kihistoria Muda Huu, Rais Hersi Ahudhuria-Video

KLABU ya Yanga Inasaini Mkataba wa Kihistoria na Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa kwa ajili ya Udhamini wa...

READ MORE

Mapya Yaibuka Sakata la Ronaldo na Manchester United, Mendez Apigilia Msumari

SAKATA la mshambuliaji wa Manchester United ya nchini Uingereza Cristiano Ronaldo limechukua sura mpya mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika jana...

READ MORE

Radi Yaua Watu 20 kwa Muda wa Masaa 24 Kwenye Miji Mbalimbali Nchini India

NCHINI India imeripotiwa vifo vya watu 20 waliouawa na radi ikiwa ni ndani ya masaa 24 katika miji nane iliyo...

READ MORE

Urusi Yapanga Kufanya Mazoezi ya Kivita ya Kuwatisha Wapinzani Mashariki mwa Nchi Hiyo

NCHI ya Urusi imepanga kufanya mazoezi ya kivita katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo ikiwa na lengo la kuwaonesha...

READ MORE

Wataalamu Kutoka Wizara ya Elimumsingi Afrika  Kusini Watembelea Shule ya Chief Albert Morogoro

Shule hii iko katika moja ya eneo waliloishi wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini wakati wa harakati za ukombozi wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo July-20, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi...

READ MORE

Nafasi za Kazi 2 Tanzania Geothermal Development Company Limited, Research Engineer

POST RESEARCH ENGINEER – 2 POST EMPLOYER Tanzania Geothermal Development Company Limited (TGDC) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-23 2022-08-05 JOB SUMMARY NA...

READ MORE

RC Makalla Aipongeza Nmb Kuzindua Kifurushi Cha Mikopo Kwa Walimu

  Watumishi wa Umma wakiwemo Walimu wametakiwa kufanya maandalizi bora ya kustaafu mapema kwa kuchangamkia fursa ya Mkopo kwa kuanzisha...

READ MORE

Hatimaye Lulu Diva Arejea Akiwa Fiti, Awatega Mashabiki Wake

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Abbas maarufu kama Lulu Diva kupitia insta story yake amedokeza ujio wa ngoma yake mpya...

READ MORE

Black Panther: Wakanda Forever Hewani Rasmi Novemba 11, Ni Mwendelezo wa Utamu

GOOD news kwa wapenzi wa movie ni kwamba sehemu ya pili ya movie iliyopata mafanikio makubwa duniani na kupendwa na...

READ MORE

Mfanyakazi wa Benki ya NMB Apoteza Watoto Wawili kwenye Ajali ya Basi la King David

MFANYAKAZI wa Benki ya NMB Mkoani Mtwara, Simon Jogwe ni miongoni mwa wazazi waliopoteza watoto katika ajali ya gari iliyotokea...

READ MORE

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis, Aomba Radhi Akiwa Nchini Canada

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ameomba radhi kwa jumuiya za jamii za wenyeji nchini Canada, kutokana na mateso...

READ MORE

Benki ya CRDB Yawashukuru Wateja Tuzo ya ‘Benki Bora Tanzania’ Euromoney

Benki ya CRDB imewashukuru wateja na wadau wake baada ya kutunukiwa tuzo ya “Benki Bora Tanzania” na jarida maarafu la...

READ MORE

Uwoya Adai Kama Kuna Mtu Anaumizwa na Mapenzi Basi Aende Akalime

MUIGIZAJI mrembo wa Bongo Movies, Irene Uwoya amekuja na jipya baada ya kudai kwamba watu wengi katika karne hii ya...

READ MORE

Auawa kwa Kukatwa na Bawa la Helikopta, Ndugu yake Ashuhudia Tukio Zima

MTALII kijana raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 21 amefariki baada ya kukatwa na bawa la helikopita mbele ya...

READ MORE

Benki ya NBC Yamwagiwa Sifa kwa Kutoa Fidia ya Bima ya Mazao kwa Wakulima wa Tumbaku Tabora

Kwa mara ya kwanza nchini, wakulima wa zao la tumbaku mkoani Tabora wamelipwa fidia na Benki ya NBC kufuatia hasara...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXstra leo July-19, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi...

READ MORE

Benki ya Maendeleo ya Afrika na Mfuko wa Dhamana wa Afrika Waandaa Mpango Wezeshi

  DAR ES SALAAM, 26 Julai 2022. The African Development Bank’s Affirmative Finance Action for Women in Africa (AFAWA) Initiative...

READ MORE

Mwananchi wa Kwanza Kupewa Mkopo wa Milioni 50 Kujenga Kituo cha Mafuta Kijijini

WAZIRI wa Nishati, January Makamba bado yuko kwenye ziara yake ya Kijiji kwa Kijiji na amefanikiwa kufika Kijiji cha Ugaka...

READ MORE

Lavrov Azuru Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Atajwa Pia Kutua Uganda

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergey Lavrov amezulu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiwa ni muendelezo wa...

READ MORE