×

Mamia Wajitokeza Kumzika Aliyepigwa Risasi na Mumewe Ilemela, Mwanza – Video

HATIMAYE mwili wa mwanamke Swalha Salum mkazi wa Buswelu wialayani Ilemela jijini Mwanza aliyeuawa kwa kupigwa risasi na mumewe wa...

READ MORE

Rais Samia Atoa Onyo kwa Watanzania Watakaokwenda Kufanya Biashara Haramu Nchini Qatar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa watanzania wanaofikiria kwenda kufanya huduma haramu nchini...

READ MORE

Waziri Nape Apongeza Vodacom, TBL Katika Jitihada za Kuinua Kilimo

  SERIKALI inaunga mkono jitihada za Kampuni ya Vinywaji vikali ya TBL na Kampuni ya Mawasiliano ya simu za mikononi...

READ MORE

Mrithi wa Pablo Atua Dar Kimyakimya Kufanya Mazungumzo na Simba

  INAELEZWA kwamba, Kocha Mkuu wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo...

READ MORE

Rais Samia Apokea Kombe la Dunia (World Cup) Ikulu jijini Dar (Picha +Video)

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Mei 31, 2022, amepokea kombe la dunia, Ikulu jijini Dar es Salaam. ⚫️...

READ MORE

Breaking News: Mambo ni Moto Simba, Kocha Pablo, Kocha wa Viungo Watimuliwa

  KLABU ya SIMBAimetangaza rasmi leo Mei 31, 2022, kuachana na Kocha wake Mkuu Pablo Franco na Kocha wa viungo...

READ MORE

Chawa Pro Max, Baba Levo Kufanya Sajari ya Pua na Kitambi Nchini Uturuki

  CHAWA Pro Max, yeye hupenda kujiita Fundi Manyumba ‘Baba Levo’ amesema ana mpango wa kwenda nchini Uturuki kwa ajili...

READ MORE

Pauni 115m Kushusha Majembe Mawili United, Mambo Yameiva Kwa Kocha Mpya

  MANCHESTER United italazimika kutoa pauni 115m kwa wachezaji wawili ambao wanapewa kipaumbele katika usajili ujao.   Wachezaji hao ni...

READ MORE

Taasisi ya Dkt. Mengi Yakutanisha Watu Wenye Ulemavu Katika Kumbukizi ya Muasisi Wao

TAASISI ya Dkt. Mengi Maarufu kama Dr. Reginald Mengi Foundation imeandaa hafla ambayo imewakutanisha watu wenye ulemavu kama sehemu ya...

READ MORE

Yanga Yawaachia Simba Kiungo Mzambia, Yatangaza Vita Mpya ya Usajili

  IMEFAHAMIKA kuwa, uongozi wa Yanga umeachana na mipango ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa Zanaco, Mzambia, Moses Phiri na kumuachia...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Rafiki Wa Mume Aliyempiga Risasi 7 Mke Wake Mwanza, Afunguka Mazito… – Video

 Global Tv imezungumza na rafiki wa mume wa Swalha, ambaye anatuhumiwa kuhusika na kifo cha mke wake huyo, kwa...

READ MORE

Hukumu ya Sabaya Yaahirishwa Kutolewa Juni 10, Wakili Wake Afunguka – Video

Hukumu ya Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake imeahirishwa...

READ MORE

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo Awasili Simiyu kwa Ziara ya Kikazi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM) Daniel Chongolo amewasili leo Mkoani Simiyu akitokea Mkoani Shinyanga kuanza rasmi ziara...

READ MORE

Kingwangalla Amlipua Mo Dewji, Aponda Ishu Ya Bil 20, Ujenzi Uwanja Mo Simba Arena- Video

Mbunge na shabiki wa Simba SC, Hamis Kigwangalla amelipuka kuhusu mambo mbalimbali yaliyofanyika na kuisababishia timu hiyo ishindwe kwenda vizuri....

READ MORE

Live: Mapya Yaibuka Sakata la Mume Kuua Mke, Kujiua, Sabaya Kutoka Au Kubaki Jela?

 Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi...

READ MORE

Vita vya Ukraine: Viongozi wa EU Wakubaliana Kupiga Marufuku Uagizaji Mafuta ya Urusi

  Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana juu ya mpango wa kuzuia zaidi ya theluthi mbili ya uagizaji wa mafuta...

READ MORE

Wydad Casablanca ya Morocco Yabeba Ubingwa Ligi ya Mabingwa Afrika -Video

 Wydad Casablanca ya Morocco wanafanikiwa kutwaa Ubingwa wa Club Bingwa Afrika kwa kuifunga 2-0 club ya Al Ahly ya Misri...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne, Mei 31, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 31, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

TADB Yaendesha Warsha ya Uwezeshaji Jinsia na Vijana Kiuchumi

    BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeandaa mpango mkakati wa kuwawezesha kiuchumi wanawake na vijana kwa kushirikiana...

READ MORE